The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ukichimba(drill) shimo hapo ulipo kwenda chini zaidi vitu vifuatavyo vitatokea;Je, Ukichimba directly hapo ulipo unaweza kutokea Bolivia,....other factors remaining constant.
Assume shimo tayari limeshachimbwa mpk upande mwingine
1. Fall due to gravity
HiI inamaana kwamba utaanguka kuelekea kwenye kiini Cha Dunia kutokana na gravitational pull.
2. Gravity change
Kama tunavyojua (naimani hata wewe physics unajua) kuwa unapokaribia kiini Cha Dunia gravity inapungua na kwenye kiini kabisa gravitational pull is zero.
Hapa maana yake nguvu ya gravity itakayokuwa inakuvuta itakuwa ndogo sana.
3. Inertia na oscillation/ zero gravity.
Hii inamaanisha kuwa unapozidi kuapproach kiini Cha Dunia utaanza ku oscilate yaani utakuwa unaenda chini then unarudi juu(simple harmonic motion). Hapa utakuwa unafeel weightless Kwa sababu gravity is zero na utakuwa kama unafloat kwenye space.
4. a)Passing the Earth's center
Kumbuka ulipoanguka towards the Earth's center ulikuwa umegain initial momentum ambayo itakufanya upite center of the earth lakini baada ya kupita tu utaanza tena kuexperience gravity pull kuelekea kwenye center though haitakuwa Kubwa.
b)Japokuwa unavutwa na gravity lakini Ile initial momentum uliyogain wakati unaanguka itakufanya uendelee kwenda juu upande mwingne.
6. Falling back
Kama hakuna air resistance au force nyingne, utaanza kufall back tena kama awali kuelekea kwenye center of the earth.
Kwahy kujibu swali lako, utashindwa kufika upande wa pili Kwa maana utakapo karibia utatumbukia tena na process itajirudia hivyo hivyo.