Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kwahy haya maelezo hukuyaona?πŸ‘‡πŸ‘‡

Bali sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie.
Huku nadhani tupaache,...maana hata wewe unaonyesha huamini kabisa evolution theory.


NB:- Hiyo Theory haisemi πŸ‘‰πŸΌ"sisi na Apes Kuna chance Kubwa kuwa tumetokana na same specie".......Bali inasema ni uhakika na ushahidi ukitaka watakupa πŸ™ŒπŸΌ
 

Sio kubisha Bali nakupa majibu,
Au hutaki kujibiwa?

Katika case ya mpira kwenye maji kuelea,
Issue ni Ile Ile tu,



Kumbuka mpira umewekewa air ndani yake, kwahy bouyant force inakuwa Kubwa kuliko gravity ndo maana unaelewa lakni kwenye air hauta elea.
 
Okay labda mimi naulewa tofauti
 

Ukibishia hii inamaana unabishia hata method inayotumika kutafta viscosity ya fluids (falling sphere viscometry).
 
Sasa kama hata huwezi kuthibitisha kama dunia inazunguka na hujawahi kufanya vipimo Kwa njia yoyote Ile,... kwanini una conclude kwamba hiyo ni facts?

Kichwa chako unatumia kufanyia nini?
kichwa changu natumia kufikiri,huwezi kuwa akili ukakataa dunia inazunguka.
maana ahaihitaji vipimo vya NASA kujua hilo.

umeulizwa kule nyuma,ikiwa dunia imesimama tu,tunaomba animation ya namna jua linavyoizunguka ili kupata usiku na mchana kama ilivyo.

hutaki gravity.
hutaki dunia duara.
hutaki revolution wala rotation.

hauko mbali kukataa jinsia yako na kutuomba sisi uthibitisho wake.
 
Usipate shida iweke hivi:-
1. Maji yana uzito mkubwa kuliko uzito wa mpira,..na ndiyo maana mpira hauzami unaelea.

2. Kwa kuongezea,...Shilingi inazama baharini Kwa kuwa ina uzito mkubwa kuliko maji.

Hiyo ndiyo kanuni ya density... sielewi gravity inahusika vipi.... UZITO WA OBJECTS WITH RESPECT TO EACH OTHER NDIYO UNAFANYA KAZI HAPO.


Au ngoja nikuulize swali,...
(a) Gravity ndiyo inasukuma Coin baharini,.mpaka kwenye sakafu ya bahari?

(b)Inashindikana vipi kwa gravity kusukuma mpira mpaka kwenye sakafu ya bahari?
 
Wapi nimesema yanauzito?
 
Ambacho hujaelewa hapa ni nn?



Maana naona umeanza mambo ya whatabotism. Maliza hoja Moja twende nyingne maana hata unachouliza hapa Bado jibu lake lipo kwenye hii illustration juu
 
Kuhusu kuzunguka kwa Jua msome VAN BRAUN director wa NASA alichoandika kwenye kaburi lake baada ya kufa. PSALM 19:1-6
Leta maelezo yako kijana,

Kila mtu ana source zake za kupata maarifa ( Tunasoma kila siku ),

WEWE leta maelezo yako/Point zako hapa tusome pamoja humu.
 
Ambacho hujaelewa hapa ni nn?

View attachment 2928224

Maana naona umeanza mambo ya whatabotism. Maliza hoja Moja twende nyingne maana hata unachouliza hapa Bado jibu lake lipo kwenye hii illustration juu
Kwanza ushakiri kwamba gravity ni theory tu sio fact....sasa Kwanini una force ihusike sehemu ambayo haihusiki.
 
Ukiangalia hili li mpira unabaki unajiuliza hici maji yanakaaje kwenye ball? Kwa mtu ambae akili ipo sawasawa hawezi kukubaliana na huu uongo.
Sio uongo, Sema ni jambo ambalo akili yako haitoshi kuielewa kanuni inayowezesha gravity inavyofanya kazi.


Nkuulize swali: Unaweza kunielezea nguvu ya usumaku inavyofanya kazi ?
Kuna swali nahitaji nkuulize ukishanipa maelezo yako
 
Kwanza ushakiri kwamba gravity ni theory tu sio fact....sasa Kwanini una force ihusike sehemu ambayo haihusiki.
Haihusiki wapi? Kwani ikiwa theory inamaanisha inakuwa na uncertainties? Imekuwa tested na ikaleta majibu sawia.

Wewe ndo uu disprove, that's how science works labda kama ww huitumii sayansi sema mapema.
 
Kwahiyo maji hayana uzito?

Duh..
Kwahy ukiuweka mpira kwenye bahari let's say 5kg ukaelea utapimaje uzito wa hayo maji kuwa Yana kg ngapi?

Au tukichukua maji ya 25 kg tukaweka kwenye beseni alafu tukachukua na mpira wa 30 kg kwahy utazama?
 
Kwanza ushakiri kwamba gravity ni theory tu sio fact....sasa Kwanini una force ihusike sehemu ambayo haihusiki.

Siyo kukiri Bali ndo ilivyo.
Naww tayari umeshasema gravity ni theory, unajua maana ya theory?

Nimekwambia ili iwe theory lazima iwe ina enough experimental results ambazo zimekuwa gathered in a particular area of inquiry. This explanation is also tested, and if it fulfills the necessary criteria, then the explanation becomes a theory.

Na theory Inakuwa supported Kwa evidences.

Na theory Ina criteria zake Ili iwe theory. Ambazo ni

significance, internal consistency, parsimony, testability, empirical adequacy, and pragmatic adequacy.

Kwahy mpk hapo wewe huwez kusema gravity haipo ila Mimi ninaweza kusema ipo cause it's accepted na haijawa disproven, na I apply in many fields.

Tatizo wewe unadhani theory is just a guess or hypothesis or conjecture, but in science theory means:
β€œa model of the physical world that makes testable predictions and is supported by evidence.”
 

lakini jamaa yangu wewe jau sana.

sasa umeshaambiwa mpira umejaa hewa ambayo ni nyepesi kuliko maji,hili swali gani umeuliza hapa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…