Shida yako hausomi kwa ufahamu jomba! Mbona explanation ilikuwa very clear?
Wewe unataka kutajiwa location eti sehemu gani dunia inaanza kucurve, umepewa maelezo na umeoneshwa jinsi swali lako ni la kijinga.
Ukipewa mpira utaje sehemu gani inaanza kucurve utaitaja? Kwanini ? Kwasababu every where it is a curve sasa wewe huoni kama umeuliza swali la kipuuzi? Umepewa mfano mwengine kuonesha swali lako ni la kijinga, tukupe mstari mnyoofu halafu tukuulize wapi mstari unaanza kuwa mnyoofu, do you think it makes sense???
Swali lako hukuuliza ni umbali upi effects za curvature zitaanza kuonekana, umeuliza location/sehemu gani dunia inaanza kucurve na umejibiwa respectively, hakuna contradiction hapo, elewa swali lako ulilouliza.
Wewe ndiyo unayecontradict maswali yako, na unapindua maelezo yawe unavyotaka wewe