sawa vizuri,...unavyo Observe umegundua nini au observation imekupa majibu ganiKuobserve naobserve hata sasa, ila kufanyia utafiti Mimi Bado ila ww umeshafanyia utafiti kwahy tuendelee utuambie ulivyofanya utafiti mbn unaogopa utafiti wako?
Halafu jibu swali, ulishawahi kuziona electrons??Hajawahi kuthibitisha kwamba dunia inazunguka,...hawezi kuthibitisha anaogopa, hawezi kabisa kuthibitisha.
abdulrahman Said Eti unaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba dunia inazunguka?
Sikuwa na majibu kwasababu sikufanya research kuhusu observation yangu, wewe uliefanya nambie uligundua nini kama hitimisho lako na ulifanyaje mpk ukafikia hitimisho Hilo?sawa vizuri,...unavyo Observe umegundua nini au observation imekupa majibu gani
a. Kuhusu umbo la dunia
b. Whether inazunguka/not
Ndiyo, na nimeshakuthibitishia zaidi ya mara moja! NtarudiaHajawahi kuthibitisha kwamba dunia inazunguka,...hawezi kuthibitisha anaogopa, hawezi kabisa kuthibitisha.
abdulrahman Said Eti unaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba dunia inazunguka?
Hhah mbona simple sana kuthibitisha kuhusu hilo........nadhani ukileta majibu ya observation yako itakua tayari tumethibitisha kwamba dunia ni flat&haizunguki!Wakati huo ww hujathibitisha kuwa Dunia haizinguki na ni tambarare?
Huyo jamaa hapo mnaumiza kichwa tu hajui hata kutetea hoja yake ya kwa nini anasema dunia ni flatHalafu jibu swali, ulishawahi kuziona electrons??
Kwahiyo una observe lakini huna chochote unacho gain from your observation...? Tunaiitaje hiyo?Sikuwa na majibu kwasababu sikufanya research kuhusu observation yangu, wewe uliefanya nambie uligundua nini kama hitimisho lako na ulifanyaje mpk ukafikia hitimisho Hilo?
Kabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kipi kipo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yakeKuobserve naobserve hata sasa, ila kufanyia utafiti Mimi Bado ila ww umeshafanyia utafiti kwahy tuendelee utuambie ulivyofanya utafiti mbn unaogopa utafiti wako?
Kwani wewe unavyoona Dunia sio flat?Huyo jamaa hapo mnaumiza kichwa tu hajui hata kutetea hoja yake ya kwa nini anasema dunia ni flat
Nikuulize swali, observation ni conclusion?Hhah mbona simple sana kuthibitisha kuhusu hilo........nadhani ukileta majibu ya observation yako itakua tayari tumethibitisha kwamba dunia ni flat&haizunguki!
Observation ni conclusion?? Basi nambie ruler ukiweka kwenye maji inapinda.Kwani wewe unavyoona Dunia sio flat?
Unaiona ni tufe na inazunguka si ndiyo.....fikiria kiundani sio unaamini blindly.
Kwahiyo unaamini ukichimba hapo ulipo consistently unaweza kutokea Uswisi? .....iMPOSSIBLE!
Na origin of the universeKabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kioi kioo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yake
Huwezi kuconclude simpky from your observation. Hiyo ni initial start ya research! Hata hivyo a simple observation will still show you kama dunia ni spherical ni vile tu your mind is not skepticalKwahiyo una observe lakini huna chochote unacho gain from your observation...? Tunaiitaje hiyo?
Changamoto!
Nitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.Kabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kioi kioo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yake
Maswali kama hayo hawezi kujibu, anajua yatamkaba anarudisha majeshi ajipange upya😄😄 Nia yake si kubishana tuHuwezi kuconclude simpky from your observation. Hiyo ni initial start ya research! Hata hivyo a simple observation will still show you kama dunia ni spherical ni vile tu your mind is not skeptical
Umeulizwa kuhusu ruler hapo, ukichukuwa ukaiweka kwenye maji itapinda je inatosha kuhitimisha kama ruler imepinda?
Mpo kwenye gari mnatembea at the same speed, ukimuangalia mwenzako utaona kama hatembei je inatosha kuhitimisha kwamba hatembei??
Ukiangalia miti kwa nje utaona inatembea, je inatosha kuhitimisha kama miti ile inatembea???
Only a fool will claim eti macho yangu yamenithibitishia kitu fulani
usizunguke zunguke,..nimesema atupe majibu ya observation yake no matter ana perceive hayo majibu ni kweli au uongo?Huwezi kuconclude simpky from your observation. Hiyo ni initial start ya research! Hata hivyo a simple observation will still show you kama dunia ni spherical ni vile tu your mind is not skeptical
Umeulizwa kuhusu ruler hapo, ukichukuwa ukaiweka kwenye maji itapinda je inatosha kuhitimisha kama ruler imepinda?
Mpo kwenye gari mnatembea at the same speed, ukimuangalia mwenzako utaona kama hatembei je inatosha kuhitimisha kwamba hatembei??
Ukiangalia miti kwa nje utaona inatembea, je inatosha kuhitimisha kama miti ile inatembea???
Only a fool will claim eti macho yangu yamenithibitishia kitu fulani
Naomba nikuweke sawa hapa!Nitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.
Kwa mfano mpaka sasa hakuna ambaye ameweza kuthibitisha dunia ni tufe linalozunguka....
Pia mpaka sasa...hakuna aliyetupa majibu ya observation aliyofanya yeye mwenyewe......sasa kama hata kutumia tools mlizonazo kufanya research hamtaki mnataka kujadili kwa kutumia nadharia za wengine...hapa nitakua najadiliana na nyie au marehemu waliotunga hizo nadharia?
Nimekujibu tayari, wewe yako hutak kuyatoa😄😄usizunguke zunguke,..nimesema atupe majibu ya observation yake no matter ana perceive hayo majibu ni kweli au uongo?
Umeelewa?
Hahh sasa kuna swali gani hapo....anakutetea hajui nimekuuliza majibu ya observation yako kwasababu gani.Maswali kama hayo hawezi kujibu, anajua yatamkaba anarudisha majeshi ajipange upya😄😄 Nia yake si kubishana tu
Wewe umesema umeshasoma na hukubaliani na hizo investigations, Sasa ni swala la ww kusema ni wapi hukubaliani ueleweshweNitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.
Kwa mfano mpaka sasa hakuna ambaye ameweza kuthibitisha dunia ni tufe linalozunguka....
Pia mpaka sasa...hakuna aliyetupa majibu ya observation aliyofanya yeye mwenyewe......sasa kama hata kutumia tools mlizonazo kufanya research hamtaki mnataka kujadili kwa kutumia nadharia za wengine...hapa nitakua najadiliana na nyie au marehemu waliotunga hizo nadharia?