Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Upuuzi mkubwa zaidi ni kuona kwamba kila kitu kinachoenda tofauti na unachoamini wewe ni upuuzi...


NB: Na ujinga mkubwa zaidi ni kuamini blindly kwamba dunia ni tufe linalozunguka,....ila ukiombwa uthibitisho huna unaanza ooh unajua unajua.....
Wew ndo unaamini blindly kama dunia ni flat, the only theory ambayo haiendi kinyume na laws of nature ni spherica earth hizo nyingine ni chai mzee
 
Sasa kwann sense organs zako hazikujiuliza mbona mwezi hautoi mwanga basi na jua litakuwa halitoi mwanga!
Na pia, kwann hazikusema as it seems kwamba jua is just a transparent object that appears in the path of the light and so does moon during the eclipse? Cause that is what it seems
 
Science was never proved factually, aliyekwambia hivyo amekudanganya! Huenda ndo mnasoma ivyo kwenye science yako ila sisi the followers of the real science hatufanyi hivyo kabisa,
Hayo ndo mambo ya astrology na pseudo science nyingine, they are based on what has been believed in the society. Nilichogundua flat earther mnachanganya science na pseudo science si ajabu na ww unaamini kuhusu astrology and you will call it science πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Science was proved by experiments with some Math's and if the observation is far from practical setup by experiment ( mfano, behaviours za gases molecules) then comes Mathematics.
That's the real science, usikariri maneno ya watu.
Ukadiriki kabisa kufikiria kama Newton alihitimisha laws za gravity kwa Internal awarenessπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, probably hujuwi kama Newton was one of the greatest Mathematicians of his time

The fact is not what it seems mzee, labda wewe useme uliposema fact unamaanisha nn? Unamaanisha laws of nature ama kuobserve kwa milango ya fahamu? Ama kuangalia what is beleived in the society t??
 
Hiyo unavyosema umbali ni Km5000 ulitumia kigezo gani??
Ngoja nikueleze sasa How a science lad could arrive to that conclusion.
Ntasema labda nimetoka na gari yangu at an average speed x, I measured from my clock nikaona I spent about +10 to 30 minutes kwa foleni. Totally nilitumia about 1 and a half hour kwa safari nzima, hapo simply to with Mathematics naweza kuestimate umbali.
Sasa anaweza kuja mtu mwingine akasema huo umbali ulioutafuta only utawork kama mtu atapita iyo njia uliyopita, in that case the theory is only accuracy kwa njia ile ile what if nikibadilisha njia?? Sasa atakuja mwingine atagenerelize atatafuta the shortest path kisha ataestimate atatoa theory nyingine

Point ya msingi, haukai tu na kuamua eti umbali ni km5000 usituchekeshe bwana daktari, au wewe unaamuaga tu mteja wako anamatatizo gani bila kuuliza na kufanya analysis??? πŸ˜‚
 
Now we're talking.
Kwenye Math we have some principles just like the laws of nature,
We look out the formulated mathematical model then how the Math was done kuverify the accuracy,
Ndo mana theory nyingine zinakuwa disapproved simply by Math without even doing an experiment.

Hutaki nitoe mfano about Engineering ila mimi lazima Ntatoa tena.
A single Mathematical error kwenye design unaweza hata ukaunguza nyumba za watu, a single Mathematical error kwenye design na mawasiliano hayafanyiki. Sasa wewe just somebody aliyekaa tu akala akashiba unataka kuneglect the role of Mathematics, unamatatizo??? πŸ˜‚
 
Mi nimekwambieni, huu mdahalo nataka tufanye live
I'm pretty much busy kuingia kusoma texts na kujibu moja moja, andaeni nyinyi ratiba kwamba siku flani tufanye kisha mi naelewa kabisa siku flani tumepanga mdahalo then itengenezwe link ya meeting tujoin kisha tuanze kuchambua theory moja moja! Na wadau wengine wakiwepo kushuhudia

Zote ni theory , kinachotakiwa ni kuangalia which one doesn't go against the laws of nature basi! Sio kuleta hoja za macho yananionesha,umekuwa mwehu ama ? Nyingi flat earther hamkufikirisha bongo zenu, mkaamini hivyo hivyo but for us we simply evaluate the Math based on the laws of nature then ANHAAA THIS IS THE THING.
 
abdulrahman Said Hujibu maswali Yangu ila Unajitungia Maswali yako Na unayajibu..
Maswakinyangu yote hakuna Hata Moja ulilojibu πŸ˜…πŸ˜…
Ila umejitungua Maswali yako ukayajibu kw Maelezo kibao ila Hakuna Hata swalimlangu Moja ulilojibu...

Sasa Narudia Tena Rudi kayasome Taratibu Bila Hasira wala Ngendembwe utaelewa tu..

Umeuliza Kuhusu Maana Ya Projection Sasa Nakujibu Projection is a method for representing a curved surface,kama Ilivyopresentiwa the earth, na Mercator na wengine on a flat surface, like a map. It can also refer to the image or diagram created by this process

Sasa Umesema Alitumia Sijui maths and so on...
Lakini hakuna History yoyote iliyomuonyesha Gerardus Mercator Kuwa Alikuwa Mathematician Zaidi alikuwa Cosmographer na Cartographer yaami Mchoraji na Cosmo studies...

