The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Sawa,.kwenye mfano wa 2:-
1. Ume ignore force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu...Kwasababu ukubwa wa force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu,.uta determine how far the ball will go.
2. Automatically, kadri force iliyotumika kuupiga mpira kwenda juu inavyopungua na kuisha... itafanya mpira kushindwa kuendelea kwenda juu.
3. Then,. Kwa kuwa Ile force imeisha,..mpira Kwa kuwa ni denser than air utashindwa kuelea kwenye hewa hivyo utashuka chini,...na sio kwamba gravity ndiyo inaufanya mpira huo urudi chini.
Hivi unajua Newton's first law of motion inasemaje?