Hahh,. majibu yameenda Shule hayo ndiyo maana umekua confused.Unaona majibu yako sasa🤣🤣, siku njema ndugu
Nakubali kaka🤣🤣🤣Hahh,. majibu yameenda Shule hayo ndiyo maana umekua confused.
Pumzika ndugu yangu.
Embu waelezee watizamaji wa hii picha,ni kwanini mbao zinapungua ukubwa na kuwa nyembamba lakini miti mbele yake iko vile vile??mkorinto anakuambia ukiwa Tanzania huwezi kuiona Zanzibar kwasababu ya curvature of the earth.....ukimuambia athibitishe sasa.........Hahhh
View attachment 2949016
Kwanini?Yes nadhani wanajua...
Sunrise and sunset, Ship visibilityNingekua na akili ndogo ningeamini Dunia ni Tufe linalozunguka,..kama wewe ulivyoaminishwa.
Lakini Kwa kuwa akili yangu inafanya kazi vizuri,....ndiyo maana vitu ambavyo haviingii akilini inaniwia ugumu kuviamini.
Mfano,.mtu unasema Dunia inazunguka ukiombwa uthibitisho huna sasa,.. unategemea tukuamini vipi?
Sunrise na sunshine?Sunrise and sunshine, Ship visibility
Huo hapo ushahidi na unashuhudia kila siku.
Hili swali mantiki yake nini?Kwanini?
Kwanini umefikiri kuwa chawa wanajua kuwa dunia ni flat?Hili swali mantiki yake nini?
Kwakuwa viumbe wana level fulani ya utambuzi basi hiyo inatosha kuhitimisha kwamba probably Chawa pia anajua kwamba Dunia ni flat,.... Since Dunia is truly flattened horizontal surface.Kwanini umefikiri kuwa chawa wanajua kuwa dunia ni flat?
Hahah nlimaanisha Sunrise and Sun-setSunrise na sunshine?
Kuwa makini.
Umeandika mwenyewe Sunrise and sunshine.Usiwe mjinga.
Kwanini umeung'ang'ania ujinga kijana ?
Samahani kwa hilo, Nlidhani unamaanisha niwe makini kwenye concept nzimaUmeandika mwenyewe Sunrise and sunshine.
Kisha unanibatiza Mimi ujinga.....nimeshauri uwe makini.
Zingatia hilo.
Pole Sana,.watu wa Dunia Tufe linalozunguka hampo makini ndiyo maana kuna vitu vinawachanganya.Hahah nlimaanisha Sunrise and Sun-set
Hahhh tatizo mna haraka wakati mkiombwa uthibitisho mnasema Ship visibility,... Sasa ndiyo uthibitisho kweli huo?Samahani kwa hilo, Nlidhani unamaanisha niwe makini kwenye concept nzima
Nmerudi kuangalia nlipokosea nmeona.
Naomba picha ya Dunia ikiwa tambarareHahhh tatizo mna haraka wakati mkiombwa uthibitisho mnasema Ship visibility,... Sasa ndiyo uthibitisho kweli huo?
Ndio ukiwa ndani ya ndege huwezi kufeel inavyopaa mpaka inapokaribia kutua ama kubadilisha altitude yake, ikiwa kwenye speed constantly huwez kufeel kituKo wewe ukiwa ndani ya gari huwa hulisikia linavyotembea huwa unashtukia tu uko Chalinze?🤣🤣🤣 Ko kujua kwamba garo lina move ni mpaka mtu aliyeko nje ya gari ndiyo athibitishe, sio?🤣🤣🤣
Hivi wew ndo ulisemaga kuwa ukirusha object juu ikiwa inarudi chini kunakuwa hakuna air resistance, si ndio?Hahhh tatizo mna haraka wakati mkiombwa uthibitisho mnasema Ship visibility,... Sasa ndiyo uthibitisho kweli huo?
Narudia tena kwamba,...usitegemee picha ili kujua kama Dunia ni tambarare ama la Kwasababu hakuna camera yenye uwezo wa kuchukua picha ya Dunia nzima.Naomba picha ya Dunia ikiwa tambarare
Hiyo ishu ya air resistance+ gravity+density tulishaimaliza na majibu yote yapo humu...Hivi wew ndo ulisemaga kuwa ukirusha object juu ikiwa inarudi chini kunakuwa hakuna air resistance, si ndio?
Unaishi karne gani wewe,Narudia tena kwamba,...usitegemee picha ili kujua kama Dunia ni tambarare ama la Kwasababu hakuna camera yenye uwezo wa kuchukua picha ya Dunia nzima.
Lakini Ku satisfy akili yako tazama hapa....View attachment 2949848View attachment 2949849