Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Sasa hiki ndio nn? Sema shida iko wapi, nimekupa mfano wa mpira
Hicho kitendo cha Jua kuwa kwenye miguu yetu relatively ni kitendo ambacho hakipo na hakijawahi hata kuwa observed/pictured hata mara moja,...

Kinachofanya uamini na kuona ni kitendo cha kawaida ni Imani yako kubwa juu ya nadharia ya Dunia Tufe linalozunguka,...licha ya kwamba huna uthibitisho wowote juu ya Jua kuwa usawa wa miguu yetu relatively.
 
Kazi kweli, Fungua ubongo wako mkuu
 
Hata kama Dunia ingekua Tufe Ndege still zingekua na uwezo wa kuadjust altitude
Sasa hapa ndo umesema nn? Mm nakwambia zinaadjust Ili kufata path yake, sasa kama Dunia ni flat it means hata path yake ni flat, so why kama Dunia ni flat zinafanya hivo?
 
Umeelezea vyema kabisa, lakini point yangu ni kuwa planes zina adjust altitude Ili kufuata planed route ya ndege yes ni sahihi, Kwa maana ya kwamba hazifanyi ivo kufata curvature ya dunia directly.

Ndege huwa zina designed route Yao inaitwa great circle route ambayo kimsingi ndio short route inayotumiwa na ndege, sasa kama umesoma kuhusu hii great circle route (nilikuambia uipitie haujaja na majibu) utaona kabisa ipo curved Kwa maana ya kuwa wali consider curvature of the earth Kwa safari ndefu za ndege. Tazama picha chini, najua utauliza mbona ramani ni tambarare😀, hiyo ni projection of Map, ilikuweza kuonesha vzr point (places) mbili.

 

Attachments

  • great_circle-vs-rhumb_line.jpg
    26.9 KB · Views: 2
Unajua maana ya poles? Sasa flat inapoles? Kusema flattened at it's poles haimaanishi sio perfect flat, Kwa sabab kinyume Cha sphere sio flat😀,

Yaan kwa mfano urefu na ufupi, mtu akisema labda mtu Fulani sio mrefu sana itakuwa inamaanisha huyo mtu sio mfupi sana Kwa sabab kinyume Cha mrefu ni mfupi.

Ila Kwa case ya sphere, kinyume chake sio flat.
 
Kwa akili ambayo imekua indoctrinated utasema Dunia haina sides,...ila Kwa akili huru yenye afya ni lazima utafahamu Tu kwamba Dunia ina sides.
Unapenda kukimbilia mambo ya indoctrinated 😀😀
Okay basi ww ambae haupo indoctrinated nambie Dunia Ina sides ngapi?
 
Hii ni sayansi, siwezi kusema Kwa hakika kuwa Newtons hakuwa sahihi while utafiti wake Bado ina-apply katika daily life na unaleta majibu sahihi kama nilivyowahi kukuambia hapo awali, Newton Ali initiate concept wakati Einstein akaja ku revolution understanding ya gravity. Kwahy kwenye baadhi applications hasa tulizonazo Kila siku tunatumia gravity as a force. Kujibu swali lako According to Einstein gravity sio force.

Na wewe unakubali kuwa hata hiyo gravity ya Einstein inaelezea why things fall? Na akaelezea jinsi more massive objects zinakuwa revolved by less massive objects??
 
Hicho kitendo cha Jua kuwa kwenye miguu yetu relatively ni kitendo ambacho hakipo na hakijawahi hata kuwa observed/pictured hata mara moja,...
Kuwa observed kivipi? Sasa kama utakubaliana na Dunia tufe utaona kuwa kinawezekana Kwa sababu wakat huku ni usiku huko ni mchana,
 
Kinachofanya uamini na kuona ni kitendo cha kawaida ni Imani yako kubwa juu ya nadharia ya Dunia Tufe linalozunguka,...licha ya kwamba huna uthibitisho wowote juu ya Jua kuwa usawa wa miguu yetu relatively.
Naww pia kinachokufanya ukatae ni Kwa sabab hauamini katika Dunia tufe, licha ya kwamba hujawahi kuona hayo mabarafu kwenye Kingo za Dunia, hujawah kuona Hilo funiko la grass la Dunia. Ila unaamini tu.
 
Nmekutana na hii clip ya ndege shirika la Emirates, Vipi unaona picha/ramani ya Dunia yenye umbo gani hapo ?
Ndiyo maana huwa nasema kwamba upo addicted na videos & picha....... ukiangalia vizuri nje kupitia kioo cha Ndege unaona kabisa jinsi Dunia ilivyo flat cha kushangaza umeamua kuangalia hiyo picha na sio uhalisia unaouona nje.
 
Sasa hapa ndo umesema nn? Mm nakwambia zinaadjust Ili kufata path yake, sasa kama Dunia ni flat it means hata path yake ni flat, so why kama Dunia ni flat zinafanya hivo?
Sasa wewe nani aliyekuambia aircraft paths zipo curved?


Unaweza ukathibitisha hapa tuone hizo curved paths?

NB:- zingatia kuleta uhalisia unaoonyesha kwamba aircraft paths zipo curved na sio ulete michoro(manmade).
 
Kwahiyo unataka utudanganye hapa kwamba Ndege zote duniani zikisafiri zinafuata huo mchoro hapo juu?

Hiyo sio kweli,... Ndege ikitaka kwenda Moldovia inaweza ikatumia route yoyote itakayojipangia na inafika vizuri tu.
 
Unapenda kukimbilia mambo ya indoctrinated 😀😀
Okay basi ww ambae haupo indoctrinated nambie Dunia Ina sides ngapi?
Sasa swali si hata wewe unayajua majibu yake.... sidhani kama kuna haja ya kulijibu.
 
Bado hujajibu,... Ila kimsingi naamini umekubaliana na hoja ya Einstein kwamba gravity sio force,....so naamini utaacha kabisa humu kuaminisha watu kwamba gravity ndiyo inafanya vitu kuanguka na kupaa.
 
Kuwa observed kivipi? Sasa kama utakubaliana na Dunia tufe utaona kuwa kinawezekana Kwa sababu wakat huku ni usiku huko ni mchana,
Ndiyo nimesema hiyo scenario haitokei/ haijawahi kuwa observed kwasababu Dunia sio tufe kama ulivyoaminishwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…