Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Je, Ukichimba directly hapo ulipo unaweza kutokea Bolivia,....other factors remaining constant.
Ukichimba(drill) shimo hapo ulipo kwenda chini zaidi vitu vifuatavyo vitatokea;

Assume shimo tayari limeshachimbwa mpk upande mwingine

1. Fall due to gravity

HiI inamaana kwamba utaanguka kuelekea kwenye kiini Cha Dunia kutokana na gravitational pull.

2. Gravity change
Kama tunavyojua (naimani hata wewe physics unajua) kuwa unapokaribia kiini Cha Dunia gravity inapungua na kwenye kiini kabisa gravitational pull is zero.
Hapa maana yake nguvu ya gravity itakayokuwa inakuvuta itakuwa ndogo sana.

3. Inertia na oscillation/ zero gravity.
Hii inamaanisha kuwa unapozidi kuapproach kiini Cha Dunia utaanza ku oscilate yaani utakuwa unaenda chini then unarudi juu(simple harmonic motion). Hapa utakuwa unafeel weightless Kwa sababu gravity is zero na utakuwa kama unafloat kwenye space.

4. a)Passing the Earth's center
Kumbuka ulipoanguka towards the Earth's center ulikuwa umegain initial momentum ambayo itakufanya upite center of the earth lakini baada ya kupita tu utaanza tena kuexperience gravity pull kuelekea kwenye center though haitakuwa Kubwa.

b)Japokuwa unavutwa na gravity lakini Ile initial momentum uliyogain wakati unaanguka itakufanya uendelee kwenda juu upande mwingne.

6. Falling back
Kama hakuna air resistance au force nyingne, utaanza kufall back tena kama awali kuelekea kwenye center of the earth.

Kwahy kujibu swali lako, utashindwa kufika upande wa pili Kwa maana utakapo karibia utatumbukia tena na process itajirudia hivyo hivyo.
 
DR Mambo Jambo njo uwone huku aahahahha, 😂😂😂😂😂😂😂😂
Screenshot_20241205-181737_1.jpg
 
Hapo xaxaa , ila mi nilikataa kata kata kuwa mtu mweuei alikuwa nyani huko zamani yani Homoeructus, homohamibilis nawengine hata mtihani sikujibu ivyooo
 
Ukichimba(drill) shimo hapo ulipo kwenda chini zaidi vitu vifuatavyo vitatokea;

Assume shimo tayari limeshachimbwa mpk upande mwingine

1. Fall due to gravity

HiI inamaana kwamba utaanguka kuelekea kwenye kiini Cha Dunia kutokana na gravitational pull.

2. Gravity change
Kama tunavyojua (naimani hata wewe physics unajua) kuwa unapokaribia kiini Cha Dunia gravity inapungua na kwenye kiini kabisa gravitational pull is zero.
Hapa maana yake nguvu ya gravity itakayokuwa inakuvuta itakuwa ndogo sana.

3. Inertia na oscillation/ zero gravity.
Hii inamaanisha kuwa unapozidi kuapproach kiini Cha Dunia utaanza ku oscilate yaani utakuwa unaenda chini then unarudi juu(simple harmonic motion). Hapa utakuwa unafeel weightless Kwa sababu gravity is zero na utakuwa kama unafloat kwenye space.

4. a)Passing the Earth's center
Kumbuka ulipoanguka towards the Earth's center ulikuwa umegain initial momentum ambayo itakufanya upite center of the earth lakini baada ya kupita tu utaanza tena kuexperience gravity pull kuelekea kwenye center though haitakuwa Kubwa.

b)Japokuwa unavutwa na gravity lakini Ile initial momentum uliyogain wakati unaanguka itakufanya uendelee kwenda juu upande mwingne.

6. Falling back
Kama hakuna air resistance au force nyingne, utaanza kufall back tena kama awali kuelekea kwenye center of the earth.

Kwahy kujibu swali lako, utashindwa kufika upande wa pili Kwa maana utakapo karibia utatumbukia tena na process itajirudia hivyo hivyo.
Nimesema weka other factors constant,..Je ukichimba (drill) hapo ulipo kuna uwezakano wa kutokea Tokyo Japan, au nchi nyingine yoyote?
 
Lakini nikiweza kuziba chungwa kwa mwavuli naweza kuthibitisha kama mwavuli ni mkubwa kuliko shilingi??
NB. Mimi nimeliziba chungwa ila mtu aliyekaa position nyingine anaweza kuliona chungwa hata kama mimi nimeliziba. Mbona simple tu!
Bado hueleweki.....chungwa na shilingi vinahusiana nini?

Haiingii akilini kusema umeziba Jua,..fananisha vitu ambavyo vina mantiki au jaribu kutumia mifano halisia.
 
