Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hahh,..tumia akili vizuri

Logically.., if two cars(Sun & Earth ) are in motion, you cannot say that one is stationary with respect to the other unless you're trying to lie. Each car has its own motion, and neither can be considered stationary relative to the other while both are moving...... unaelewa?
Unaakili ndogo ww!! Sasa nakuuliza tena swali upo kwenye basi upo seat ya nyuma basi Linamove, dereva yupo mbele, je utasema dereva anamove away kutoka ulipo?
 
Acha bangi mkuu,....hivi umesahau kama Einstein mwenyewe idea yake ni kwamba You can't absolutely tell of whether the earth is in motion or at rest?

Sasa Kwa statement hiyo akili yako imerukia vipi kuhitimisha kwamba Dunia inazunguka?......maana Einstein mwenyewe haukua msimamo wake huo.,unamsingizia!
Unailewa vzr Einstein theory of general relativity? Embu niambie alielezea vipi kuhusu gravity, acha kujitoa akili
 
Sasa kuadjust flight level kunahusiana vipi na imaginary curve of the earth?...huoni kwamba adjusting flight level inathibitisha Dunia ni flat?
Sasa kama Dunia ingekuwa flat, kwann ndege i-adjust altitude? Hivi unatumia nini kufikilia???? Wewe huoni kuwa ina adjust Ili kufata curve?
 
Uthibitisho ni changing point/position of the Sun......Tenga siku amka asubuhi ujionee mwenyewe.
Hii point haimake sense na sijui kwann unaing'ang'ania. Nimekupa mfano wa video kwani majengo hayakuchange position?? Kwahy tuseme majengo yanamove?.

Tumia akili yako vzr
 
Najua namna ambavyo umepanga uthibitisho wako uwe,

Nna swali kabla hatujafanya hivyo

Ni ngumu na haiwezekani kupata uthibitisho wa umbo fulani kubwa mara billion ya umbo lako wewe, Tena ukiwa kwenye uso wa hilo gimba,

Haiwezekani na ni vigumu bila wewe kwenda mbali na hilo gimba.

Je wewe ni method gani utaitumia kujua umbo kamili la Dunia hii yote kwa pamoja ?
Au kama atakataa, atuoneshe huko mwisho wa dunia
 
Sasa Kwanini kwenye mfano wako kitu ambacho kwenye uhalisia kipo stationary (Dunia) unakipa sifa ya Kitu kinacho move (camera) kwenye mfano wako?
Kujenga hoja haujui, unasikitisha sana.
Wewe ndio unasema Dunia ipo stationary sio Mimi.
 
Sasa Kwanini kwenye mfano wako kitu ambacho kwenye uhalisia kipo stationary (Dunia) unakipa sifa ya Kitu kinacho move (camera) kwenye mfano wako?

Huoni kama unakosea kufananisha vitu visivyofanana?

Chukulia sasa upo kwenye Camera(Dunia) na Camera(Dunia) inafanya movement,...Je, utashindwa kufahamu kwa milango yako ya fahamu au hata kwa msaada wa teknolojia kama camera ina move?
Wewe ulilokuwa unaangalia hiyo video simu yako ilikuwa inamove?

Halafu ulishaambiwa kwann hatufeel motion ya Dunia unakataa na hausemi kwann unakataa.

Hivi mtu akirecord video yupo kwenye ndege angani utajua kama hiyo ndege inamove? Hapa duniani vyote tunavyoviona vinamove nasi Kwa rate Ile Ile (sawa) except Jua, sasa utafeel vipi unamove?
 
Una akili za kushikiwa Sana,...yani ulichoaminishwa ndiyo hicho umekibeba bila reasoning yoyote....ajabu hii!
Kama unasema mm nimeshikiwa akili, mbona wewe unakubaliana na Einstein au ulikuwa nae pamoja mlisaidiana?
 
Dunia ni duara ambalo kwenye ncha zake ni flat. Kipenyo kutoka ncha ya kaskazini ni kifupi kidogo kuliko kipenyo cha ikweta kwa tofauti ya km 44 hivi.Zipo sababu nyingi zinazothibitisha kuwa Dunia Ni duara. Asemaye vinginevyo huyo anachangamsha kundi Hana hoja ya kisayansi au kijiografia. Haya ni mawazo ya watu wa zamani ambayo Ni dhahiri leo yalitokana na ujinga tu. Kama Dunia ni tambarare maana yake lazima iwe na sura ya mstatili, upande mmoja ungekuwa mchana Dunia nzima na upande mwingine ni giza, kwenye ncha kungekuwa giza daima, satellite zisingeweza kuzunguka Dunia, watu tungeona mpaka ulaya kutoka Africa kwa sababu macho yetu hayana mwisho wa kuona.
 
Chai
 
Unaakili ndogo ww!! Sasa nakuuliza tena swali upo kwenye basi upo seat ya nyuma basi Linamove, dereva yupo mbele, je utasema dereva anamove away kutoka ulipo?
Narudia tena.......

Logically.., if two cars(Sun & Earth ) are in motion, you cannot say that one is stationary with respect to the other unless you're trying to lie. Each car has its own motion, and neither can be considered stationary relative to the other while both are moving......

unakosea unapotelea mfano wa Dereva na abiria.... kwasababu kimsingi Dereva na Abiria wote wapo kwenye chombo kimoja kinacho move., ili mfano wako uwe na mantiki chukulia gari mbili zinazo move in opposite lane,...Je, unaweza kusema gari mojawapo ipo stationary with reference to the other?.
.....The answer is absolutely no!

Umeona mfano unaoingia akilini huo?

NB: Rudi ujitetee tena.
 
You have nothing!!
Logically..,hapo umemaanisha Nina "Nothing"
..so am very grateful for having nothing.....

Sasa huoni umetumia nguvu kubwa kulisema neno Hilo ukiamini ni baya,... kumbe inategemea na uliyemuambia atakavyolitafsiri.

Mimi ni Mtu positive.
 
Back
Top Bottom