Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
ninachotofautiana na wewe ni sehemu ndogo sana... ndio maana unatumia nguvu kubwa kukosoa hoja na kuweka yaleyale tuliyofundishwa ambayo mimi kwa uelewa wangu nilikua napata utata...

ila nilipobahatika kujifunza na hoja za fflat earth mengi ya yaliyokua yananipa utata yanathibitika kirahisi na yanasapotiwa na milango yangu ya fahamu.

SASA BASI..!
ili tuyajadili hayo swali kwa swali au hoja kwa hoja inabidi mimi na wewe wote tuwe tuna elimu zote za dunia mviringo na dunia tambarare huku zote zikiwa ni za Duara.

Narudi katika maswali yako yote sita. Ni hivi, yote uliyoyaulizwa yapo katika mitaala kuanzia elimu ya shule na vyuoni.... Je mitaala ya Flat Earth inafundishwa? Kwanini haifundishwi ingali Ipo.? Wewe unaenibishia mimi, katika hayo maswali yako je Unajua hizo nazo ni topic katika elimu ya Dunia Tambarare? Umewahi Kujifunza?

USIPINGE USICHOKIJUA. Mimi nayapinga ninayoyajua kwakufundishwa yanapinga kwa kujifunza sio kwakukataa.

Wengi wenu ukiwamo wewe.. kwanza tuu Nadharia yenyewe ya Flatearth hauielewi wala kuijua inavyofanya kazi na inavyotoa matokeo. Usingeulizwa maswali yako hivyo.

pili kama ulikubali kuingia darasani na ukabatilishiwa namna unavyoliona jua, basi usikatae kuingia darasani kujifunza namna ukweli wa unavyoliona Jua.

Niulize maswali ya kuzihoji hoja...Na Usijiffunze kupitia ubishi.

Ninajibu maswali ili kila mwenye kuweza kuelewa na kujipa tafakuri imsaidie. hapa nataka tuwaze zaidi kwa akili zetu, tukimix na za darasani basi tuwe nazo zote za dunia mviringo na tambarare.

Kama una uliza juu ya usiku na mchana unavyopa tikana katika flatearth ina maana hauna elimu hiyo.. sasa kwanini unaibishia.?

sijakosea wala kubishana na wenzangu nimejibu kukupa picha rahisi.. sasa kama upo tayari nipe muda wakukufundisha hilo kama ulivyompa muda huo mwalimu aliyekufundisha katika shape ya dunia mviringo.
 
Hiyo elimu yako ya phisics na anga uliyoipata je umeipata elimu hiyo katika usawa, yaani ya dunia tambarare na dunia mviringo? au umeipata elimu moja na kuiamini hiyohiyo.?
Elimu ya Dunia tambarare inapatiakana na imeelezea yote yanayoelezewa katika dunia mviringo someni kwanza ndio tuhojiane sisi waamini wote tukiwa tunakijua tukiongeleacho maana wengine mnadhani hii tambarare ni nadharia isiyokuwa na vitabu au madarasa.
 
Hivi tukijua kama sio duara kutakuwa na mabadiliko yoyote katika nyanja zote, mfano, maendeleo, umasikini, kijamii, kiimani, kisiasa, na mengineyo?!!!!!!!!!!!!!
 
simple tuu na kama kweli wewe ni mdadisi na mfukunyuzi na unaeweza kujaribu kitu... mi nakupa zoezi dogo tuu ili uweze kuihoji elimu yako na uffahamu wako.

1. chukua mpira wa miguu... uchore mabara yote. Chukua sinia, lichore mabara yote.

2. Kwa kuzingatia center ya mpira ambao tutasema ndio northpole, upasue mpira kitaalamu kwa lengo lakuufanya uonekane kama sinia.

3. chukua sinia, kwa kuzingatia katikati ya sinia ndio pawe juu jaribu kulilazimisha sinia hilo likupe shape ya mpira.

Kama utashindwa kufanya hivyo... basi kata kitambaa cheupe shape ya Duara la sinia.. kichore ramani ya dunia kama za FLAT EARTH pakiwa na barafu katika kingo.. halafu chukua kitambaa hiko kifunike katika mpira. je kuta za barafu ulizozichora hazitajikusanya katikati chini na kuonekana ni bara la Barafu?

Halafu utaniambia kama vipimo vyote vya dunia mviringo kama havitapitikana katika dunia duara. Jitahidi unielewe hapa maana Kuta za Barafu utakua umezifanya wewe mwenyewe kinadharia.

Iliuelewe ninacho maanisha ni hivi... Phisics inayopatikana katika Shape ya Tuffe ndio hiyohiyo inayopatikana katika Shape ya tambarare...
 
Hivi tukijua kama sio duara kutakuwa na mabadiliko yoyote katika nyanja zote, mfano, maendeleo, umasikini, kijamii, kiimani, kisiasa, na mengineyo?!!!!!!!!!!!!!
Ndio..!! Ila kwa wale wenye kuyatafakari maisha hasa katika kutaka kujua Sababu ya Kuzaliwa na Kuishi hapa Duniani ni ipi. Majibu yake yapo kulingana na namna dunia na vilivyomo vinavyoenenda katika ushahihi wake.. ikiwa kuna linalopindishwa maisha tutakayoishi yatakua ni kwa mujibu wa wale wapindishaji wa ukweli wa uhalisia wa vitu vinavyotakiwa kuwa. Mfano. wiki ina siku 7 mwezi una wiki 4 lakini haushangai mwezi una siku 30 hadi 31 huku 7x4 jibu likiwa ni 28... hii ni kwa akili ya kawaida na ya kuzaliwa ila ukitumia ya kiasayansi kuelewa na kuwaelewesha wengine utahitaji kipaji.. so ndivyo ilivyo hata wewe unaliona jua linatembea ila unaambiwa limesimama. ni hivyo tuu.
 
