1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.
2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa👇🏼
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..
3. Jibu ni subjective,..zipo ramani nyingi wewe unakusudia ipi?
4. Kuhusu sun set/rise..... Ingependeza ukaangalia majibu ambayo nilishaweka humu
Chosen Rich alishauliza......ila kwa kumaliza maswali yako nitalijibu kwa uchache hapa:-
Ipo hivi,. Kimsingi ni makosa kusema Jua linachomoza/kuzama....Kwa kuwa kiuhalisia Jua halizami wala kuchomoza(unakubali?).....bali lina move further to the other sides of the earth(causing Day& Night)....
Kuhusu kuliona as if linazama/kuchomoza nimesema kwamba ni effect ya refraction inayosababisha Jua kuonekana kubwa na kubend.. unaweza ukaenda kusoma kuhusu hilo kwenye sources mbalimbali.
Nadhani nimejaribu kupitia maswali yako Kwa uchache 🤝🏼