abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
hateeb10 , soma vizuri hapoSimple question tu, kwenye Mpira ⚽ unaweza kuonesha just a point kuwa hiyo point ndio Kuna curvature?
Curvature is not a point and cannot be shown by using a single point, it is continuous and every point is a curvature. Ni sawa na straight line nikuulize unioneshe point ambapo straight line ilipo.
Nasubiri anipe majibu,Kuna wakati mi hata najiuliza kama huyu jamaa anatumia kichwa, arguments zake ni za kipuuzi sana!
Umempa mfano mzuri sana hapo kwenye curvature lakini kichwa chake hakiwezi hata kuutafakari, kwa mtu anayeelewa anachokisema hawezi kusema eti ntajie point gani inaanza kuwa curve.
Basi tunakubali anamapungufu kwenye kuelewa vitu kwa upana, avute picha mpira akiulizwa curve inaanza wapi anasemaje???
Na shida Kubwa ya jamaa ni zifuatazo;hateeb10 , soma vizuri hapo
abdulrahman Said Sasa njoo uone majibu ya ndugu yako ni vituko..1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.
2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa👇🏼
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..
3. Jibu ni subjective,..zipo ramani nyingi wewe unakusudia ipi?
4. Kuhusu sun set/rise..... Ingependeza ukaangalia majibu ambayo nilishaweka humu Chosen Rich alishauliza......ila kwa kumaliza maswali yako nitalijibu kwa uchache hapa:-
Ipo hivi,. Kimsingi ni makosa kusema Jua linachomoza/kuzama....Kwa kuwa kiuhalisia Jua halizami wala kuchomoza(unakubali?).....bali lina move further to the other sides of the earth(causing Day& Night)....
Kuhusu kuliona as if linazama/kuchomoza nimesema kwamba ni effect ya refraction inayosababisha Jua kuonekana kubwa na kubend.. unaweza ukaenda kusoma kuhusu hilo kwenye sources mbalimbali.
Nadhani nimejaribu kupitia maswali yako Kwa uchache 🤝🏼
😀😀😀😂😂😂 Kumbe huu mjadala wa darasa la pili bado upo active, Duh job true true eti earth ni flat 😂
Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....Simple question tu, kwenye Mpira ⚽ unaweza kuonesha just a point kuwa hiyo point ndio Kuna curvature?
Ingekua hoja zangu ni za kipuuzi ungethibitisha madai yako kwamba Dunia ni tufe linalozunguka.....Kuna wakati mi hata najiuliza kama huyu jamaa anatumia kichwa, arguments zake ni za kipuuzi sana!
Umempa mfano mzuri sana hapo kwenye curvature lakini kichwa chake hakiwezi hata kuutafakari, kwa mtu anayeelewa anachokisema hawezi kusema eti ntajie point gani inaanza kuwa curve.
Basi tunakubali anamapungufu kwenye kuelewa vitu kwa upana, avute picha mpira akiulizwa curve inaanza wapi anasemaje???
Wewe una uhakika gani hicho kivuli ni cha Dunia?Mwezi ukipatwa unaona kabisa kimvuli cha dunia kwenye mwezi, unaona kikoje shehe ???
Wachilia mbali kimvuli kuonekana round, dunia ingekuwa flat. Jua na dunia zimekaa vipi na iweje kimvuli cha dunia kionekane kwa mwezi? Kwamba dunia ni kama sahani alafu jua linamulika kwa chini kama tochi ama
Kabisa kabisa mkuu, na hatokujibu ataruka ruka analeta swali lingine la kijinga. Mimi pia nimelibaini hilo kwa uyu jamaa ndo mana analeta hoja za macho yake yanamwambia dunia haizungukiNa shida Kubwa ya jamaa ni zifuatazo;
1. Uelewa mdogo kuhusu gravity au anajitoa akili.
2. Reference frame ni tatizo kwake, ukimwambia kama gari A na gari B zikiwa parallel zinamove at the same speed and in the same direction basi gari A ipo stationary with respect to gari B. Hapo ndo anachanganyikiwa kabisa.
Shida inaanza hapo anapokubali vitu vyengine vinazunguka halafu akaamua kukataa kwa dunia haiwezekani😂😂😂😂abdulrahman Said Sasa njoo uone majibu ya ndugu yako ni vituko..
