Sure thing,..I am a fool if I believe the earth is an imaginary impossi-ball which Is moving for for about 108,000 kilometers per hour..... Even though I don't feel the motion, and there's no single way for me to know if Earth is spinning, I only feel its stationary state.You are a fool if you believe the earth is flat
Joto la mazingira ya kawaida? Mazingira gani hayo? kumbuka sometimes mvua Inashuka Hadi ya barafu...sasa unasemaje hayashuki yakiwa baridi?Maji hayashuki yabaridi,yanashuka yakiwa na joto la mazingira ya kawaida.
Ndiyo akili yako ilipoishia hapo....mtu yoyote anaeamini tofauti na Jamii inavyoamini hawezi akategemea Google kama source ya majibu yake maana Google kumejaa theories za round ball, evolution, gravity na kadhalika sasa Mtu utawezaje kutumia Google as a source wakati ina contradict unachokiona na kukuamini? Si utakua mjinga sasaUnalimodify ili ukaligoogle vizuri eti eee๐๐
Sio sahihi kusema Jua lime stuck sehemu moja as it's constantly moving...Bali kinachotokea ni kwamba ndani ya miezi hiyo ambayo midnight sun inatokea,..Jua linakua linazunguka kwenye path inayofanya Jua always liwe lina face(kutazamana) na baadhi ya maeneo kitu ambacho kinafanya maeneo hayo ku experience mwanga wa Jua mpaka nyakati za usiku...so this mysterious scenario inasababishwa na movement ya Jua kwenye path yake.Kwa mda huo sehemu nyingine inakuwa na jua lipi kama lime stuck kwa mda huo mrefu?
Lakini ni wewe ulisema hamjui hata namna jua linavyofanya mizunguko yake,Sio sahihi kusema Jua lime stuck sehemu moja as it's constantly moving...Bali kinachotokea ni kwamba ndani ya miezi hiyo ambayo midnight sun inatokea,..Jua linakua linazunguka kwenye path inayofanya Jua always liwe lina face(kutazamana) na baadhi ya maeneo kitu ambacho kinafanya maeneo hayo ku experience mwanga wa Jua mpaka nyakati za usiku...so this mysterious scenario inasababishwa na movement ya Jua kwenye path yake.
Kwa kuongezea kutokana na movement ya Jua hata Tanzania hapa kuna kipindi usiku ulikua unawahi kuingia mfano saa 12:20 jioni unakuta Giza tayari.....lakini Kwa kipindi cha hapa karibuni unakuta mpaka saa 1 bado Mwanga wa Jua upo(yaani usiku haujaingia vizuri) so ni mwendo wa Jua ndiyo unasababisha variations of day & night times considering kwamba Dunia ipo stationary & plane!
Sawa,...kwanza kimsingi swali lako lina makosa kidogo logically kwasababu umesema kwanini Jua haliyakaushi maji ya mvua.... Kimsingi ni kwamba Maji yakikutana na joto Kali yatayeyuka(melting) na sio kukauka kama ulivyosema.Aisee. Haya tupe majibu.
Nitarudi hapaLakini ni wewe ulisema hamjui hata namna jua linavyofanya mizunguko yake,
Wewe hizi information unazotoa hapa zinakuja how ? Unaweza kuelezea ?
Sio sahihi kusema Jua lime stuck sehemu moja as it's constantly moving...Bali kinachotokea ni kwamba ndani ya miezi hiyo ambayo midnight sun inatokea,..Jua linakua linazunguka kwenye path inayofanya Jua always liwe lina face(kutazamana) na baadhi ya maeneo kitu ambacho kinafanya maeneo hayo ku experience mwanga wa Jua mpaka nyakati za usiku...so this mysterious scenario inasababishwa na movement ya Jua kwenye path yake.
Kwa kuongezea kutokana na movement ya Jua hata Tanzania hapa kuna kipindi usiku ulikua unawahi kuingia mfano saa 12:20 jioni unakuta Giza tayari.....lakini Kwa kipindi cha hapa karibuni unakuta mpaka saa 1 bado Mwanga wa Jua upo(yaani usiku haujaingia vizuri) so ni mwendo wa Jua ndiyo unasababisha variations of day & night times considering kwamba Dunia ipo stationary & plane!
Ndiyo Jua haliwezi kumulika Dunia nzima at once,...au na hili pia unataka ubishe?โJua ni dogo na haliwezi kumulika kila sehemu ya uso wa duniaโ nime quote sentensi yako ya nyuma..
mwanzo ulinikubalia kuwa jua lina stuck sehemu moja kwa muda kidogo (ulidhani ni muda mfupi). Baada ya kwenda kuangalia sehemu ukakuta ni muda mrefu jua linaangaza sehemu ya uso wa dunia then unakuja kubadilisha maelezo ya mwanzo tena kwa kutumia maelezo yaliyopo based on ellipsoidal earth, kwa kureplace dunia na kuweka jua linazunguka kwenye path/ muhimili unao sababisha jua kuangaza sehemu ya uso wa dunia na baadhi ya eneo (baadhi ya maeneo au illumination inakuwepo sehemu kubwa ya dunia kuondoa places ambazo ziko furthest away from the sun?)..
Wewe unaesema upo competent kwenye science ukiombwa ulete ushahidi wa kwamba Dunia inazunguka utaweza? au umeamua tu kuamini blindly? ....sio kama watu wanataka tu Ku challenge bali kila kitu kinachokua challenged kinapaswa kuwa challenged kutokana na ukweli kwamba still hakuna ushahidi ambao utazuia moja kwa moja watu kuhoji kitu au nadharia hiyo.Kitu cha mwisho majibu yako yanaonesha uko incompetent kwenye uwanda wa science. Na pia hauko open minded au unataka ku challenge. Sioni haja ya kuendelea dialogue hii.