Nakubaliana nawewe kuwa dunia ni tambarare. Alieko ukingoni mwa dunia atutumie selfie pleaseee.. Au je alieko ukingoni mwa dunia akiruka anatua wapi?
Naomba kuwasilisha
ulizia kama kwenye majaribio ya safari ndefu za ndege, kama kuna chombo kimewahi kujaribiwa kuizunguka dunia south to north
 
Sasa kama Dunia ingekuwa flat, kwann ndege i-adjust altitude? Hivi unatumia nini kufikilia???? Wewe huoni kuwa ina adjust Ili kufata curve?
Naomba unipe darasa kidogo la namna ndege inavyo adjust altitude ili kufuata curve. maana kwa uelewa wangu ndegge ikishapaa ikapata usawa wa saffari yake kama ni FT 20 atatembea nazo mpaka atakapotaka kushuka sasa hiyo curve inaifuata ndege au ndege inafanyaje ffanyaje ili iwe ina jiudjust kuifuata curve ili FT zake za kupaa zisiongezeke pale zirtakapoiacha hiyo curve?
 
hata tren hufuata designeted path yake.. maana hata angani ndege zina njia zake..
 
Ndugu, Hivi vitu vyote ni tafiti zimefanyika tena tafiti zilizochukua miaka mingi hadi kupata conclusion

So wewe/nyinyi mnapopinga inabidi mje na tafiti mlizofanya kuprove wrong tafiti zilizofanyika
 
tuambie huzunguka kwa speed gani hiyo ndogo
Nadhani sote huwa tunaona ndege ( Plane ) ikiwa angani, Umewahi kutambua speed yake ?

Huwa tunaona inatembea mwendo wa kawaida tu ila kiuhalisia inakua ipo kwenye speed kubwa sana

Dunia ni gimba kubwa mnoooo, Tatizo lenu lipo hapa tunapozungumzia speed ya Dunia ilivyo mna assume kwa ku compare na speed ya vitu vidogo vidogo hapa kwenye uso wa Dunia ( Kama Piki piki, Magari ) namna vinavyoonekana vikiwa kwenye speed.
 
Kwahy unakubali Dunia ni sphere isiyokamili? Kama ndivyo basi hapo tupo sawa
 
Sasa Einstein alisema gravity ni nn?
 
Hapana,.... kiuhalisia Dunia ina sides na wewe unasema Tufe haliwezi kuwa na sides.

So,..huoni una contradict uhalisia unaposema Tufe halina sides?
Ukiuweka kichwa ako sawa utaelewa, Dunia tufe ikiwa projected Ili kutumia kama map ndio inakuwa presented Kwa four sides au zaidi, lakin Dunia tufe Haina sides mfano mdogo tu wewe nambie mpira unasides ngapi? Au maana ya side hujui?

Dunia Haina sides kama unavyosema kama kwenye square lakini Dunia imekuwa geographically dived kwenye two hemisphere southern hemisphere and the northern hemisphere.
 
Gravity ni jina lililopewa kwa ile nguvu (kani) inayovuta vitu kuelekea kwenye kitovu cha dunia.
Sasa upo hapa kusema Dunia ni flat kwann? Kumbe una akili kabisa ila unajitoa akili, sasa kwenye flat earth Kuna kitovu Cha Dunia? Kiko wapi? πŸ˜€πŸ˜€
 
Ko mimi kukubali kwamba DUNIA NI DUARA TAMBARARE (SIO TUFE) hakuhusiani na mimi kukubali uwepo wa nguvu ya mvutano inayovuta vitu kuelekea katikati ya kitovu cha gimba husika.
Twende taratibu, kama Dunia Ina attract vitu kwenda kwenye centre yake Sasa ni kivipi Dunia iwe flat, ni lazima iwe sphere cause every particle or matter inakuwa attracted towards its centre. So hakuna possibility ya Dunia kuwa flat kama Kuna gravity inayoact towards the centre of it.
 
Hata mraba una kitovu cha mraba, mstatili una kitovu cha mstatili, duara pia vivyo hivyo
Sawa mraba una kitovu Cha mraba, ila huo mraba hautakuwa mraba tena kama kutakuwa na force kwenye hicho kitovu inayovuta mass yake yote towards its centre, ni lazima it's collapse na kuwa sphere.
 
Sawa naomba unipe utofauti wa muonekano wa movement ya Jua na Mwezi kwa kuangalia kwa macho...
Huwezi kuona movement ya Jua na mwezi kutokana na umbali na ukubwa wao (hasa Kwa Jua), Bali tunaona effect tu kuwa Jua au mwezi havipo kwenye position iliyokuwepo mwanzo na hiyo sio sabab ya kuwa Jua na mwezi ndio vinamove Bali unahitaji ushahidi zaidi ya huo.
 
katika video yako nikikuambia hayo majengo yanaweza kuwakilisha namna tunavyouona Mwezi ukiizunguka Dunia nitakua nimekosea? Kwanini?
Utakuwa sawa tu, as long as inamake sense. Lakin unahitaji ushahidi zaidi Kwa sabab mwingne anaweza kuja na opposite opinion kama mm nilivyokujanayo.

Maana ya mm kuonyesha hiyo video nikutaka kuwaambia kuwa kuona Jua linahama position haimaanishi Jua ndio linamove inaweza kumaanisha the opposite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…