Sasa Mchoraji hakuwahi kutembea kwenda Kutafuta Measurements ila alitengeneza Spherical Earth ambayo Ramani yake ndo inatumiwa mpaka leo..

Kama Ukishindwa Swali Sema nimeshindwa inatosha kutunza Heshima Yako Engeneer
 
Naomaba
Kueleweshwa kwanzaa kuhusu density kwa kiswahili rahisi mkuu
 
Mzee kuelewa kwako ni tatizo??
Ninekwambia spherical earth was theorized tangu kabla ya kristo sasa mtu aliyeishi kipindi cha miaka 1500's acc. To your example unashangaa nini kuona anachora spherical earth? Mbona unashangaza ??
Kama ilivyokuwa black holes, picha ya kwanza ya blackhole tumeiona 2019 but the theory suggested its existance tangu karne ya 20 sasa ungeshangaa kuona mtu anachora black hole mwaka 2000?? Mbona argument yako haimake sense?

Nimekuuliza kuhusu projection nilizani swali lako unamaanisha kwamba alivyochora kachora dunia flat so inathibitisha kwamba earth ni flat, ndo mana nikakwambia tangu mwanzo weka swali lako vizuri.

Pythagoras alikuwepo tangu karne ya 4 huko and was one of the pioneers of geometry, tangu kipindi hiko it had already grasped the human mind kwamba Earth ni sphere watu walifanya measurement sana kwenye huu uso wa dunia, ugiriki ya kale kwenye mambo ya construction na measurement yalianza tangu kabla ya cristo tangu hapo the curvity of the Earth was already realized by man, mbona inakuwa ngumu iyo kuelewa mzee
 
Naomaba

Kueleweshwa kwanzaa kuhusu density kwa kiswahili rahisi mkuu
Ntakupa mfano kwanza, Chukuwa kiroba cha cement kijaze hewa halafu pima kina kilo ngapi, kisha chukuwa kitoba cha cement kijaze maji alafu pima kina kilo ngapi, chukuwa kitu kingine chochote kijaze kwenye kiroba halafu pima kina kilo ngapi. Zote japokuwa ni ujazo ule ule ila kilo zinatofautiana.
Density ya kitu maana yake ni kwa vipi kilo zimejigawa kwa ujazo flani wa kile kitu, kuna vitu ambavyo kwa kila ujazo mmoja kuna kilo nyingi zimerundikana hivyo ndo vina density kubwa lakini kuna vyengine kwa kila ujazo mmoja kuna kilo chache zimerundikana hizo ndo zenye density ndogo

Mfano chuma kina density kubwa, so hata kaujazo kadogo cha chuma bado kana mrundikano mkubwa wa kilo za chuma tofauti na hewa. Ndo mana nikimega hata kaujazo flani kutoka kwenye chuma katakuwa kazito kuliko kaujazo kale kale kutoka kwenye mbao au plastic.

So, kirahisi kabisa density ni mrundikano wa kilo za kitu kwenye ujazo flani.
 
Hata ukija kwa binadamu, kuna maeneo yana density kubwa ya watu kuliko maeneo mengine. Unakuta kaeneo kadogo cha lbda nusu ekari lakini kana watu bilioni mbili ila unakutana na eneo hilo hilo ila linawatu elfu moja. It means kwa kila unit moja ya eneo unakutana na idadi kadhaa ya watu ndo hivyo pia kwa maada kwamba kwa kila unit moja ya ujazo unakutana na kilogram kadhaa zipo pale
 
Jaribu
Jaribu kuruka Kimasai kwenye roli lilokata break
 
earth haiwezankuwa flat, ilaa kwann mpaka leo hatuna picha halisi ya dunia kama sayari??
 
Umeshafuzu kuwa mganga wa kienyeji kijana. Japo una utabiri wa hovyo kuwahi kutokea duniani.
 
earth haiwezankuwa flat, ilaa kwann mpaka leo hatuna picha halisi ya dunia kama sayari??
Aliyekwambia hakuna picha halisi ni nani? Picha ziko nasa wewe unasema zimetengenezwa na AI sasa unataka ufanywaje mzee ?? πŸ˜‚
Hakuna picha ya flat earth ila kuna picha ya spherical earth hutaki sasa ufanywaje??
Picha zinapigwa na satelites zilizombali kutoka duniani, editing inaweza kufanyika kuongeza rangi ama kupunguza ukungu ili taswira ije vizuri pia sio picha zote zinapigwa na camera za kawaida ukizozoea wewe some needs reconstruction ili kupata picha halisi wewe ukiletewa unasema zimeeditiwa uoni kama una matatizo? Mbona picha za uktrasound husemi zimeeditiwa baada ya kufanyiwa reconstruction ?
 
You and roll both acelerate at the same speed, you cant see or observe destotions
Never! You can move at the same speed kama kitu hakiaccelerate ila ikianza kuaccelerate huwezi kuaccelerate nacho kwasababu ya inertia, sawa na dereva wa basi ukiwa mule ndani utaenda sambamba kabisa na gari ila akishaanza kuongeza speed au kupunguza lazima either upelekwe mbele au urudishwe nyuma.
Jaribu siku kujirusha kwenye gari inayoenda alafu ndo ujuwe kama ulikuwa unaenda au ulikaa tu
 
Sasa si mpaka lipige brake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…