The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Unaakili ndogo ww!! Sasa nakuuliza tena swali upo kwenye basi upo seat ya nyuma basi Linamove, dereva yupo mbele, je utasema dereva anamove away kutoka ulipo?Hahh,..tumia akili vizuri
Logically.., if two cars(Sun & Earth ) are in motion, you cannot say that one is stationary with respect to the other unless you're trying to lie. Each car has its own motion, and neither can be considered stationary relative to the other while both are moving...... unaelewa?
Unailewa vzr Einstein theory of general relativity? Embu niambie alielezea vipi kuhusu gravity, acha kujitoa akiliAcha bangi mkuu,....hivi umesahau kama Einstein mwenyewe idea yake ni kwamba You can't absolutely tell of whether the earth is in motion or at rest?
Sasa Kwa statement hiyo akili yako imerukia vipi kuhitimisha kwamba Dunia inazunguka?......maana Einstein mwenyewe haukua msimamo wake huo.,unamsingizia!
Sasa kama Dunia ingekuwa flat, kwann ndege i-adjust altitude? Hivi unatumia nini kufikilia???? Wewe huoni kuwa ina adjust Ili kufata curve?Sasa kuadjust flight level kunahusiana vipi na imaginary curve of the earth?...huoni kwamba adjusting flight level inathibitisha Dunia ni flat?
Hii point haimake sense na sijui kwann unaing'ang'ania. Nimekupa mfano wa video kwani majengo hayakuchange position?? Kwahy tuseme majengo yanamove?.Uthibitisho ni changing point/position of the Sun......Tenga siku amka asubuhi ujionee mwenyewe.
Au kama atakataa, atuoneshe huko mwisho wa duniaNajua namna ambavyo umepanga uthibitisho wako uwe,
Nna swali kabla hatujafanya hivyo
Ni ngumu na haiwezekani kupata uthibitisho wa umbo fulani kubwa mara billion ya umbo lako wewe, Tena ukiwa kwenye uso wa hilo gimba,
Haiwezekani na ni vigumu bila wewe kwenda mbali na hilo gimba.
Je wewe ni method gani utaitumia kujua umbo kamili la Dunia hii yote kwa pamoja ?
Au atuambie kuwa yale majengo ndio yalikuwa yanamove. Maana hata nayo yalikuwa yanachange position.Nipe uthibitisho kuwa Jua ndio ambalo linakua limechange point na sio kuwa ni illusion..
Kujenga hoja haujui, unasikitisha sana.Sasa Kwanini kwenye mfano wako kitu ambacho kwenye uhalisia kipo stationary (Dunia) unakipa sifa ya Kitu kinacho move (camera) kwenye mfano wako?
Wewe ulilokuwa unaangalia hiyo video simu yako ilikuwa inamove?Sasa Kwanini kwenye mfano wako kitu ambacho kwenye uhalisia kipo stationary (Dunia) unakipa sifa ya Kitu kinacho move (camera) kwenye mfano wako?
Huoni kama unakosea kufananisha vitu visivyofanana?
Chukulia sasa upo kwenye Camera(Dunia) na Camera(Dunia) inafanya movement,...Je, utashindwa kufahamu kwa milango yako ya fahamu au hata kwa msaada wa teknolojia kama camera ina move?
Kama unasema mm nimeshikiwa akili, mbona wewe unakubaliana na Einstein au ulikuwa nae pamoja mlisaidiana?Una akili za kushikiwa Sana,...yani ulichoaminishwa ndiyo hicho umekibeba bila reasoning yoyote....ajabu hii!
Reasoning capacity yake ipo chini, Vitu vidogo vinamsumbuaAu atuambie kuwa yale majengo ndio yalikuwa yanamove. Maana hata nayo yalikuwa yanachange position.
Anatapatapa sana, mtu anamtumia Einstein kutetea ujinga wake wakati theory ya Einstein ina-apply kwenye Dunia tufe.Reasoning capacity yake ipo chini, Vitu vidogo vinamsumbua
ChaiDunia ni duara ambalo kwenye ncha zake ni flat. Kipenyo kutoka ncha ya kaskazini ni kifupi kidogo kuliko kipenyo cha ikweta kwa tofauti ya km 44 hivi.Zipo sababu nyingi zinazothibitisha kuwa Dunia Ni duara. Asemaye vinginevyo huyo anachangamsha kundi Hana hoja ya kisayansi au kijiografia. Haya ni mawazo ya watu wa zamani ambayo Ni dhahiri leo yalitokana na ujinga tu. Kama Dunia ni tambarare maana yake lazima iwe na sura ya mstatili, upande mmoja ungekuwa mchana Dunia nzima na upande mwingine ni giza, kwenye ncha kungekuwa giza daima, satellite zisingeweza kuzunguka Dunia, watu tungeona mpaka ulaya kutoka Africa kwa sababu macho yetu hayana mwisho wa kuona.
Chai
The distance between me and being with low reasoning capacity is like the distance between the Earth and the star Sirius in the sky....Reasoning capacity yake ipo chini, Vitu vidogo vinamsumbua
Tulia nitakujibu Kwa point,..wewe ni special case.Ndo unachoweza kusema pekee. Ila kukataa Kwa point huwezi
You have nothing!!The distance between me and being with low reasoning capacity is like the distance between the Earth and the star Sirius in the sky....
Ni kazi sana kwakoTulia nitakujibu Kwa point,..wewe ni special case.
Narudia tena.......Unaakili ndogo ww!! Sasa nakuuliza tena swali upo kwenye basi upo seat ya nyuma basi Linamove, dereva yupo mbele, je utasema dereva anamove away kutoka ulipo?
Logically..,hapo umemaanisha Nina "Nothing"You have nothing!!