Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Halafu usinilete video za upuuzi hapa, toa points acha kuleta upuuzi wa mtu fulani aliyeamua kuwajaza ujinga
 
Umeenda NASA umekuja umesema ni AI generated sas mimi unataka nikule picha gani utakazoziamini?? Siwezi kurudia upuuzi,
I'll stick to my point, Your sense can not exactly tell you what's beyond the scale they are capable of interpreting relying solely on sense ni uoungufu wa akili. Nobody does that
 
Kupatwa kwa jua mwezi unakuwa kati kati ya jua na dunia what If I say mwezi ndio mkubwa kuliko every thing else thus why it Abstract light from reaching the Earth including the sun itself which is just part of the system that receives the light?? Kwanini wewe ukakimbilia jua ndo linatoa mwanga !
I'm not saying jua halitoi mwanga najaribu kukuonesha jinsi ulivyokuwa na matatizo kwenye critical thinking
 
Sasa Mfano usiolingana Haufai Kuwa Mfano..
Mfano ili uwe mfano au kifani ni Lazima Ulingane na Umbo halisi
 
Hizo ulizoelezea Ni theory baada ya Kugundulika kwa Maths na Technology mbalimbali Ila usisahau theory nyingi ni Before that hao walifanyaje?
Kuziibua Hizo theory?
Usikaze Shingo sheikh Mfano Ruthaf... na Kina Niegel theory Nyingi ziliibuka miaka ya 1500 na 1700 na 1800 it was before Technology Evolvements
 
Hivi Unaelewa Kuwa Hujajibu Swali ila Umeejielezea Wewe Kuwa Unasoma Engeeneer?

Nimekuuliza Kwanini Bado tunatumia Ramani ya Mwaka 1500s na Maswali mengine hapo Juu Ila hujajibu Insteady umenieleza Kuwa wewe ni Engeeneer Mimi Pia Ni Daktari Majoring Paediatric Specified In Neonatology...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Enough of the Introduction..Can we Sticks to the Question please
 

Soma Swali.kabla Ya Kujibu hayo unayoyaongelea Ni Sayansi ya Sasa Hivi na sio ya Zamani zamani hakukuwa na Maendeleo makubwa Hivyo Mtu alikuwa akiwaza kitu au akiona Kitu kwenye Jamii.kinaaminika basi anakiprove factuality..

Reseaech miaka ya Karne ya 4 ilifanyikaje? Au karne ya Tano??..

Newton alipodondokewa na Apple Hiyo haikuwa Internal Awareness??
Kwamba Aliamini kwamba Huyo sio Mungu alieangusha Tunda Ila kuna nguvu imeangusha Hilo tunda Ngoja nikatafakari ni Nguvu gani limeangusha Tufaa?
 
Ndiyo nataka kujua Hizo theory accuracy yake na Unaweza Vipi kuthibitisha Accuracy ya Kitu ambacho hujawahi kukichunguza Kutumia Theory ya Mtu ambaye naye hajawahi Kuchunguza???

Ametumia Only maths..

Mimi ninaweza Kusema Nilipo Hapa Chicago Maybe mpaka Hapo.Dar Ni kilometer 5000 nikatunga Theory kusaport nachowaza na Nikaithibitisha Theory hiyo je theory itakuwa na Ukweli wakati sijawahi kufika Dar Nikitokea Chicago...

Sometimes tusiwe Wajinga wa Kushikiwa Mawazo tujitahidi Kureason kila kitu..
Jiulize Huyo.aliyekutungia Hizo theory alifika Mwezini? hapana, Ila alifanga maths estimation!
Then jiulize Maths Estimation aliyofanya Is It accuracy enough to relay in?
Vipi kama Amekupotosha??
 
Kwanini Unatumia Neno Think na Una uhakika Kitu ambacho una uhakika Nacho kwanini Utumie Imagination ?
 
Akili za kushikiwa kivipi?,.. Kujua kwamba Dunia Ipo stationary na flat sio mpaka uambiwe hata mtoto mdogo ambae bado hajamezeshwa nadharia za kutunga atajua tu.

Watu wa Dunia tufe ndiyo mmeshikiwa akili,.. you can't prove your claims until someone/organization(s) says so....

Hivi,.kati ya Kuona kwa macho + logic, na kuambiwa tu kwamba Dunia ni tufe linalozunguka kisha ukaamini.., Njia ipi ni sahihi kwako kuifuata?
 
Halafu usinilete video za upuuzi hapa, toa points acha kuleta upuuzi wa mtu fulani aliyeamua kuwajaza ujinga
Upuuzi mkubwa zaidi ni kuona kwamba kila kitu kinachoenda tofauti na unachoamini wewe ni upuuzi...


NB: Na ujinga mkubwa zaidi ni kuamini blindly kwamba dunia ni tufe linalozunguka,....ila ukiombwa uthibitisho huna unaanza ooh unajua unajua.....
 
