Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
No nimeuliza tu au kuuliza maana yake ni mgumu kuelewa..?

Bado hujajibu,.maji yana shape gani....?

Umetoa mfano wa shape ya mtu hapo,.lakini kiuhalisia ningekuuliza Mtu ana shape gani wala usingepata shida Kwa kuwa inajulikana, tofauti ilivyo Kwa maji.
 
Hakuna shida yoyote niliyopata. Nimekupa jibu hii ni mara kama ya 1000 kuwa kila kitu kinaexist kwa kushikiliwa na kitu kingine.Na shape inatokana na hicho kishikio.

Mfano wewe hapo una shape gani? Ukidondokewa na jiwe kubwa ukavunjika vunjika unakuwa na shape gani? Ukikunjwa kunjwa uenee kwenye bakuli unakuwa na shape gani?
 
Twende pole pole tutafika Tu....

1. Nikiyamwaga maji chini ya ardhi yatakua na shape gani?

2. Mtu akiwa amelala chini ya ardhi atakua na shape gani?
 
Twende pole pole tutafika Tu....

1. Nikiyamwaga maji chini ya ardhi yatakua na shape gani?
Maji yakiwa kwenye ardhi kishikio kinachoyashikilia yaendelee kuwa maji ni nini?
2. Mtu akiwa amelala chini ya ardhi atakua na shape gani?
Mtu amelela chini ya ardhi kishikio kinachomshikilia aendelee kuwa mtu ni nini?

Halafu ukishajibu urudi sasa kwenye shape ya dunia. Ujiulize dunia imeshikiliwa na vitu gani.
 
Maji yakiwa kwenye ardhi kishikio kinachoyashikilia yaendelee kuwa maji ni nini?

Mtu amelela chini ya ardhi kishikio kinachomshikilia aendelee kuwa mtu ni nini?
1. Ni ardhi
2. Ni ardhi

Haya lete majibu sasa...
 
Jibu maswali ya jamaa ameuliza direction ya air resistance ni wapi (a)upward
(b)downward
(c) in all directions?
 
Jibu maswali ya jamaa ameuliza direction ya air resistance ni wapi (a)upward
(b)downward
(c) in all directions?
Hilo swali nimelijibu ila nitakusaidia Kwa urahisi hapa ili usiulize tena maisha yako yote.....

(i) Air resistance ina act against motion of the object.,
(ii) So., ikiwa object imerushwa juu automatically Air resistance itafanya object hiyo irudi chini,.as a result of its resistance.

NB:- Kwa kukusaidia tena,.KINYUME CHA "JUU" NI "CHINI"...so, ikiwa kitu kimerushwa juu na ushaambiwa Air resistance ina act against the motion of that object,.hupaswi tena kufikiria kuhusu left,right or up cause that's not the opposite direction of where the object was heading,.... Am I making myself clear??!

Usipoelewa hapo,.hutokuja uelewe tena.Ahsante.
 
Hilo ndiyo jibu..?
Wewe ni sahihi kujibiwa kwa maswali. Nishakuambia, any shape ya kitu chochote inatokana na kishikio. Mfumo na forces zilizoishikilia hiyo object. Hakuna fixed shape kuwa object hii ina shape hii, kishikio ndo kinaamua shape. Hata wewe hiyo shape yako kuna mazingira yakitokea unabadilika. Unaweza kuwa hata kimiminika sema ili uhai uwepo kuna mfumo lazima uwepo na huo mfumo haufanyi kazi ukiwa kimiminika otherwise you can change.

Tungeelewana hapa tungeamia kwenye dunia imetengenezwa na nini na ikachukua shape gani, sasa kwa uelewa wako huu wa kufix shape tuishie hapa tu.
 
Sawa nadhani tuhitimishe kwa kusema,.The whole world including scientific experiments proves that water is shapeless.. except you 🤝🏼
 
Sawa nadhani tuhitimishe kwa kusema,.The whole world including scientific experiments proves that water is shapeless.. except you 🤝🏼
The whole world imesema wapi acha uongo. Dunia nzima inajua water borrow the shape of the container na hata object nyingine ni same case. Hiyo No shape wanaambiwa watoto wakati wa kujifunza.

Ni kama neno Nothing, hakuna kitu kinaitwa Nothing, there is always something ila Nothing imetengenezwa kuidentify object unazoziona.
 
Yap Dunia nzima +scientific experiments kasoro wewe,..na it's okay pia kuamini hivyo huenda upo sahihi....

Dunia nzima inajua water borrow the shape of the container na hata object ni same case sema. Hiyo No shape wanaambiwa watoto wakati wa kujifunza. Ushakuwa mtu mzima usikariri.
 
Ukisha borrrow shape,.that means huna shape.

Mbona unabisha kitu kipo wazi kabisa.
Kila kitu kimeborrow shape ya kitu kingine. Wewe hapo umeundwa na nini? Tukianza kuchambua kitu kimoja kimoja hivyo vitu vyote si vimeshikiliwa na kitu kingine ndipo ikapatikana shape yako? Nimekwambia tofauti yako na maji ni uwepesi wa kubadili shape(Flexibility) ila hata wewe tunaweza kukuponda ponda tukakuweka kwenye chungu na ukakaa.

Halafu ukiielewa hii concept utaelewa kwanini dunia ni duara na sio flat kama chapati.
 
So unamaanisha maji yalivyo tayari yame borrow shape ya particles nyingine,..si ndiyo??

Kama jibu ni ndiyo,.. kwanini mpaka sasa hivi umeshindwa kutaja shape ya maji ambayo imekopa toka kwenye hizo particles?


Ukiulizwa shape ya maji,.unauliza shape ya container......wakati container na maji ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
So unamaanisha maji yalivyo tayari yame borrow shape ya particles nyingine,..si ndiyo??
Shape ya maji inategemea yalipo, yako wapi? Kuna maji ambayo hayapo sehemu yoyote? Maji lazima yawepo sehemu na hiyo sehemu ndo huamua yawe na shape gani. Sijui umeelewa boss?
Kama jibu ni ndiyo,.. kwanini mpaka sasa hivi umeshindwa kutaja shape ya maji?
Mbona nakuambia kila saa hili jibu? Unataka shape ya maji yakiwa wapi?
Ukiulizwa shape ya maji,.unauliza shape ya container......wakati container na maji ni vitu viwili tofauti kabisa.
Na concept ndo ipo hapa. Na ndo hapo usipoelewa. Hakuna kitu kinachoexist chenyewe bila kitu kingine. Kuna kitu ndani ya kitu ndani ya kitu to infinity. Hivyo vitu ndani ya vitu ndo huamua shape.

Upo hapo?
 

Swali dogo Tu,..Ni ipi shape ya Maji?

Halihitaji siasa nyingi unazoleta.
 
Swali dogo Tu,..Ni ipi shape ya Maji?

Halihitaji siasa nyingi unazoleta.
Hakuna siasa kuna majibu ambayo pengine huwezi yaelewa. Kuna namna unavyotazama mambo kutegemeana na uwezo wa uelewa wako.

Mfano wakati mwingine anajiuliza what the universe is made out of halafu akachukua jiwe akaanza kulivunja vunja vipande na vipande anakivunja na kipande anakivunja mpaka akakutana na sijui atoms kupata majibu mwingine anaweza asiwe na uelewa kufanya hivyo kutampaje majibu ya hilo swali. So Nakuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…