Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Simple question tu, kwenye Mpira ⚽ unaweza kuonesha just a point kuwa hiyo point ndio Kuna curvature?

Curvature is not a point and cannot be shown by using a single point, it is continuous and every point is a curvature. Ni sawa na straight line nikuulize unioneshe point ambapo straight line ilipo.
hateeb10 , soma vizuri hapo
 
Kuna wakati mi hata najiuliza kama huyu jamaa anatumia kichwa, arguments zake ni za kipuuzi sana!
Umempa mfano mzuri sana hapo kwenye curvature lakini kichwa chake hakiwezi hata kuutafakari, kwa mtu anayeelewa anachokisema hawezi kusema eti ntajie point gani inaanza kuwa curve.
Basi tunakubali anamapungufu kwenye kuelewa vitu kwa upana, avute picha mpira akiulizwa curve inaanza wapi anasemaje???
Nasubiri anipe majibu,
 
hateeb10 , soma vizuri hapo
Na shida Kubwa ya jamaa ni zifuatazo;
1. Uelewa mdogo kuhusu gravity au anajitoa akili.
2. Reference frame ni tatizo kwake, ukimwambia kama gari A na gari B zikiwa parallel zinamove at the same speed and in the same direction basi gari A ipo stationary with respect to gari B. Hapo ndo anachanganyikiwa kabisa.
 
1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.

2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa👇🏼
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..

3. Jibu ni subjective,..zipo ramani nyingi wewe unakusudia ipi?

4. Kuhusu sun set/rise..... Ingependeza ukaangalia majibu ambayo nilishaweka humu Chosen Rich alishauliza......ila kwa kumaliza maswali yako nitalijibu kwa uchache hapa:-
Ipo hivi,. Kimsingi ni makosa kusema Jua linachomoza/kuzama....Kwa kuwa kiuhalisia Jua halizami wala kuchomoza(unakubali?).....bali lina move further to the other sides of the earth(causing Day& Night)....
Kuhusu kuliona as if linazama/kuchomoza nimesema kwamba ni effect ya refraction inayosababisha Jua kuonekana kubwa na kubend.. unaweza ukaenda kusoma kuhusu hilo kwenye sources mbalimbali.

Nadhani nimejaribu kupitia maswali yako Kwa uchache 🤝🏼
abdulrahman Said Sasa njoo uone majibu ya ndugu yako ni vituko..
 
Simple question tu, kwenye Mpira ⚽ unaweza kuonesha just a point kuwa hiyo point ndio Kuna curvature?
Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....

So, kimsingi ni kwamba unaposema hakuna point curvature inaweza kuwa observed that means una contradict hoja yenu kwamba Ships disappears over the curve.

NB: Bado sijaona uthibitisho kwamba Dunia ni tufe lakini pia inazunguka.....watu wanaongea theory kuthibitisha ndiyo changamoto.
 
Kuna wakati mi hata najiuliza kama huyu jamaa anatumia kichwa, arguments zake ni za kipuuzi sana!
Umempa mfano mzuri sana hapo kwenye curvature lakini kichwa chake hakiwezi hata kuutafakari, kwa mtu anayeelewa anachokisema hawezi kusema eti ntajie point gani inaanza kuwa curve.
Basi tunakubali anamapungufu kwenye kuelewa vitu kwa upana, avute picha mpira akiulizwa curve inaanza wapi anasemaje???
Ingekua hoja zangu ni za kipuuzi ungethibitisha madai yako kwamba Dunia ni tufe linalozunguka.....

Ukiweza kuthibitisha nitaamini Mimi ni mpuuzi number moja Duniani.... lakini ukishindwa basi vice versa is true..
 
Mwezi ukipatwa unaona kabisa kimvuli cha dunia kwenye mwezi, unaona kikoje shehe ???
Wachilia mbali kimvuli kuonekana round, dunia ingekuwa flat. Jua na dunia zimekaa vipi na iweje kimvuli cha dunia kionekane kwa mwezi? Kwamba dunia ni kama sahani alafu jua linamulika kwa chini kama tochi ama
Wewe una uhakika gani hicho kivuli ni cha Dunia?

Au kwa kuwa umeambiwa tu?
 
Na shida Kubwa ya jamaa ni zifuatazo;
1. Uelewa mdogo kuhusu gravity au anajitoa akili.
2. Reference frame ni tatizo kwake, ukimwambia kama gari A na gari B zikiwa parallel zinamove at the same speed and in the same direction basi gari A ipo stationary with respect to gari B. Hapo ndo anachanganyikiwa kabisa.
Kabisa kabisa mkuu, na hatokujibu ataruka ruka analeta swali lingine la kijinga. Mimi pia nimelibaini hilo kwa uyu jamaa ndo mana analeta hoja za macho yake yanamwambia dunia haizunguki
 
1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.

2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa👇🏼
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..

3. Jibu ni subjective,..zipo ramani nyingi wewe unakusudia ipi?

4. Kuhusu sun set/rise..... Ingependeza ukaangalia majibu ambayo nilishaweka humu Chosen Rich alishauliza......ila kwa kumaliza maswali yako nitalijibu kwa uchache hapa:-
Ipo hivi,. Kimsingi ni makosa kusema Jua linachomoza/kuzama....Kwa kuwa kiuhalisia Jua halizami wala kuchomoza(unakubali?).....bali lina move further to the other sides of the earth(causing Day& Night)....
Kuhusu kuliona as if linazama/kuchomoza nimesema kwamba ni effect ya refraction inayosababisha Jua kuonekana kubwa na kubend.. unaweza ukaenda kusoma kuhusu hilo kwenye sources mbalimbali.