Sijawahi kuiona zanzibar nikiwa ferry! Meli inapoingia huwa naona bendera kwanza halafu meli inaanza kuonekana taratiibu kuanzia juu . Naomba nijibu hapo.
 
kwanza size ya Mwezi na Jua inaonekana haipishani sana,.... kisha usiseme MWEZI una abstract light from reaching the earth unapaswa unyooshe maelezo kwamba Mwezi una abstract mwanga wa Jua kufika Duniani, that's why kadri Mwezi unavyoliachia Jua Mwanga unaanza kuonekana!! na huo ndiyo uthibitisho tosha kwamba Jua ndiyo linalotoa mwanga wake duniani.
 
Math ilikuwepo tangu kabla ya yesu, sasa unapotoa mfano wa miaka ya 1500 kwamba unafikiri kipindi hiko hakukuwa na Math?
 
Pitia vizuri utaelewa, nimekwambia what was gour key point? Kwamba alikuwa amekaa wapi ndo nini? Nimekwambia theory za spherical earth zilikuwepo tangu kabla ya cristo sasa kushangaa amejuaje kama Earth ni sphere tangu miaka ya 1500's sielewi unashangaa kitu gani??
Galileo aliishi kipindi cha miaka ya 1500/1600's lakini aliweza kugundua kuwa Earth is not the center of our solar systen it's just a part, kwani alitoka nje ya dunia?
Math's answers all those questions mr doctor.
Nimekuuliza unaelewa maana ya projection? Probably huko kwenye udaktari hamkutani na vitu kama hivi si ajabu mtu wa taaluma yenu akaamini Earth ni flat
 
Hapana ! Hapana! Hapana!
Mzee probably hiyo sayansi yako wewe ndo inaproviwa factually! Kwani what is fact by the way mbona unashangaza? πŸ˜‚πŸ˜‚, kwamba mtu anakaa kisha anaconclude hii itakuwa hivi kwasababu ya hivi? Kwaiyo wewe unahisi newtons alivyoona apple linaanguka akasema Mungu ndiyo kaangusha? Si obviously lazima lingeonekana lianguke!? Mnakulaga nini, jaribu kuchek how science evolved
Hiyo unayoita wewe ya kuwa concluded na facts ni pseudo science usichanganye na the real science mzee
Every thing was Math, Algebra, geometry and pther Mathematics zilikuwepo tangu miaka ya nyuma
Kitu usichokijuwa sasa?

Mathematics ilikuepo sio tu iyo karne ya tano uliyoweka tangu kabla ya Cristo
 
Hapo sasa ndo upuuzi, umekaa tu ukafikiria ni 5000Km unahisi theory zinatungwa kwa kukaa tu na kufikiria kisha kufika conclusion??
After observing the phenomenon we start Hypothesize based on the laws of nature, kisha hapo utakuwa na model ya hiyo system unayoizungumza then experiment and Mathematics follows.
Accuracy inategemean na model yako imehusisha vitu vingapi how close is it to the real world phenomenon? Probably science yako ya udaktari hamfanyi but kwenye engineering we normally have this, hata tunapotaka kusimulate how air moves tutamodel kwanza hewa ilivyo inaundwa na nn. Kadri unavyoongeza vitu kwenye model ndo accuracy ya theory inaongezeka!
Nimekupa mfano wa kinetic theory, Initial theory ilineglect intermolecular attractive forces kwenye molecules za gas, theory ilikuwa inafanya kazi vizuri but not in all conditions (inafanya kazi kwasababu it was possible to estimate thermodynamic variables of gases) lakini ukija katika pressure kubwa na temperature kubwa ambapo molecules zinakuwa very close in such intermolecular attractive forces zinaanza kuwa considerable amount theory inaanza kufail kwanini? Kwasababu the model of the theory doesn't include intermolecular attractive force!
Hapo ndo ikaja theory nyingine ambayo inamodel hadi attractive force hii ni accurate zaidi kuliko hiyo ya mwanzo.
In science we assign a degree of accuracy in theory, normally on how they are acceptable to the laws of nature, how they accurate model the real world phenomenon. Sasa wewe na mwenzako mmekuja na theory yenu ya flat earth halafu theory yenu inaanza eti hakuna gravity unahisi ni uzima huo??? Huoni kama ni vichekesho
 
Kwanini Unatumia Neno Think na Una uhakika Kitu ambacho una uhakika Nacho kwanini Utumie Imagination ?
Siujui umeelewa ulichokiandika??
Umeelewa hiyo ni nini nimetoa ama ndo unataka ujibu tuπŸ˜‚
Surely, hata mimi nna theory yangu. Biology is not the real science NEVER! πŸ˜‚
 
Nabase na common sense tu mzee, dp you think every thing is just how you see? Wewe mbona unamatatizo
You've never seen radio waves ukiambiwa kama ndo zinasafirisha sauti utapinga pia?? But kama ukisoma Maxwell's theory of electromagnetism na ukafanya Mathematical analysis utaona hakuna point where the Math was violated, na hata ukija kwenye practical sense theory haiko against the laws of nature sasa unataka ubishane na nn?
Au unafkiri sis kama nyie flat earther mnaoambiwa Earth ni flat kwakuwa macho yako yanaona kama ni flat? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…