Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Sababu ndo hiyo niliyokupa na zingatia earth tilt ambayo ni 23.5°.

View attachment 2933055
Hujajibu swali bado,... nimeuliza kwanini mnatumia argument ya Seasons kussupport idea ya Dunia Tufe linalozunguka,.wakati mnajua baadhi ya kanda hazipati seasons kadhaa?

Atleast ingekua kila kanda ina experience seasons depending on mzunguko wa Tufe... binafsi ningewaelewa lakini Kwa uhalisia ulivyo,.. nashauri muache kutumia seasons kama evidence ya Dunia Tufe linalozunguka.

Ahsante.
 
Kutoelewa kwako usiforce isitumike,
Alafu wewe kwenye flat yako unaielezea vp? Au ndo unachenga chenga tu?

Nimeshakupa sabab ya kwann sehem nyingne hazi experience hiyo winter.
 
Hahh wewe unaona linatosha hapo?


Kwanza ulisema unaamini Dunia ni elipsoid,...lakini maelezo yako unatoa Kwa kutumia Dunia Tufe,...huoni unajichanganya mtaalamu?
Wewe ndo unajichanganya.
Dunia sio perfect sphere but 99.5% ni sphere so Kuna tofaut ndogo sana.

Nipe majibu yako?
 
Kwahy hatuwezi kupima weight ya kitu?
Kuna object ambazo density yake ni Uniform ndiyo unaweza kupima Kwa kupitia formular hiyo,...mfano Jiwe.

Kwa binadamu formula yake utatakiwa kufanyia Integration mpaka density ya nywele Kwasababu binadamu Hana uniform density....so Kwa ushauri kama unataka upime weight yako katumie mizani.
 
Unaona ulivyo kilaza Sasa,
Mimi swali langu nilikuuliza tunapimaje weight ndo ukaniletea formula. Sa ulishindwa nn kusema hivi?

Okay Mzani Gani unaotumika kupima weight?
 
Kutoelewa kwako usiforce isitumike,
Alafu wewe kwenye flat yako unaielezea vp? Au ndo unachenga chenga tu?

Nimeshakupa sabab ya kwann sehem nyingne hazi experience hiyo winter.
Hahh sasa si ndiyo tunaeleweshana hapa?

Wewe elezea Kwanza kwanini mnatumia seasons kama evidence kwenye argument za Dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍.... wakati mnajua kabisa change of seasons haifai kabisa kuwa miongoni mwa hoja zenu kwa kuwa kuna kanda constantly milele na milele hazipati baadhi ya seasons.?


Ukikubali hapo mmekosea na kupuyanga... nitakuelewesha jinsi kwenye dunia ambayo ni stationary flat-plane, scenario hiyo ya baadhi seasons kutotokea kwenye kanda kadhaa inaeleweka hata Kwa mtoto mdogo.
 

Ngoja nijaribu tena kumuelewesha kama kweli upo open minded na hii ni mara ya mwisho, usiponielewa basi tena labda unieleweshe wewe.


Kwanza nimeshakupa sababu za kwann hizo sehem hasa za Africa hazina winter seasons. Sijui ulielewa?

Sasa nakupa sababu za seasons kutokea Ili uunganishe na jibu la hapo juu ndo upate jibu la swali lako.

Angalia hii demo hapa chini👇



Sasa ukiangalia hiyo demo hapo juu utaona jinsi Gani earth tilt ilivyo. Sasa Kuna situation inatokea kipindi Dunia Ina revolve Jua some part of the earth zinakuwa exposed zaidi na uelekeo wa Jua.

Lakini kwenye equator always ita receive the same amount of sun Kwa sababu haiwi exposed kwenye Jua but it only receive direct sun.
 
Wewe ndiyo hukuelewa namaanisha nini,..Ile alama ya 👉🏼 /....niliamaanisha "OR" na sio "DIVIDE BY"

Nadhani tumemaliza kuhusu hilo.
Sasa Bado hujajibu weight inapimwaje? Au ni kifaa Gani kintumika kupima weight?
 
Wewe ndiyo hukuelewa namaanisha nini,..Ile alama ya 👉🏼 /....niliamaanisha "OR" na sio "DIVIDE BY"

Nadhani tumemaliza kuhusu hilo.
Alafu back to the matter kwahy unataka kusema vitu vinafall down Kwa sabab ya force ya mass/weight au unasababu nyingne?
 
safuher
 
Hujanielewa swali langu,...

Nimeuliza,.ni sababu gani huwa mnatumia kuhusisha change of seasons kama uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?
Lakini kwenye equator always ita receive the same amount of sun Kwa sababu haiwi exposed kwenye Jua but it only receive direct sun.
Hivi umeyaelewa hayo maelezo yako hapo juu?

Kwamba :-
1. Equator ina receive the same amount of sun,.. Kwasababu haiwi exposed kwenye Jua.

2. But it only receive direct sun.


Ulipanga uandike hivyo? Au ni error? Kama haiwi exposed kwenye inapokeaje Sun direct sasa?
 
hateeb10

Naona ni Kwa kiasi gan unakaza kichwa ila umeshaelewa, Kwanza ulishakubali kuwa Dunia though is sphere but is not a perfect sphere.

Alafu umeshindwa kuelezea vitu vingi mno mfano hivi👇👇

1. Dunia flat imeshikiliwa na nn? Je inaelea?
2. Jua na mwezi vimeshikiliwa na nn? Na zinawezaje kuzunguka kwenye orbit?
3.lunar/solar eclipses na moon phases.
4. Why things fall, ulisema density nikakuuliza kwann more dense ishuke chini na wakat ilikuwa na option nne, ukasema air resistance nayo ikakushinda, ukaja kusema mass ni force au weight.
5. Seasons of the year
6. Why some country zina experience day 24hrs.

Kwa kifupi huna hoja yoyote, na sioni haja ya kuendelea ikiwa bado huna majibu ya hivi vitu vyote.
 
Alafu back to the matter kwahy unataka kusema vitu vinafall down Kwa sabab ya force ya mass/weight au unasababu nyingne?
Hivi ni kwamba umesahau au?
Nilisema vitu vina fall down kutokana na combinations of factors,..nikataja.
a.Air resistance
b. Density ( ambapo hapa unahusisha uzito wa kitu,..& that's why vitu viwili venye uzito tofauti vikirushwa juu Kwa wakati mmoja...kile chenye uzito mkubwa Kita drop haraka zaidi na vice versa.
 
Hujanielewa swali langu,...

Nimeuliza,.ni sababu gani huwa mnatumia kuhusisha change of seasons kama uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?
Sasa hapo hukuelewa nn? Si nimekupa sababu? Seasons of the year nimezielezea kupitia Dunia kuwa Duara na inazunguka Jua. Hujaelewa nn?
 
Hahh vitu vingi Tu hapo umezusha... unadhani kwanini Mimi sikuzushii kitu?

Ni Kwasababu naamini kwenye ukweli....
 
Nilikuuliza kwann direction iwe downward wakat more denser object Ina option nne juu chini kulia na kushoto na pote Kuna hewa iliyo less denser than it?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…