Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
We unadhani hata mahakamani ingekuwa ni kubishana tu ndio unashinda unadhani tungekuwa tunafikia muafaka?
Infact hata points hana huyu jamaa ni vile tu akili yake haiwezi kung'amua, nimemwambia tufanye mdahalo live alikimbia. Anajua hana facts zaidi ya pumba ukimualika ufanye naye live anakukimbia
 
Observation sahihi inafanywa na watu wenye akili timamu,....Sasa mtu mwenye akili timamu anaweza kufanya observation ya kufunika Jua na chungwa kweli?

With all due respect kwako,..tumia mfano mzuri tafadhali.
Observation is just observation kwani kufunika Jua na chungwa sio observation? Na lazima ujiulize ni kivipi na imewezekanaje Hiyo ndio sayansi. Au ww unadhani observation ni nini? Au lugha inakuchanganya
 
Mwenye akili timamu hawezi kuhitimisha kwa kuobserve mzee, observation ni stage ya kwanza kabisa hakuna mtu yoyote anayetumia ubongo akahitimisha kwa kusema macho yake yamemuambia. Tumia common sense mbna ni rahisi tu?
Sasa nakuuliza swali hapo, kwanini tusitumie chungwa kuthibitisha kama jua ni dogo? Nimeobserve nimeona jua ni dogo nikasema ngoja nifunike na chungwa and it works, sasa kwanini ukatae observation yangu?
 
yap Dunia hai move,...unaiona hai move na hakuna mtu/taasisi iliyowahi kukuthibitishia vice versa sasa kwanini usiamini akili yako.

Au huna imani na akili yako kaka...
Unauhakika hakuna mtu au taasisi iliyowahi kuthibitisha?

Mbn hujibu swali langu kwahy observation inaconcluse results? Na kama ndio basi nijibu kuwa ruler huwa inapinda ukizamisha kwenye maji mbn hujibu haya maswali au nimakubwa kwako?
 
Observation is just observation kwani kufunika Jua na chungwa sio observation? Na lazima ujiulize ni kivipi na imewezekanaje Hiyo ndio sayansi. Au ww unadhani observation ni nini? Au lugha inakuchanganya
Unawezaje kufunika Jua na Chungwa sasa,..mbona mnaongea vitu haviingii akilini?

Jua linaloweza kumulika East Africa at once,..wewe unajisifia umelifunika na Chungwa,...Daah
 
Unawezaje kufunika Jua na Chungwa sasa,..mbona mnaongea vitu haviingii akilini?

Jua linaloweza kumulika East Africa at once,..wewe unajisifia umelifunika na Chungwa,...Daah
Kwani kitu mpk useme umekiziba lazima iweje? Nachojua ukiziba kitu maana yake unafanya wewe au watu waliokusudia kuziba hicho kitu wasikione, haijalishi watu wengine wanakiona(ambayo hawajadhamilia kufanya ivo).
 
Unauhakika hakuna mtu au taasisi iliyowahi kuthibitisha?

Mbn hujibu swali langu kwahy observation inaconcluse results? Na kama ndio basi nijibu kuwa ruler huwa inapinda ukizamisha kwenye maji mbn hujibu haya maswali au nimakubwa kwako?
Ndiyo hakuna mtu/tasisi iliyowahi kuthibitisha.

Observation ina conclude results,..yaani kimsingi ni kwamba hata Initial observation isipokupa hitimisho linalotosha itakubidi uingie kwenye deep observation, deep observation isipotosha, utaingia kwenye deepest observation OBSERVATION ndiyo kila kitu.

Ukizamisha ruler kwenye maji ukiona imepinda kupitia observation ya awali ingia deep kwenye observation ili upate hitimisho sahihi,....OBSERVATION OBSERVATION OBSERVATION,...Hata hao mnaowaamini pia wanatumia observation huenda wanaingia deep zaidi kwenye observation,...usifikiri kuna maajabu mengine wanafanya nje ya observation.
 
Unawezaje kufunika Jua na Chungwa sasa,..mbona mnaongea vitu haviingii akilini?

Jua linaloweza kumulika East Africa at once,..wewe unajisifia umelifunika na Chungwa,...Daah
Ulijihakikishia vipi kama jua ndo linamulika East Africa??
Kwanini akili yako haikuwaza labda jua nalo linapokea tu mwanga kutoa sehemu nyingine na ni transparent lakini lenyewe saizi yake ni dogo ndo mana linafunikwa na chungwa! Ama hii uliamua tu kuwa jua ndiyo chanzo cha mwanga??
 
Kwani kitu mpk useme umekiziba lazima iweje? Nachojua ukiziba kitu maana yake unafanya wewe au watu waliokusudia kuziba hicho kitu wasikione, haijalishi watu wengine wanakiona(ambayo hawajadhamilia kufanya ivo).
Ooh, Kwahiyo aliziba Jua kwa Chungwa kiasi ambacho wengine tukashindwa kuliona Jua?

Tutumie akili ku reason,...
 
Sawa bwana mkubwa, kwahy wewe ulivyo observe umbo la Dunia ilikupa hitimisho linalotosha? Na kivipi? Au mwenzetu uliingia deepest?
 
Let's assume uko sahihi na hiyo mifumo yako ya observation, deep observation and blah!
Kwanini kwenye ruler uone observation ya awali haitoshi kuna haja ya kuendelea na iyo you call deep observation halafu kwenye dunia ukakwamia na observation ya awali? Ni kitu gani kinakufanya ufanye observation zaidi ya moja kwa baadhi ya vitu na vyengine ufanye moja then stop
 
Ooh, Kwahiyo aliziba Jua kwa Chungwa kiasi ambacho wengine tukashindwa kuliona Jua?

Tutumie akili ku reason,...
Unasoma vzr kweli? Nimesema kama yeye alikusudia alizibe Jua maana yake alitaka asilione Kwa kutumia chungwa na akafanikiwa haijalishi ww Bado unaliona ila yeye ameliziba Ili asilione mbn akili ndogo tu hii
 
Kwahy kuhusu ruler what is your take, inapinda au haipindi?
Na atuelezee kwanini akasema anafanya sijuwi deep observation na upuuzi mwingine! Kwanini kwenye ruler aamue hapa kuna haja ya kufanya deep observation, what's the driving for that deep observation? Kitu gani kitamfanya asiamini observation yake ya kwanza na kwanini kwa dunia akaamini observation yake ya kwanza
 
Sasa wewe unaona Jua ni chanzo cha Giza au? Unaposema Jua linapokea Mwanga toka sehemu nyingine hizo ni imagination zako,..ukileta uthibitisho tutakuamini

Jua ni chanzo cha mwanga unaoangaza kwa nguvu Duniani....wewe kama unataka kubisha hadi hilo hapo ni changamoto sasa.
 
Unasoma vzr kweli? Nimesema kama yeye alikusudia alizibe Jua maana yake alitaka asilione Kwa kutumia chungwa na akafanikiwa haijalishi ww Bado unaliona ila yeye ameliziba Ili asilione mbn akili ndogo tu hii
Hata shilingi naweza kuiziba na jua kwa upande wangu halafu yeye wa upande mwingine bado akaiona, sijui hawezi kufikiria hilo ama hatumii kichwa mwenzetu!
 
Mimi nakuuliza wewe apo, unajihakikishia vipi kama jua linatoa mwanga? Ukichukuwa, kama bulb ukiiangalia wewe utasema lile cover la nje ndo linatoa mwanga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…