Kitu ambacho hakiwezi kushikika na nini? Kila kitu kinaexist kwenye kitu. Mambo ya Infinity hayo.Ndiyo Dunia ni flat,...anga haina shape as it's intangible object,. Au hujui maana ya intangible ndugu yangu?
Kitu ambacho hakiwezi kushikika utasema kina shape gani?
Kwenye Dunia Tufe,..ni Direction ipi napaswa kuelekea towards Jua ikiwa ni Saa 2:30 usiku Tanzania,... Assume Dunia ina umbo hili ➡️🌍Direction ya Jua lilipo,
1. Jua lipo kwenye anga ya Dunia....Jua ni sehemu ya anga au anga ni sehemu ya jua? Usisahau kwa anga kwako ni sehemu ya dunia na si dunia sehemu ya anga.
Haijalishi ulipo au muda, utaelekea direction ya jua lilipo bila kujali kwa muda huo linaonekana kwa macho au la maana huendi kwa kutazama na kulifata, unatumia hesabu na hapo kuna hesabu za kutosha kutegemeana na kifaa utakacho tumia kwenda kwenye jua.Kwenye Dunia Tufe,..ni Direction ipi napaswa kuelekea towards Jua ikiwa ni Saa 2:30 usiku Tanzania,... Assume Dunia ina umbo hili ➡️🌍
Ndiyo gesi Kwa kuwa haishikiki huwezi kusema ina shape., kama ilivyo Kwa maji hayana shape.Kitu ambacho hakiwezi kushikika na nini? Kila kitu kinaexist kwenye kitu. Mambo ya Infinity hayo.
Kwani gesi inashikika? Gesi Ikiwa imejazwa kwenye chupa inakuwa na shape ya chupa na kushikiliwa na chupa au inakuwa haina shape sababu haishikiki kama unavyosema?
Lengo la swali langu ni kwamba,...ikiwa mnasema Jua linazama that means at 2:30 nikiwa Tanzania ili niende lilipo Jua....itabidi niende downward (as if nazama) kama jinsi Jua lilivyoonekana kufuata muelekeo huo?Haijalishi ulipo au muda, utaelekea direction ya jua lilipo bila kujali kwa muda huo linaonekana kwa macho au la maana huendi kwa kutazama na kulifata, unatumia hesabu na hapo kuna hesabu za kutosha kutegemeana na kifaa utakacho tumia kwenda kwenye jua.
Ndiyo Jua na Nyota zipo ndani ya Dunia... kuhusu umbali it's subjective.Huwa mnasema nyota, Jua vipo karibu tu na ni ndani ya Dunia... kweli au si kweli ?
Wewe umeshughulisha vipi akili sasa?Tunaoshughulisha akili ni sisi ambao pamoja na mionekano wa hayo magimba huko juu kuwa midogo, haijatosha kutufanya tuamini kuwa ni size ndogo..
Ndiyo gesi Kwa kuwa haishikiki huwezi kusema ina shape., kama ilivyo Kwa maji hayana shape.
Kuweka simple, jiulize gas ina shape gani? achana na shape ya container unayowekea hiyo Gas,..
Hapana. Jua kuzama ni lugha inayomaanisha usiku unaingia. Hiyo lugha haina uhusiano na jua kwenda chini.Lengo la swali langu ni kwamba,...ikiwa mnasema Jua linazama that means at 2:30 nikiwa Tanzania ili niende lilipo Jua....itabidi niende downward (as if nazama) kama jinsi Jua lilivyoonekana kufuata muelekeo huo?
Sawa...,hivi kwa mfano Maji tukiyaweka kwenye sponge,.yanakua na shape gani?Kila kitu kina shape. Shape inatokana na container. Hayo unayoyaita maji yapo somewhere, yameshikiliwa na something, na yamechukua shape ya hiyo something.
Sawa na Mimi nakubaliana na wewe kwamba Jua actually halizami wala kwenda chini..Hapana. Jua kuzama ni lugha inayomaanisha usiku unaingia. Hiyo lugha haina uhusiano na jua kwenda chini.
Sponge inahifadhi maji kutumia nini?Sawa...,hivi kwa mfano Maji tukiyaweka kwenye sponge,.yanakua na shape gani?
Sponge inahifadhi maji Kwa kuyafyonza(absorb) kupitia kwenye matundu yake.Sponge inahifadhi maji kutumia nini?
Kwa hiyo maji ili yakae kwenye vitundu inabidi yawe na shape ya hivyo vitundu.Sponge inahifadhi maji Kwa kuyafyonza(absorb) kupitia kwenye matundu yake.
Mbona unaleta utoto,Wewe umeshughulisha vipi akili sasa?
Au NASA walivyokuambia Dunia ni Tufe linalozunguka ndiyo tayari ushashughulisha akili yako?
Kwa ufupi ni kwamba maji on it's own hayana shape,.na ndiyo maana yanaweza ku fit kila sehemu......kitu chenye fixed shape hakiwezi kukaa kwenye kila container.Kwa hiyo maji ili yakae kwenye vitundu inabidi yawe na shape ya hivyo vitundu.
Yes upo sahihi,. Kama usingefundishwa na kujifunza nadharia za Dunia Tufe linalozunguka,.on your own usingeweza kujua wala hata kuhisi kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka.Mbona unaleta utoto,
Nini maana ya kujifunza ?
kila tunachokisoma tunakipokea kwa kukipitisha kwanza kwenye tafakuri ili ubongo uchakate na kufanya tafiti zinazowezekana ili kukubaliana na tulichokisoma.
Hiki unachokisema wewe ni akili za watu wa flat Earth ( Hao/nyinyi mnategemea youtuber wanaopinga sayansi na kazi zake )
Siamini mtu mwenye akili timamu, ambae kichwa chake kina uwezo mzuri wa kudadavua mambo na kuyachakata ili kuchuja na kuelewa facts kama anaweza akasema Dunia ni flat, Siamini.
Maji on it's own unamaanisha nini boss? Hakuna kitu ambacho kipo on its own, kila kitu ni muunganiko wa vitu vilivyoshikiliwa na kitu na kishikio ndo hutengeneza shape.Kwa ufupi ni kwamba maji on it's own hayana shape,.na ndiyo maana yanaweza ku fit kila sehemu......kitu chenye fixed shape hakiwezi kukaa kwenye kila container.
... Bruce Lee alishawahi kusema kwamba "When you put water into a cup it becomes a cup, you put it into a teapot it becomes a teapot, the water can flow or it can crush, be formless, shapeless like Water,..akamalizia kwa kusema "Be water my friend"!
Anhaa kumbe,..basi tusaidie maji yana shape gani?Maji on it's own unamaanisha nini boss? Hakuna kitu ambacho kipo on its own, kila kitu ni muunganiko wa vitu vilivyoshikiliwa na kitu na kishikio ndo hutengeneza shape.
We jamaa ni mgumu sana kuelewa. Nimekuambia, hiyo shape yako uliyo nayo inatokana na mfumo wa container lililokushikilia usitapanyike into space, huna shape nje ya hicho kishikio, same to water, itachukua shape ya kishikio. Tofauti yako wewe na maji ni kuwa maji yanaweza fit kwenye vitu vingine vya aina nyingi na kuendelea kuexist kwa shape ya hivyo vitu.Anhaa kumbe,..basi tusaidie maji yana shape gani?