hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
No nimeuliza tu au kuuliza maana yake ni mgumu kuelewa..?We jamaa ni mgumu sana kuelewa. Nimekuambia, hiyo shape yako uliyo nayo inatokana na mfumo wa container lililokushikilia usitapanyike into space, huna shape nje ya hicho kishikio, same to water, itachukua shape ya kishikio. Tofauti yako wewe na maji ni kuwa maji yanaweza fit kwenye vitu vingine vya aina nyingi na kuendelea kuexist kwa shape ya hivyo vitu.
Bado hujajibu,.maji yana shape gani....?
Umetoa mfano wa shape ya mtu hapo,.lakini kiuhalisia ningekuuliza Mtu ana shape gani wala usingepata shida Kwa kuwa inajulikana, tofauti ilivyo Kwa maji.