The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sawa,.kwenye mfano wa 2:-
1. Ume ignore force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu...Kwasababu ukubwa wa force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu,.uta determine how far the ball will go.
2. Automatically, kadri force iliyotumika kuupiga mpira kwenda juu inavyopungua na kuisha... itafanya mpira kushindwa kuendelea kwenda juu.
3. Then,. Kwa kuwa Ile force imeisha,..mpira Kwa kuwa ni denser than air utashindwa kuelea kwenye hewa hivyo utashuka chini,...na sio kwamba gravity ndiyo inaufanya mpira huo urudi chini.
Nahisi hujui newton's first law of motionSawa,.kwenye mfano wa 2:-
1. Ume ignore force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu...Kwasababu ukubwa wa force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu,.uta determine how far the ball will go.
Hujui newton's first law ww,2. Automatically, kadri force iliyotumika kuupiga mpira kwenda juu inavyopungua na kuisha... itafanya mpira kushindwa kuendelea kwenda juu.
Force inaisha vipi?Sawa,.kwenye mfano wa 2:-
1. Ume ignore force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu...Kwasababu ukubwa wa force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu,.uta determine how far the ball will go.
2. Automatically, kadri force iliyotumika kuupiga mpira kwenda juu inavyopungua na kuisha... itafanya mpira kushindwa kuendelea kwenda juu.
3. Then,. Kwa kuwa Ile force imeisha,..mpira Kwa kuwa ni denser than air utashindwa kuelea kwenye hewa hivyo utashuka chini,...na sio kwamba gravity ndiyo inaufanya mpira huo urudi chini.
Yes naifahamu,...lakini kuna millions ways za kuelezea scenario 1,. kwanini wewe unaamini ya Newton ndiyo sahihi zaidi?Hivi unajua Newton's first law of motion inasemaje?
Yes naifahamu,...lakini kuna millions ways za kuelezea scenario 1,. kwanini wewe unaamini ya Newton ndiyo sahihi zaidi?
Newton yeye alitoa idea yake,... hiyo haizuii mtu mwingine kutoa idea yake on how natural laws zinafanya kazi....
Tatizo linaanzia pale unapo assume kwamba nadharia za Newton ni sahihi completely,. hivyo unashindwa kufikiria njia nyingine ambazo zinaweza kuleta fikra mpya na innovations kwenye uanda wa Sayansi.
Force inaisha Kwa effect yake kupungua kwenye object ambayo imekua acted upon.Force inaisha vipi?
Force inaisha Kwa effect yake kupungua kwenye object ambayo imekua acted upon.
Kwa mfano chukulia hivi:-
1. Mtu wa Kwanza karusha jiwe limeenda kutua baada ya meter 20.5
2. Mtu wa pili karusha jiwe,.limeenda kutua baada ya meter 19.2
Hapo kwenye hizo scenario,.. force zilizotumika ni tofauti na ndiyo maana effect ya force hizo kuisha ni kwamba:-
1. force kubwa, imefanya jiwe kwenda umbali mrefu kabla ya effect ya force kuisha.
2. Force ndogo, imefanya jiwe kwenda umbali mfupi kabla ya effect ya force iliyotumika kuisha,..compared na hiyo ya kwanza.
Nadhani nimeiweka sawa.
Yes,.ni law aliyo suggest Newton....Kumbuka hiyo ni law,
Sasa zielezee hizo millions ways
Wewe umefikria nini? Au elezea observation yoyote ambayo inaipinga hii law.
Na ndo nimeitumia Kwa sabab ni accepted na Ina uhalisia sio kwamba alitunga maneno Bali ni observations.Yes,.ni law aliyo suggest Newton....
Haizuii watu kuja na laws zao nyingine.
Mpira hauwezi kusimama hapo hapo kutokana na sababu tofauti tofauti nyingine nishazitaja hapa,.....Wakat ukirusha mpira juu utaenda ukipungua Kasi mpaka utafikia point utaanza kurudi chini,
Sasa kwann usisimame hapo hapo badala yake unarudi chini?
Sasa Kwa scenerio yako ni nn kinafanya force ipungue?
hateeb10Nikuulize swali dogo tu, density ni force?
Density sio force.
hateeb10Nimekuuliza swali hili mara kibao lakn hujawah kulijibu,
Ni nini kinafanya hiyo denser object Imove downward and not other wise?
Kumbuka object kabla haijadrop kulikuwa na direction nne; kulia, kushoto, juu na chini. Na direction zote hizo Kuna hiyo air tena air iliyotop ya hiyo object ni less zaidi ya iliyochini ya hiyo object kwann isiende juu?.
Sasa kama sio force Inawezaje kusababisha kitu ki accerate? PengineDensity sio force.
Nimekuuliza swali hili mara kibao lakn hujawah kulijibu,
Ni nini kinafanya hiyo denser object Imove downward and not other wise?
Kumbuka object kabla haijadrop kulikuwa na direction nne; kulia, kushoto, juu na chini. Na direction zote hizo Kuna hiyo air tena air iliyotop ya hiyo object ni less zaidi ya iliyochini ya hiyo object kwann isiende juu?.
Kwani kuna sehemu nimesema density ndiyo inafanya vitu vi accelerate?Sasa kama sio force Inawezaje kusababisha kitu ki accerate? Pengine
Unapoint unayo naweza nikakuelewa.
Well, after all those factors mpk force ikaisha, we expect object istope, but ghafla inaanza tena kushuka chini, nini sababu.Mpira hauwezi kusimama hapo hapo kutokana na sababu tofauti tofauti nyingine nishazitaja hapa,.....
Umeuliza kwenye scenario niliyoweka nini kinafanya force ipungue,.ungesoma Kwa makini maelezo niliyoweka ungeelewa...ila Kwa maelezo zaidi as to why force inapungua jaribu kupitia tena hapa ππΌ..Naamini itakuondolea shaka yote.
Air Resistance: As an object moves through the air, air resistance acts in the opposite direction of its motion, slowing it down. This resistance increases with the speed of the object and the surface area in contact with the air, reducing the force over time.
other factors such as the elasticity of the materials involved, the angle of impact, and the distance over which the force is applied can also affect how quickly a force diminishes when hitting something.
Inashuka chini kwasababu "air resistance acts in the opposite direction of its motion,"Well, after all those factors mpk force ikaisha, we expect object istope, but ghafla inaanza tena kushuka chini, nini sababu.
Hujanielewa, umesema density ndo inafanya kitu chenye density Kubwa kishuke chini, Sasa sabab ni nn?Kwanini objects zina move downward and not up, right or left......jibu ni kwamba air resistance ina act in the opposite direction of its motion.ππΌ