Ndiyo Jua haliwezi kumulika Dunia nzima at once,...au na hili pia unataka ubishe?
Eti baada ya kwenda kuangalia sehemu daah we Jamaa bhana....kwamba nimereplace Dunia Kwa kuweka Jua? So wewe unaamini Jua lipo stationary? Dunia ndiyo ipo stationary kama unavyoiona.
(i) Lini umeiona Dunia iki move?
(ii) Lini ulihisi Dunia ina move?
(iii) Lini umepima ukagundua Dunia ina move?
(iv) Ulitumia kipimo gani?
Utakuta hakuna hata kimoja Kati ya hivyo hapo juu umefanya,..Then unashangaa watu kuhoji?
Wewe unaesema upo competent kwenye science ukiombwa ulete ushahidi wa kwamba Dunia inazunguka utaweza? au umeamua tu kuamini blindly? ....sio kama watu wanataka tu Ku challenge bali kila kitu kinachokua challenged kinapaswa kuwa challenged kutokana na ukweli kwamba still hakuna ushahidi ambao utazuia moja kwa moja watu kuhoji kitu au nadharia hiyo.
NB:- Mimi nipo open minded,..ukitaka uthibitishe hili lete ushahidi wa dunia tufe linalozunguka then nitabadili mtazamo wangu,... ukileta maneno utaonyesha wazi kwamba huna uthibitisho kitu ambacho kitafanya usistahili kuaminika ๐ค๐ผ
Ukiwa una log off,. tukubaliane kwamba kuna vitu umeviamini licha ya kuwa huna ushahidi navyo...Kwa mfano nimekuuliza hapo kwamba kipi kimepelekea uamini Dunia inazunguka.,naona hujajibu ukaanza kunituhumu mimi tena.Mbona ushahidi unautumia kujibu hoja za watu humu ndani kwa kuupinduapindua kulazima hypothesis zisizokuwa na majibu ya maswali unayoulizwa? Usikazane kuwa objective while weโre asking very deep and specific questions ambazo ungeelezea moja baada ya nyingine kwa kuzingatia hypothesis unayoikazania.. wewe umekazana na lete ushahidi lete ushahidi.. so childish. Loging off
Nimecopy nini sasa mkuu,? Kwani hili sio tufe ๐๐ผ๐hateeb10 Pia dunia sio tufe (sphere) badilisha tabia ya kukopi kila kitu.. tufe is a sphere while duara is a circle..
Wewe kuna ushahidi wowote wa nadharia yako ulioleta hapa mkuu ?Ndiyo Jua haliwezi kumulika Dunia nzima at once,...au na hili pia unataka ubishe?
Eti baada ya kwenda kuangalia sehemu daah we Jamaa bhana....kwamba nimereplace Dunia Kwa kuweka Jua? So wewe unaamini Jua lipo stationary? Dunia ndiyo ipo stationary kama unavyoiona.
(i) Lini umeiona Dunia iki move?
(ii) Lini ulihisi Dunia ina move?
(iii) Lini umepima ukagundua Dunia ina move?
(iv) Ulitumia kipimo gani?
Utakuta hakuna hata kimoja Kati ya hivyo hapo juu umefanya,..Then unashangaa watu kuhoji?
Wewe unaesema upo competent kwenye science ukiombwa ulete ushahidi wa kwamba Dunia inazunguka utaweza? au umeamua tu kuamini blindly? ....sio kama watu wanataka tu Ku challenge bali kila kitu kinachokua challenged kinapaswa kuwa challenged kutokana na ukweli kwamba still hakuna ushahidi ambao utazuia moja kwa moja watu kuhoji kitu au nadharia hiyo.
NB:- Mimi nipo open minded,..ukitaka uthibitishe hili lete ushahidi wa dunia tufe linalozunguka then nitabadili mtazamo wangu,... ukileta maneno utaonyesha wazi kwamba huna uthibitisho kitu ambacho kitafanya usistahili kuaminika [emoji1755]
Mimi huku nlishamaliza, Mbona unanirudisha nyuma ?
Mkuu hivi mtu anayeamini kitu kwa kutumia Common Sense zake mwenyewe na mtu anayeamini kitu baada ya kusimuliwa tu bila kuona kwa macho nani ana akili zaidi?Alafu unaaibisha watu wa Mbeya, Mbona huko watu wana akili sana.
Kumbe wewe unatumia imani "Unaamini"Mkuu hivi mtu anayeamini kitu kwa kutumia Common Sense zake mwenyewe na mtu anayeamini kitu baada ya kusimuliwa tu bila kuona kwa macho nani ana akili zaidi?
Tuliambiwa kwamba jua ndiyo kitovu cha mfumo wa sayari, picha zenyewe zinazotumika kuelezea mfumo wa jua ni za kuchora [emoji23][emoji23][emoji23] Je, kama tulipigwa je?
Tuliambiwa dunia inajizungusha kwenye muhimili wake, ushahidi wa kuonekana unao? (Sio wa vidio za kutengenezwa kwenye Software) nahitaji ushahidi wa uhakika.
Tuliambiwa dunka inazunguka jua, Can you prove it? Unaweza kunithibitishia kwa macho kwamba dunia inazunguka jua?
TuliambiwaMkuu hivi mtu anayeamini kitu kwa kutumia Common Sense zake mwenyewe na mtu anayeamini kitu baada ya kusimuliwa tu bila kuona kwa macho nani ana akili zaidi?