Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hao hao NASA wanakuambia planet zote zinazunguka jua ,zilikua sayari 9 mara zimebaki 8 Moja imepotea .... Sasa imepotea vp
Unaonesha kiasi Gani unaufinyu wa maarifa kuhusu hili, elimu ya sayansi inakuwa Kila kukicha, zamani tulikuwa tunaamini Kuna sayari 9 including Pluto but around 2006 International Astronomical Union (IAU) waka-i-reclassify as dwarf planet so kama ikawa imekosa sifa za kuwa planet, sio kwamba ilipotea ipo but Ina lack sifa za planet.
 
1. Sababu ya kutofeel ni kwamba we are rotating along with it.

Earth's rotation ni constant, so our bodies na Kila kitu around us are moving at the same speed as the Earth's surface.
So hii ina-creates illusion of a stable environment, na tumeshakuwa adapted to this rotational motion over millions of years.

Na Earth's atmosphere ina-move along with its surface, kwahy hatuwezi kukafeel any significant effects from the Earth's rotation.

2. Source ya energy ya Dunia kuzunguka ni complex ila imeelezewa katika uundwaji wa Dunia ( big bang theory), but still am not sure. Though hata ww huwezi kunambia source ya Jua na mwezi kumove.

3. Source ya mwanga kwenye sayari zote ni Jua, ndo maana inaitwa solar system. As long as zina-revolve around the sun na zinarotate basi zina usiku na mchana na seasons, but seasons haziwez kufanana na duniani Kwa sabab ya umbali kutoka kwenye Jua.

Hakuna ugumu wowote hapa, kama utafungua kichwa chako na kuwa muelewa.
 
Shida yako unaufinyu wa maarifa,
Unaposema source ya energy ni Jua, unamaanisha nn? Kwamba ndo itafanya Jua lizunguke?? Kwahy Jua kutoa heat na light ndo inasababisha motion??

Hapo kwenye mars kuwa na moon ngapi nn concept yako??
 
Mkuu naomba usome kwanza quote uliyoni quote kisha naomba ujibu HOJA logically
Logically ni kwamba,... kuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka au haizunguki.

Kitu cha Kwanza unachopaswa kutumia ni milango yako ya fahamu (Primary Data of research)

Kitu cha pili ni reference kutoka Kwa wengine sasa ikiwemo NASA and the likes.,(Secondary data of research)

---------------------------------
Sasa tatizo linakuja kwamba unapuuzq primary data of research,...kisha unaenda kwenye Secondary data, (jambo ambalo ni kosa kubwa), then unajiuliza wanadanganya Kwa faida gani.......

Kujua wanadanganya kwasababu gani sio ishu hapa,...ishu ni kwamba, Do your primary data of research correspond with the results of secondary data of research?

Je, kwenye primary data, Dunia ni Tufe?
Je, kwenye primary data, Dunia inazunguka?


Ukijiuliza kwanini unadanganywa,....tayari unakua upo distracted na hoja ya msingi,.. hutakiwi Tu kufuata jambo kisa hujui waliokuambia jambo hilo watapata faida gani ikiwa wanadanganya.
 
Tunaona mwanga wa Jua, Jua always Lina emmits an enormous amount of light. Na unajua speed ya mwanga, lkn pia size ya Jua sio ndogo kama unavyodhani.
 
Uongo.
 
Hiyo sababu haingii akilini,... kwasababu licha ya kutohisi, kuona wala kusikia.... still hakuna actual video au measurement iliyowahi kuthibitisha kama dunia inazunguka......yaliyopo ni maneno tu kama haya uliyoleta.


Kwenye kudanganyana utasikia watu wanasema.....
(a) Duniani kuna curvature... LAKINI HUWEZI KUONA

(b) Dunia inazunguka.....LAKINI HUWEZI KUHISI,KUONA WALA KUSIKIA.


Uongo umefichwa kwenye "LAKINI" HAPO!
 
Basi jibu ww maswali yake?
 
Endelea kusema uongo with no facts😂 nimekuzoea, so what is your point?
Hahh., kipindi upo kimya nilijua umejichimbia field ukifanya tafiti nzito nzito ili utuletee uthibitisho wa Dunia Tufe linalozunguka.

Kwa bahati mbaya bado umerudi na maneno yale yale.
 
Sipo hapa kujibu maswali,...nipo hapa kukanusha uongo.

Kujibu maswali na kupinga uongo ni vitu viwili tofauti... naamini unafahamu kuhusu hilo.
Ww umesema mm muongo, basi ww sema huo ukweli, mwenzio anataka majibu.
 
Ww umesema mm muongo, basi ww sema huo ukweli, mwenzio anataka majibu.
Nishasema ukweli kwamba Dunia haizunguki,... kwakuwa mpaka sasa hakuna uthibitisho wowote zaidi ya maneno tu......yaani kimsingi hatujawahi kuhisi, kuona wala kusikia popote kama Dunia inazunguka.

Wanaosema Dunia inazunguka wanapaswa kutuambia wamejuaje?


Nadhani majibu hayo yanamtosha kabisa.
 
Kwahy Hilo ndo swali pekee uliloona kauliza?
 
Wewe si nilikuomba video ya Jua linazunguka ulinipa? Record tuma hapa Jua linazunguka
 
Kwahy Hilo ndo swali pekee uliloona kauliza?
Nimesema sipo hapa kujibu maswali,..nipo hapa kupinga uongo.

Ukiona nimekuja kuongea kitu hapa ujue kuna dalili za uongo nimeziona,..ukiona nimekaa kimya ujue sina data kuhusu jambo lililozungumziwa.

Simply,."I AM A LIE DETECTION MACHINE "
 
Wewe si nilikuomba video ya Jua linazunguka ulinipa? Record tuma hapa Jua linazunguka
Sasa si atleast kuhusu Jua kufanya movement hata wewe unaweza Ku observe na macho yako?

Amka asubuhi saa 12 chukua kiti kaa,..kisha angalia kadri saa zinavyoenda Jua linasogea kuelekea Magharibi.

Kitu ambacho tokea uzaliwe hujawahi kuona Kwa Dunia ambayo unaambiwa inazunguka.


Yaani hujawahi kuona hata Kwa device yoyote jinsi Dunia inavyohama kutoka point moja kwenda point nyingine...... think critically.
 
Ndio maana huwa nasema wewe ukiwa kwenye gari kwa akili yako namna ilivyo ni wazi mtazamo wako ni kwamba miti ndio inafanya movement [emoji28]
 
Ndio maana huwa nasema wewe ukiwa kwenye gari kwa akili yako namna ilivyo ni wazi mtazamo wako ni kwamba miti ndio inafanya movement [emoji28]
Kuliko kucheka hapa,..ungesaidia kuleta uthibitisho wowote unaoonyesha Dunia ikifanya movement.


Vinginevyo utakua bingwa wa kuchekesha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…