Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
sijakuambia kwa Dunia haiwezekani,...Bali nataka uthibitishe kwamba Dunia inazunguka

Au Huelewi kiswahili vizuri? Nini tatizo...
Wewe kusoma huwezi? Ama shida ni nn kwako? Huo uthibitisho upo Kila Kona ya Dunia nenda kasome uelewe usipoelewa njoo hapa ueleweshwe, ukiona Kuna weakness zilete hapa tujadili sio unauliza vitu wakat unajua kabisa majibu yapo na sehem ya kuyapata unaijua
 
Wewe mwenye uhakika ndiyo ulete uthibitisho kwamba kile unachoona ni kivuli cha Dunia na si object nyingine yoyote.
Wewe ndo umesema ni object nyingne elezea ni nyingne ipi? Na inazunguka Kwa mfumo upi?
 
Tuliza akili,.....ninachomaanisha ni kwamba kuna kile mnachokiita object ku fall/rise as a result of curvature na hiyo scenario inakua observed baada ya distance fulani,....kwa mfano ukisema Meli zina disappear over the curve si itakua sahihi ukisema the exact location where ships starts to disappear ndiyo mwanzo wa curvature kuonyesha athari yake?

Au hujaelewa bado msingi wa swali langu,.... NB: Curvature ya dunia ni imaginary tu lakini ni kitu ambacho hakipo....room ya kuthibitisha uwepo wake nakuachia
 
Ambacho wewe huwezi kuelewa ni kipi? Mbn amekufundisha hadi jinsi ya kuuliza swali lako vzr,
Ulipaswa uulize kuwa ni Kwa distance Gani kwenye Dunia curvature inaanzia kuwa noticeable? Sio point et kwamba Kila mtu ataenda ataiona hiyo curve au atasimama hapo.
 
Hapa ni kitu cha kuchukua telescope tu na communications ikipotea kwenye telescope unarefer na meli wamemove distance gani, au haifai hii mkuu?
 
Sina logic,..?? hata kwenye mpira unaweza kujua point ambayo curve inaanza kuonyesha athari yake (based on reference)

Aliyekuambia kwenye mpira huwezi kujua point ambayo curve inaanza kuonyesha athari ,..amekudanganya fanya research mwenyewe.
 
Kwahiyo uthibitisho mpaka nikasome,.wewe kuthibitisha huwezi?

Hizo ni dalili za kushikiwa akili na kuaminishwa vitu ambavyo huna uhakika navyo.

NB: Ni kweli kwenye makaratasi dunia ni tufe linalozunguka,...ila kwenye uhalisia ndiyo changamoto.
 
Naona umeanza kunielewa sasa, "based on reference" kwahy ni lazima uwe na point mbili of reference(distance) ndo useme curvature inaanzia kuwa noticeable hapa😀.
Huwezi kuchukua Mpira tu from nowhere useme hii point ndio Kuna curvature.

Back to your question kuhusu Dunia, uliza vzr unataka uoneshwe point ambapo curvature ya Dunia inaanzia kutoka point ipi mpk ipi hapa Duniani? (Reference points)
 
Kwahiyo uthibitisho mpaka nikasome,.wewe kuthibitisha huwezi?

Hizo ni dalili za kushikiwa akili na kuaminishwa vitu ambavyo huna uhakika navyo.

NB: Ni kweli kwenye makaratasi dunia ni tufe linalozunguka,...ila kwenye uhalisia ndiyo changamoto.
Vzr kumbe umesoma ukaelewa kuwa kwenye makaratasi ni kweli Dunia ni tufe, sasa let changamoto ulizoziona kutoka kwenye hayo makaratasi tuzijadiri Kwa pamoja hapa bila kurukaruka naamini Kila mmoja atatoka na kitu.
 
Sasa hapo si umeeleza kile kile ninachosema?,,,.....Hiyo point (distance) ambayo Curvature ya Dunia inaanza kuwa noticeable kumbuka haibadiliki kabisa,..kwanini sasa mnashindwa kusema exactly kwamba mfano kutoka Pwani ya Dar Es Salaam mpaka Nungwi Meli zinakua hazionekani kutokana na curvature?

