Unachojibu sio ambacho nimekuuliza,............nimesema hivi "Thibitisha basi kwamba Dunia inazunguka,..Mpaka saa 4 asubuhi ya leo tarehe 9 Disemba ukishindwa kuthibitisha kwamba Dunia inazunguka basi utakua unaamini blindly...!Point yako ni nn? Kuwa Dunia ni tambarare au Dunia sio duara? Unataka nisemeje nn kipya kuhusu umbo la Dunia duara? Umesema umesoma sema wapi panakuchanganya kama hujasoma inamaana unabisha kitu hujui?
Hahh umethibitisha kitu gani kaka,.......Ndiyo, kama nilivyoweza kukuthibitishia hapa nitakuthibitishia pia meanwhile wewe hautoweza kuthibitisha kama dunia ni flat na haizunguki.
Hizo mambo za kusema nikiwa tayari ndo ngonjera nisizozitaka, wewe sema precisely siku gani tualike watu hapa tufanye mdahalo kila mtu aweke hoja zake na azitetee hoja zake.
NB. Huwezi na hutoweza kamwe kuthibitisha kama dunia ni flat. Kama unajiamini taja siku hapo tuchambue hoja
Picha ikishaongezewa vitu maana yake hiyo picha sio halisi,...au hujui maana ya kitu kuwa halisiSo here unakubali kuwa picha ni halisi ila zinaongezewa vitu fulani( processed)?
View attachment 3172865
Acha maneno mengi weka uthibitisho.....unaamini sina uelewa ila kuweka uthibitisho unashindwa hata mimi nimesoma vizuri tu kuhusu GIS,..lakini sijaona popote kwamba ili GIS systems zifanye kazi ni lazima Dunia iwe tufe linalozunguka,......wewe cha kufanya thibitisha, maana sisi pia tumesoma hayo uliyosoma na ndiyo maana tunapata nguvu ya ku question hayo tuliyosoma.Kwa usivyo na uelewa unajua kwamba NASA, ISS wapo Kwaajili ya kuaminisha watu umbo la Dunia ni tufe😄😄.
Picha hizo zinakuwa processed kwaajili ya matumizi fulani fulani kutokana na lengo lao wap, kama huna application ya GIS itakuwa ngumu kuelewa kwako. Mambo ya weather forecasting, minerals and water exploration Kwa kutumia GIS picha zake zinatoka kwenye hizi mamlaka kwahy zinakuwa processed kutokana na mahitaji maalumu na Wala sio Kwa ajili yako wewe eti Ili wakuaminishe kuwa Dunia ni duara. Unachekesha wewe.
Halafu kama wangekuwa wanadanganya kwann wakuambie kuwa hizi picha zimekuwa processed? Wangeweza kusema hazijawa processed na Bado utasema nn?
Bado hujaonesha ni kivipi hizo picha sio halisi😄😄, kuwa processed haimaanishi sio halisi ni sawa naww tukupige picha then hiyo picha tuipunguzie mwanga au kuongeza mwanga Sasa utasema hiyo picha sio halisi Bali imetengenezwa?
Sawa, Lete link hapa saa 6:30 watu tujoin ili utuonyeshe jinsi Dunia inavyozunguka na pia ututhibitishie pasina shaka kwamba Dunia ni tufe!Ukisema hakuna uthibitisho uliopewa kama dunia ni tufe unakuwa na upungufu wa akili na mropokaji,
Wewe ndiye hujaleta uthibitisho wowote hapa kuelezea madai yako.
Dunia saivi ni kama kijiji tu hakuna kufichana, fortunately kuna mashirika ya anga zaidi ya 70 na idadi kubwa ya wana anga, hao wote wamefanikiwa kutoka na kupata picha za dunia na kuonesha ikiwa sphere na hakuna yoyote anayeclaim kama dunia ni flat amewahi kufanya hivyo ila tu mkaamua kusema haya mashirika yote Yanaongopa (kwasababu ambazo hamjaziweka wazi) sasa huoni kama ni ukichaa huo mdogo angu?
Taja siku hapa tualike watu mdahalo ufanyike live sio kusema nikiwa tayari blah blah blah, itakuwa tayari lini?
Namm hujajibu nilichokuuliza,Unachojibu sio ambacho nimekuuliza,............nimesema hivi "Thibitisha basi kwamba Dunia inazunguka,..Mpaka saa 4 asubuhi ya leo tarehe 9 Disemba ukishindwa kuthibitisha kwamba Dunia inazunguka basi utakua unaamini blindly...!
Umeuliza kitu gani hicho..Namm hujajibu nilichokuuliza,
Ila picha itakuwa yangu(processes from raw photo) na sio kama unavyosema imekuwa generated Kwa maana imetengenezwa na computer?Picha ikishaongezewa vitu maana yake hiyo picha sio halisi,...au hujui maana ya kitu kuwa halisi
Kama wewe ni Mweupe ila mimi nikatumia filter kukufanya uonekane mweusi.....utasema hiyo picha inayokuonyesha ukiwa mweusi ni picha halisia?
Kama umesoma GIS how come Dunia ni tambarare?? We use images from NASA ambazo ww unasema ni fake.mimi nimesoma vizuri tu kuhusu GIS
Kama umesoma sa kwann unaniuliza tena mm? Unanimock au unanipima? Wewe sema ambacho ulisoma kikakuchanganya. Let's make it simple...wewe cha kufanya thibitisha, maana sisi pia tumesoma hayo uliyosoma na ndiyo maana tunapata nguvu ya ku question hayo tuliyosoma.
Point yako ni nn? Kuwa Dunia ni tambarare au Dunia sio duara?Umeuliza kitu gani hicho..
BTW tell me kwenye hizo picha ni kitu Gani kinakufanya useme sio za kweli kama zinavyoonekana😄. Simple question.Picha ikishaongezewa vitu maana yake hiyo picha sio halisi,...au hujui maana ya kitu kuwa halisi
Kama wewe ni Mweupe ila mimi nikatumia filter kukufanya uonekane mweusi.....utasema hiyo picha inayokuonyesha ukiwa mweusi ni picha halisia?
Basi sawa,. tuma hiyo raw photo ya Dunia au hakuna?Ila picha itakuwa yangu(processes from raw photo) na sio kama unavyosema imekuwa generated Kwa maana imetengenezwa na computer?
Kwasababu sio raw photo of the earth,.. simple answerBTW tell me kwenye hizo picha ni kitu Gani kinakufanya useme sio za kweli kama zinavyoonekana😄. Simple question.
Point yangu Dunia sio tufe,... ni flat na imetulia haifanyi movement yoyote kama unavyoiona na kuihisi.Point yako ni nn? Kuwa Dunia ni tambarare au Dunia sio duara?
Sasa Mimi ni NASA? Kwanza nimekwambia NASA hawapo kwaajili ya kukuaminisha ww Bali wapo Kwa tafiti zao.Basi sawa,. tuma hiyo raw photo ya Dunia au hakuna?
Thibitishani flat na imetulia haifanyi movement yoyote kama unavyoiona na kuihisi.
Sio raw kivipi, show me on those photos how do you know they are not raw photos.Kwasababu sio raw photo of the earth,.. simple answer
Kwahiyo wewe kwenye maisha yako yote hujawahi kuona raw photo ya dunia?Sasa Mimi ni NASA? Kwanza nimekwambia NASA hawapo kwaajili ya kukuaminisha ww Bali wapo Kwa tafiti zao.
Naww nikikwambia uniletee picha ya Dunia tambarare inayoonyesha mabara yote utaleta?