Haingii akilini kabisa,..yaani umejiziba wewe usione kitu fulani kisha kwa ukubwa wa hicho kitu watu wengine wanaweza kukiona at the same time,..Unasoma vzr kweli? Nimesema kama yeye alikusudia alizibe Jua maana yake alitaka asilione Kwa kutumia chungwa na akafanikiwa haijalishi ww Bado unaliona ila yeye ameliziba Ili asilione mbn akili ndogo tu hii
Kabisa! Kimsingi hawezi kutetea hoja, na ukimkaba ataruka anabadilisha mada. Mimi ndo mana nimemwambia huu mdahalo ni wa kufanya live hapo ni ngumu mtu kuruka hoja na maswali, hapa atajifanya tu hajaona hajibu!Ana hoja dhaifu sana,, ila anaweza kubishana Kwa muda mrefu😄
Ila hoja ya kusema ulihitimisha kama dunia ni flat kwa macho inamsingi??? 😂Haingii akilini kabisa,..yaani umejiziba wewe usione kitu fulani kisha kwa ukubwa wa hicho kitu watu wengine wanaweza kukiona at the same time,..
Then, uhitimishe umeweza kukiziba hicho kitu? hapo umejizuia tu mwenyewe kukiona hicho kitu..... Usimtetee hoja yake haiingii akilini.
Kuzuia maana yake si ni kublock? Labda lugha inakusumubua, basi tuseme unaweza kublock Jua Kwa kutumia chungwa, vp hapo sawa?Haingii akilini kabisa,..yaani umejiziba wewe usione kitu fulani kisha kwa ukubwa wa hicho kitu watu wengine wanaweza kukiona at the same time,..
Then, uhitimishe umeweza kukiziba hicho kitu? hapo umejizuia tu mwenyewe kukiona hicho kitu..... Usimtetee hoja yake haiingii akilini.
Hapa huwezi kujibu hateeb10 😄😄😄😄Kwahy kuhusu ruler what is your take, inapinda au haipindi?
Hahh daah,..Unaona maswali yako sasa, Jua ndiyo linatoa mwanga........&That's why likiwepo eneo fulani unapata mwanga (mchana) na liki move away from eneo hilo unapata giza(usiku)!Mimi nakuuliza wewe apo, unajihakikishia vipi kama jua linatoa mwanga? Ukichukuwa, kama bulb ukiiangalia wewe utasema lile cover la nje ndo linatoa mwanga?
Kwahy wewe uliishia hapo ukaona observation yako inalidhisha?Hahh daah,..Unaona maswali yako sasa, Jua ndiyo linatoa mwanga........&That's why likiwepo eneo fulani unapata mwanga (mchana) na liki move away from eneo hilo unapata giza(usiku)!
Sasa unataka uthibitisho gani tena?
Ewaaa ! Sasa tuambie kwa yale maeneo ambayo yanakuwa usiku inakuwaje?? Kwa maelezo yako ningetegemea dunia nzima ingekuwa mchana /usiku sio sehemu moja kuwa mchana na sehemu nyingine kuwa usiku!Hahh daah,..Unaona maswali yako sasa, Jua ndiyo linatoa mwanga........&That's why likiwepo eneo fulani unapata mwanga (mchana) na liki move away from eneo hilo unapata giza(usiku)!
Sasa unataka uthibitisho gani tena?
Kwahy ww macho yako yanakuonesha ukizamisha ruler kwenye maji nusu unaona rula ipo vile vile?? Au sisi macho yetu yanatofautiana bwana mkubwa?Kwanini nisiweze kujibu?.....kupitia observation ruler haipindi.
Observation gani ilionesha ruler haipindi ? Mbna kupitia observation ni wazi kama ruler inapinda ?Kwanini nisiweze kujibu?.....kupitia observation ruler haipindi.
Sasa si utakua umejiziba tu wewe usipatwe na Jua? haimaanishi kwamba Jua ni dogo kuliko Chungwa......mfano mtu akitumia Mwamvuli kujizuia na ukali wa Jua,..Huwezi ukasema Jua ni dogo kuliko Mwamvuli labda kama una matatizo ya akili.Kuzuia maana yake si ni kublock? Labda lugha inakusumubua, basi tuseme unaweza kublock Jua Kwa kutumia chungwa, vp hapo sawa?
Wapi nimesema Jua ni dogo?? Mada hapo ilikuwa observation we unadai ni observation ya kijinga, Sasa wewe umethibitisha vipi kuwa Jua ni Kubwa kuliko chungwa wakati mm nakwambia chungwa ni Kubwa kuliko Jua na ndio observation yangu?Sasa si utakua umejiziba tu wewe usipatwe na Jua? haimaanishi kwamba Jua ni dogo kuliko Chungwa......mfano mtu akitumia Mwamvuli kujizuia na ukali wa Jua,..Huwezi ukasema Jua ni dogo kuliko Mwamvuli labda kama una matatizo ya akili.
Lakini nikiweza kuziba chungwa kwa mwavuli naweza kuthibitisha kama mwavuli ni mkubwa kuliko shilingi??Sasa si utakua umejiziba tu wewe usipatwe na Jua? haimaanishi kwamba Jua ni dogo kuliko Chungwa......mfano mtu akitumia Mwamvuli kujizuia na ukali wa Jua,..Huwezi ukasema Jua ni dogo kuliko Mwamvuli labda kama una matatizo ya akili.
Si unaona anavyopindua na kutaka iwe kama anavyotaka yeye! Haelewi point ya msingi ila anahangaika abadilishe madaWapi nimesema Jua ni dogo?? Mada hapo ilikuwa observation we unadai ni observation ya kijinga, Sasa wewe umethibitisha vipi kuwa Jua ni Kubwa kuliko chungwa wakati mm nakwambia chungwa ni Kubwa kuliko Jua na ndio observation yangu?
Just relax, kama vitu vinalogic vitaonekana tu kama anabwabwaja ataonekana tu,Si unaona anavyopindua na kutaka iwe kama anavyotaka yeye! Haelewi point ya msingi ila anahangaika abadilishe mada
Akikubali napendekeza link itumwe humu wengine tuhudhurie kama wasikilizajiKabisa! Kimsingi hawezi kutetea hoja, na ukimkaba ataruka anabadilisha mada. Mimi ndo mana nimemwambia huu mdahalo ni wa kufanya live hapo ni ngumu mtu kuruka hoja na maswali, hapa atajifanya tu hajaona hajibu!
Nimemualika tufanye kwa google meeting kakimbia, anajuwa hana points za msingi kutetea hoja yake na hawezi kujibu maswali ya msingi
Uthibitisho mpya au ule ule unaojulikana??Nitawarudia,..andaeni uthibitisho usio na shaka kwamba Dunia ni tufe linalozunguka.