Mkuu naomba usome kwanza quote uliyoni quote kisha naomba ujibu HOJA logically
Logically ni kwamba,... kuhusu umbo la Dunia na whether inazunguka au haizunguki.
Kitu cha Kwanza unachopaswa kutumia ni milango yako ya fahamu (Primary Data of research)
Kitu cha pili ni reference kutoka Kwa wengine sasa ikiwemo NASA and the likes.,(Secondary data of research)
---------------------------------
Sasa tatizo linakuja kwamba unapuuzq primary data of research,...kisha unaenda kwenye Secondary data, (jambo ambalo ni kosa kubwa), then unajiuliza wanadanganya Kwa faida gani.......
Kujua wanadanganya kwasababu gani sio ishu hapa,...ishu ni kwamba, Do your primary data of research correspond with the results of secondary data of research?
Je, kwenye primary data, Dunia ni Tufe?
Je, kwenye primary data, Dunia inazunguka?
Ukijiuliza kwanini unadanganywa,....tayari unakua upo distracted na hoja ya msingi,.. hutakiwi Tu kufuata jambo kisa hujui waliokuambia jambo hilo watapata faida gani ikiwa wanadanganya.