Hakuna uthibitisho unaojulikana,..kama upo huo uthibitisho lete tumalize mjadala..........

kama una uthibitisho mpya umegundua pia lete,,
Unaojulikana si umesema umesoma na ndio maana unaukataa? Sasa wewe ndio utueleze wapi Kuna changamoto na sio kuja na hoja ya tambarare. Malizana kwanza na sababu za kuikataa then Fanya utafiti wako kuhusu utambarare
 
Hakuna uthibitisho unaojulikana,..kama upo huo uthibitisho lete tumalize mjadala..........

kama una uthibitisho mpya umegundua pia lete,,
Kama hakuna unaojulikana wewe ulisoma upo mpka unakuja hapa kuupinga au unapinga kitu hukijui??
 
Hahh sasa kitu ambacho sio uthibitisho kikiitwa uthibitisho,..wewe utaafikiana nacho. utakubali?

Unajua maana ya uthibitisho?

Kwa mfano Nikikuonyesha Gari ambayo unaiona ime park sehemu..ili nikuthibitishie kwamba hiyo Gari ina move inabidi nifanye nini?
 
Hahh sasa kitu ambacho sio uthibitisho kikiitwa uthibitisho,..wewe utaafikiana nacho. utakuba?

Uthibitisho ni uthibitisho!!! Wether hauridhishi, haijakamilika au sio wa kweli utaendelea kuitwa uthibitisho. Kwahy wewe unatakiwa useme uthibitisho huo hauridhishi kivipi, haujamilika wapi au sio wa kweli kivipi full stop.
 
Hahh sasa kitu ambacho sio uthibitisho kikiitwa uthibitisho,..wewe utaafikiana nacho. utakuba?

Unajua maana ya uthibitisho?

Kwa mfano Nikikuonyesha Gari ambayo unaiona ime park sehemu..ili nikuthibitishie kwamba hiyo Gari ina move inabidi nifanye nini?
BTW, nilikupa picha za Dunia ulizoomba ukaishia kusema ni katuni sema zile picha ukatuni wake ni nini? Clear Kila kitu unachoopinga au kuongea humu sio kukimbia.
 
Mkuu umetoa somo zuri, ila kwenye INTRO umenichanganya! Umewaponda wazungu na elimu waliyotuletea na wanavyoendelea kutudanganya na kutuficha mambo, wakati huo huo unatuelimisha kwa kutumia lugha, vyombo na elimu hiyo hiyo ya hao jamaa..!!
Hapa ndo naonaga hawa watu ni mandezi ,utakuta anasema sijui wazungu na waarabu washenzi bla bla kibao halafu anatumia vitabu vyao kufanya ibada. Wengine wameenda mbali wanawaita watakatifu wawaombee dhambi zao😁.
 
Atuelezee hapa model yake ya flat earth, kipi kinamzunguka mwenzake, mfumo wake wa dunia, jua na mwezi umekaaje?
Kile kimvuli kinachoonekana ni cha nini? Kuoatwa kwa jua inatokea vipi na usiku na mchana unatokea vipi kwa flat earth, na ni kwa vipi kila kitu kibaki kwenye position yake.
Mi ni mmoja wa wanaoamini dunia ni tambarare duara. Maswali yako yote yana majibu.

Huwa nashindwa kuyajibu kwasababu moja kubwa, wengi wa wanaopinga huu uhalisia huwa hawapo tayari kujifunza au kutafiti wao binafsi kwakutumia maharifa yao au wanayoyapata, na hii inatokana na Elimu tuliyoipata juu ya umbo la dunia tangu utotoni tulipoanza kufundishwa mpaka tumekua,

so akili kubadilika kupitia huu uzi wenye elimu isiyofikia hata saa moja ni ngumu kupingana na elimu iliyotumia miaka katika kujifunza umbo la dunia.

Huu uzi ukiuchukulia kama sehemu yakutafakari upi ni ukweli hakika utaitafuta elimu yake na majibu ya maswali yako yote utayapata na utayahoji kulingana na usahihi wake, kinyume na hapo utaendelea kubishana mpaka mshindi apatikane na ndio maana kumewekwa hadi Kura ili kuwajua washindi na washindwa.

Kubwa la kuanza kujiuliza
. Je Ni Kwanini tumefundishwa juu ya Umbo la Dunia?
. Je Ni vitu gani tungefeli maishani kwasababu ya kutokujua Umbo la Dunia?
. Na mwisho Ni kwanini tuambiwe Jua limesimama ilhali tunaona linatembea kama Mwezi?

Wengi wanahoji ninnini sasa Sababu ya kudanganywa juunya Umbo la Dunia?