Jua linazunguka vipi dunia sahani?? Kama tunaweza kuona kivuli cha dunia yote kwenye mwezi utakubidi useme kwamba jua katika mzunguko wake litakuwa chini ya dunia sahani na kuimulika kutoka chini wakati mwezi ukiwa juu ya dunia sahani! Ama wewe unasema kimvuli chake kinatokea vipi kwenye mwezi?1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.
2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa👇🏼
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..
3. Jibu ni subjective,..zipo ramani nyingi wewe unakusudia ipi?
4. Kuhusu sun set/rise..... Ingependeza ukaangalia majibu ambayo nilishaweka humu Chosen Rich alishauliza......ila kwa kumaliza maswali yako nitalijibu kwa uchache hapa:-
Ipo hivi,. Kimsingi ni makosa kusema Jua linachomoza/kuzama....Kwa kuwa kiuhalisia Jua halizami wala kuchomoza(unakubali?).....bali lina move further to the other sides of the earth(causing Day& Night)....
Kuhusu kuliona as if linazama/kuchomoza nimesema kwamba ni effect ya refraction inayosababisha Jua kuonekana kubwa na kubend.. unaweza ukaenda kusoma kuhusu hilo kwenye sources mbalimbali.
Nadhani nimejaribu kupitia maswali yako Kwa uchache 🤝🏼
Exactly, mimi nna uhakika ama wewe Unaweza kuniambia ni kimvuli cha nini???Wewe una uhakika gani hicho kivuli ni cha Dunia?
Au kwa kuwa umeambiwa tu?
Yani ajabu sana, alafu yuko sirias ujuwe anakwambia dunia ni flat😂😂😂😂😂😂😂😂 Kumbe huu mjadala wa darasa la pili bado upo active, Duh job true true eti earth ni flat 😂
Shida yako hausomi kwa ufahamu jomba! Mbona explanation ilikuwa very clear?Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....
So, kimsingi ni kwamba unaposema hakuna point curvature inaweza kuwa observed that means una contradict hoja yenu kwamba Ships disappears over the curve.
NB: Bado sijaona uthibitisho kwamba Dunia ni tufe lakini pia inazunguka.....watu wanaongea theory kuthibitisha ndiyo changamoto.
Ndo maana nasema ww unabishana bila logic, Sasa swala la ship ku-disappear huoni kuwa tayar Kuna two reference point ambayo ni wewe unaetazama na hiyo meli, tumia akili basi kufikri Kwa kina😀😀.Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....
So, kimsingi ni kwamba unaposema hakuna point curvature inaweza kuwa observed that means una contradict hoja yenu kwamba Ships disappears over the curve.
NB: Bado sijaona uthibitisho kwamba Dunia ni tufe lakini pia inazunguka.....watu wanaongea theory kuthibitisha ndiyo changamoto.
unataka nijibu kuhusu nini?Kabisa kabisa mkuu, na hatokujibu ataruka ruka analeta swali lingine la kijinga. Mimi pia nimelibaini hilo kwa uyu jamaa ndo mana analeta hoja za macho yake yanamwambia dunia haizunguki
Dunia kuwa tufe imeshathibitishwa ni swala la ww kuja na hoja zako za kupinga sio kuishia kwenye observation which is the primary stage kwenye investigation, ambayo tunaita HYPOTHESIS.Ingekua hoja zangu ni za kipuuzi ungethibitisha madai yako kwamba Dunia ni tufe linalozunguka.....
Ukiweza kuthibitisha nitaamini Mimi ni mpuuzi number moja Duniani.... lakini ukishindwa basi vice versa is true..
sijakuambia kwa Dunia haiwezekani,...Bali nataka uthibitishe kwamba Dunia inazungukaShida inaanza hapo anapokubali vitu vyengine vinazunguka halafu akaamua kukataa kwa dunia haiwezekani😂😂😂😂
Atuelezee vinazunguka vipi labda, kwamba dunia sahani imekaa inaelea kisha jua na mwezi vinazunguka juu na chini ya dunia sahani ama pembeni?
Wewe mwenye uhakika ndiyo ulete uthibitisho kwamba kile unachoona ni kivuli cha Dunia na si object nyingine yoyote.Exactly, mimi nna uhakika ama wewe Unaweza kuniambia ni kimvuli cha nini???