hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Haingii akilini kabisa,..yaani umejiziba wewe usione kitu fulani kisha kwa ukubwa wa hicho kitu watu wengine wanaweza kukiona at the same time,..Unasoma vzr kweli? Nimesema kama yeye alikusudia alizibe Jua maana yake alitaka asilione Kwa kutumia chungwa na akafanikiwa haijalishi ww Bado unaliona ila yeye ameliziba Ili asilione mbn akili ndogo tu hii
Then, uhitimishe umeweza kukiziba hicho kitu? hapo umejizuia tu mwenyewe kukiona hicho kitu..... Usimtetee hoja yake haiingii akilini.