Umerudia kile kile ninachosema muda wote
 
Kwahiyo uthibitisho mpaka nikasome,.wewe kuthibitisha huwezi?
Sio kwamba siwezi, kwann nirudie kukwambia kitu ambacho tayari unakijua? Wewe ndio ulete sehem iliyokuchanganya ambayo unaona haimake sense then tujadiri Kwa pamoja, inawezekana kweli kukawa na changamoto lkn sio kuja na conclusion ya HYPOTHESIS yako
 
Vzr kumbe umesoma ukaelewa kuwa kwenye makaratasi ni kweli Dunia ni tufe, sasa let changamoto ulizoziona kutoka kwenye hayo makaratasi tuzijadiri Kwa pamoja hapa bila kurukaruka naamini Kila mmoja atatoka na kitu.
Mimi ninachotaka uyatoe yaliyopo kwenye makaratasi uyathibitishe kwenye uhalisia.

a. Thibitisha Dunia ni tufe
b. Thibitisha Inazunguka

NOTE: KWENYE UHALISIA!
 
Embu tuliza kichwa, Kwa kutumia reference points, curvature ya Dunia inaanza kuwa noticeable about 3 miles away ( yaani 5 Km). Lakini pia lazima utumie akili yako vzr, kumbuka Kuna effect ya milima na mabonde na ndio maana watu hupenda kutumia bahari kama mfano.
 
Mkuu soma post yangu #4905. Hii hoja nawaachia flat eaethers mfanye huu utafiti
 
Sio kwamba siwezi, kwann nirudie kukwambia kitu ambacho tayari unakijua? Wewe ndio ulete sehem iliyokuchanganya ambayo unaona haimake sense then tujadiri Kwa pamoja, inawezekana kweli kukawa na changamoto lkn sio kuja na conclusion ya HYPOTHESIS yako
Tufanye Research wenyewe basi on our own, let's leave aside yale tuliyoaminishwa kwenye nadharia za wengine....

Hatua ya kwanza,....Unaijua Reasearch tool ya kwanza kabisa? UNAIJUA UNAIJUA UNAIJUA?
 
Mimi ninachotaka uyatoe yaliyopo kwenye makaratasi uyathibitishe kwenye uhalisia.

a. Thibitisha Dunia ni tufe
b. Thibitisha Inazunguka

NOTE: KWENYE UHALISIA!
Sasa unanipima uwezo wangu kama nimeelewa au unanimock, au unataka tujadiri kuhusu umbo la Dunia?

Wewe si unapinga kuhusu umbo la Dunia kuwa duara? Maana yake naamini umesoma vzr sana kuhusu Dunia tufe ndio maana unapinga. Au unapinga tu Wala hujui chochote?

Kama hujui chochote kuhusu umbo la Dunia tufe sema na usiseme ni tambarare then ndio ntaanza kukuelewesha.
 
Tufanye Research wenyewe basi on our own, let's leave aside yale tuliyoaminishwa kwenye nadharia za wengine....

Hatua ya kwanza,....Unaijua Reasearch tool ya kwanza kabisa? UNAIJUA UNAIJUA UNAIJUA?
Najua, hainisha tatizo
 
Tufanye Research wenyewe basi on our own, let's leave aside yale tuliyoaminishwa kwenye nadharia za wengine....

Hatua ya kwanza,....Unaijua Reasearch tool ya kwanza kabisa? UNAIJUA UNAIJUA UNAIJUA?
Kwahy tatizo ni nini hapa. (Research problem)?
 
Hapa ni kitu cha kuchukua telescope tu na communications ikipotea kwenye telescope unarefer na meli wamemove distance gani, au haifai hii mkuu?
Sawa,..waambie watumie njia hiyo sasa waje waseme mfano ukiwa pwani ya DSM curvature inaanza kuonyesha athari yake baada kufika eneo gani exactly.

Mambo rahisi tu ila wanazunguka balaa.
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…