Nadhani nimejaribu kupitia maswali yako Kwa uchache 🤝🏼
Jua linazunguka vipi dunia sahani?? Kama tunaweza kuona kivuli cha dunia yote kwenye mwezi utakubidi useme kwamba jua katika mzunguko wake litakuwa chini ya dunia sahani na kuimulika kutoka chini wakati mwezi ukiwa juu ya dunia sahani! Ama wewe unasema kimvuli chake kinatokea vipi kwenye mwezi?
Refraction ya mwanga inafanyaje jua lionekane kama linachomoza? I assume Unaposema Refraction unaelewa maana yake
Last time ulionesha kupitia video, kwamba kinachofanya tuwe na usiku ni pale mwezi unapokuja kukaa kati kuzuia mwanga wa jua, in that case unamaanisha mwezi ni transparent kiasi cha miale ya jua kupita kwenye mwezi kutokea upande wa pili or mwezi pia unatoa mwanga manake usiku tunaona pia mwanga wa mwezi
 
😂😂😂 Kumbe huu mjadala wa darasa la pili bado upo active, Duh job true true eti earth ni flat 😂
Yani ajabu sana, alafu yuko sirias ujuwe anakwambia dunia ni flat😂😂😂😂😂
Sikutegemea kama angeendelea kubishana kwa hoja alizopewa na mdau apo.
 
Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....

So, kimsingi ni kwamba unaposema hakuna point curvature inaweza kuwa observed that means una contradict hoja yenu kwamba Ships disappears over the curve.

NB: Bado sijaona uthibitisho kwamba Dunia ni tufe lakini pia inazunguka.....watu wanaongea theory kuthibitisha ndiyo changamoto.
Shida yako hausomi kwa ufahamu jomba! Mbona explanation ilikuwa very clear?
Wewe unataka kutajiwa location eti sehemu gani dunia inaanza kucurve, umepewa maelezo na umeoneshwa jinsi swali lako ni la kijinga.

Ukipewa mpira utaje sehemu gani inaanza kucurve utaitaja? Kwanini ? Kwasababu every where it is a curve sasa wewe huoni kama umeuliza swali la kipuuzi? Umepewa mfano mwengine kuonesha swali lako ni la kijinga, tukupe mstari mnyoofu halafu tukuulize wapi mstari unaanza kuwa mnyoofu, do you think it makes sense???
Swali lako hukuuliza ni umbali upi effects za curvature zitaanza kuonekana, umeuliza location/sehemu gani dunia inaanza kucurve na umejibiwa respectively, hakuna contradiction hapo, elewa swali lako ulilouliza.

Wewe ndiyo unayecontradict maswali yako, na unapindua maelezo yawe unavyotaka wewe
 
Well,.hilo swali mnapaswa kujiuliza nyie mnaosema Ships disappear over the curvature.....ukisema kuna point Meli inaanza kutoonekana as a result of curvature maana yake unamaanisha kuna sehem ambayo mkunjo wa Dunia unaanza kuonyesha athari yake....

So, kimsingi ni kwamba unaposema hakuna point curvature inaweza kuwa observed that means una contradict hoja yenu kwamba Ships disappears over the curve.

NB: Bado sijaona uthibitisho kwamba Dunia ni tufe lakini pia inazunguka.....watu wanaongea theory kuthibitisha ndiyo changamoto.
Ndo maana nasema ww unabishana bila logic, Sasa swala la ship ku-disappear huoni kuwa tayar Kuna two reference point ambayo ni wewe unaetazama na hiyo meli, tumia akili basi kufikri Kwa kina😀😀.

Kwahy umeshindwa kunionesha point kwenye Mpira ⚽ ambapo curve inaanzia??😀😀😀😀
 
Ingekua hoja zangu ni za kipuuzi ungethibitisha madai yako kwamba Dunia ni tufe linalozunguka.....

Ukiweza kuthibitisha nitaamini Mimi ni mpuuzi number moja Duniani.... lakini ukishindwa basi vice versa is true..
Dunia kuwa tufe imeshathibitishwa ni swala la ww kuja na hoja zako za kupinga sio kuishia kwenye observation which is the primary stage kwenye investigation, ambayo tunaita HYPOTHESIS.

Kwahy ndugu yangu usitumie hypothesis kuconclude unachosema.

Halafu issue yako imekaa kishamba sana, ni sawa na mtu aende kukushtaki kuwa umebaka halafu mahakama ukwambie ulete vithibitisho kwamba hujabaka😀, na ukishindwa basi wanaconclude kuwa umebaka. Mambo hayapo ivyo, anaetakiwa kuleta vithibitisho ni aliekushtaki kuwa umebaka.
 
Shida inaanza hapo anapokubali vitu vyengine vinazunguka halafu akaamua kukataa kwa dunia haiwezekani😂😂😂😂
Atuelezee vinazunguka vipi labda, kwamba dunia sahani imekaa inaelea kisha jua na mwezi vinazunguka juu na chini ya dunia sahani ama pembeni?
sijakuambia kwa Dunia haiwezekani,...Bali nataka uthibitishe kwamba Dunia inazunguka

Au Huelewi kiswahili vizuri? Nini tatizo...
 
Back
Top Bottom