Ndiyo Jua haliwezi kumulika Dunia nzima at once,...au na hili pia unataka ubishe?
Eti baada ya kwenda kuangalia sehemu daah we Jamaa bhana....kwamba nimereplace Dunia Kwa kuweka Jua? So wewe unaamini Jua lipo stationary? Dunia ndiyo ipo stationary kama unavyoiona.
(i) Lini umeiona Dunia iki move?
(ii) Lini ulihisi Dunia ina move?
(iii) Lini umepima ukagundua Dunia ina move?
(iv) Ulitumia kipimo gani?
Utakuta hakuna hata kimoja Kati ya hivyo hapo juu umefanya,..Then unashangaa watu kuhoji?
Wewe unaesema upo competent kwenye science ukiombwa ulete ushahidi wa kwamba Dunia inazunguka utaweza? au umeamua tu kuamini blindly? ....sio kama watu wanataka tu Ku challenge bali kila kitu kinachokua challenged kinapaswa kuwa challenged kutokana na ukweli kwamba still hakuna ushahidi ambao utazuia moja kwa moja watu kuhoji kitu au nadharia hiyo.
NB:- Mimi nipo open minded,..ukitaka uthibitishe hili lete ushahidi wa dunia tufe linalozunguka then nitabadili mtazamo wangu,... ukileta maneno utaonyesha wazi kwamba huna uthibitisho kitu ambacho kitafanya usistahili kuaminika [emoji1755]