Jibu lake ni Somo lingine Pana zaidi na linalohitaji Utulivu Sana ili uweze kujua Vita vya Ulimwengu wa Kiroho. Na Silaha moja wapo ni Namna ya kumpotosha Mwanadamu juu ya Ukweli wa Uumbaji Wa Muumba vyote ambapo itamfanya mwanadamu awe mbali na Kumuamini Anepingana Nae.

"TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAHARIFA"
 
Ni mangapi tunafundishwa na hatuyatumii katika maisha yetu ya kawaida au hata katika ajira zetu? Wewe Kwa sababu Hauna application ya hiyo elimu basi usiconclude Hakuna umuhimu
 
Na mwisho Ni kwanini tuambiwe Jua limesimama ilhali tunaona linatembea kama Mwezi?
Lini umeona Jua linatembea? Ni kitu Gani ulichoona mpk useme Jua linamove??

Kitendo Cha wewe kuona Jua halipo kwenye position lililokuwepo awali baada ya muda fulani kupita Haina maana kuwa Jua ndio limemove, inawezekana wewe ndio umehama position(Dunia).

Nakupa mfano tu, assume umesimama halafu mbele yako Kuna mti about 100m away from you, then ukaanza kutembea kuufata ukasogea 20m mbele, alafu ukaangalia tena huo mti utaona Sasa upo karibu kuliko awali(80m away).

JE, UTASEMA MTI UMESOGEA? AU WW NA MTI MMESOGELEANA??

According to globe earth;
Dunia inazunguka Jua, ww unaona Jua linahama position Kwa sababu ww ndo unamove kama nilivyokueleza kwenye mfano hapo juu.

Ni sawa kabisa kutumia akili zetu kutafakari lkn with common sense sio kulishana matangopori.
 
Jibu lake ni Somo lingine Pana zaidi na linalohitaji Utulivu Sana ili uweze kujua Vita vya Ulimwengu wa Kiroho. Na Silaha moja wapo ni Namna ya kumpotosha Mwanadamu juu ya Ukweli wa Uumbaji Wa Muumba vyote ambapo itamfanya mwanadamu awe mbali na Kumuamini Anepingana Nae.
Ni Kwa namba gani umbo la Dunia kuwa duara linahusiana na mambo ya uumbaji? Ujinga mwingine ni kuchanganya sayansi na mambo ya Mungu au Imani.

Kwamba unamaanisha Mungu hawezi kuumba Dunia ambayo ni duara na ikazunguka Jua?

SAYANSI ni natural world the way it is, the way we observe, way we see it, it also involve experimentation and testing of theories against the evidence obtained. Sasa ukileta maswala ya Imani huku utachemka.
 
Mi ni mmoja wa wanaoamini dunia ni tambarare duara. Maswali yako yote yana majibu.

Huwa nashindwa kuyajibu kwasababu moja kubwa, wengi wa wanaopinga huu uhalisia huwa hawapo tayari kujifunza au kutafiti wao binafsi kwakutumia maharifa yao au wanayoyapata, na hii inatokana na Elimu tuliyoipata juu ya umbo la dunia tangu utotoni tulipoanza kufundishwa mpaka tumekua,

so akili kubadilika kupitia huu uzi wenye elimu isiyofikia hata saa moja ni ngumu kupingana na elimu iliyotumia miaka katika kujifunza umbo la dunia.

Huu uzi ukiuchukulia kama sehemu yakutafakari upi ni ukweli hakika utaitafuta elimu yake na majibu ya maswali yako yote utayapata na utayahoji kulingana na usahihi wake, kinyume na hapo utaendelea kubishana mpaka mshindi apatikane na ndio maana kumewekwa hadi Kura ili kuwajua washindi na washindwa.

Kubwa la kuanza kujiuliza
. Je Ni Kwanini tumefundishwa juu ya Umbo la Dunia?
. Je Ni vitu gani tungefeli maishani kwasababu ya kutokujua Umbo la Dunia?
. Na mwisho Ni kwanini tuambiwe Jua limesimama ilhali tunaona linatembea kama Mwezi?

Wengi wanahoji ninnini sasa Sababu ya kudanganywa juunya Umbo la Dunia?

Jibu lake ni Somo lingine Pana zaidi na linalohitaji Utulivu Sana ili uweze kujua Vita vya Ulimwengu wa Kiroho. Na Silaha moja wapo ni Namna ya kumpotosha Mwanadamu juu ya Ukweli wa Uumbaji Wa Muumba vyote ambapo itamfanya mwanadamu awe mbali na Kumuamini Anepingana Nae.

"TUNAANGAMIA KWA KUKOSA MAHARIFA"
Maarifa sio "Maharifa"
Umesema yana majibu halafu huwezi kujibu point yako ni ipi mzee??? Unajaribu kusema nini ?
 
Back
Top Bottom