hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Hujajibu swali bado,... nimeuliza kwanini mnatumia argument ya Seasons kussupport idea ya Dunia Tufe linalozunguka,.wakati mnajua baadhi ya kanda hazipati seasons kadhaa?
Atleast ingekua kila kanda ina experience seasons depending on mzunguko wa Tufe... binafsi ningewaelewa lakini Kwa uhalisia ulivyo,.. nashauri muache kutumia seasons kama evidence ya Dunia Tufe linalozunguka.
Ahsante.