The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Mpige Kwa hojaπJamani mi nina wazo..
Mnaonaje huyu jamaa hateeb10 tukamkamata tukampiga weeeee..
Alafu tumfunge kamba tumchape fimbo za mgongo weeeeeh mpaka ajute
Wewe si ndio umesema hizo sio raw photo ni processed,...Hahhh kijana acha kujichanganyaSio raw kivipi, show me on those photos how do you know they are not raw photos.
Kwani unajua ninaposema raw photo namaanisha nn? Kwahy kuongeza quality ya picha inabadirisha umbo la Dunia?Kwahiyo wewe kwenye maisha yako yote hujawahi kuona raw photo ya dunia?
Sasa unavyosema kwamba una uthibitisho kwamba Dunia ni tufe na inazunguka, huwa unatudanganya?
Tukuamini vipi, kama hata raw photo ya Dunia huna ila unasema ni tufe na inazunguka?
Kwahy unapinga picha sio halisi Kwa sababu mm nimekwambia???ππ Wakat umeanza kupinga kabla sijasema.Wewe si ndio umesema hizo sio raw photo ni processed,...Hahhh kijana acha kujichanganya
Basi nasema ni raw photos, enhee ??Wewe si ndio umesema hizo sio raw photo ni processed,...Hahhh kijana acha kujichanganya
Do you have senses?,,,,,, nimekuambia Dunia ni flat na imetulia kama unavyoiona na kuihisi...........sasa kama huna senses zinazokuwezesha kujithibitishia mwenyewe kuhusu hilo sidhani kama naweza kukusaidia.Thibitisha
Nani kakwambia naona hivyo? Leta uthibitisho hapa. Namm nikikwambia Dunia ni duara kama unavyoona utasema nn?Do you have senses?,,,,,, nimekuambia Dunia ni flat na imetulia kama unavyoina na kuihisi...........sasa kama huna senses zinazokuwezesha kujithibitishia mwenyewe kuhusu hilo sidhani kama naweza kukusaidia.
Huna msimamo,......simamia kauli yako ya mwanzo la sivyo nikikubana zaidi utasema hujawahi kusema kwamba Dunia inazunguka.Basi nasema ni raw photos, enhee ??
Nona ushasahau tena,..unakumbuka ulisema kupitia observation yako uliona nini?Nani kakwambia naona hivyo? Leta uthibitisho hapa. Namm nikikwambia Dunia ni duara kama unavyoona utasema nn?
Nasimamia ya pili kuwa hizo ni raw photos hakuna mahali nimesema hizo si raw photos Bali nilikujibu kuwa picha za NASA zinakuwa processed from raw photos na Wala sikusema hizo picha nilizotuma sio raw photosHuna msimamo,......simamia kauli yako ya mwanzo la sivyo nikikubana zaidi utasema hujawahi kusema kwamba Dunia inazunguka.
Wapi nilisema kuwa naona Dunia nzima ni tambare? Huo uwezo wa kuona hivyo nimeutoa wapi? I can only see less than 1% of the whole earth so usinilishe maneno et naona Dunia nzima ni tambarare.Nona ushasahau tena,..unakumbuka ulisema kupitia observation yako uliona nini?
Kuwa na kumbukumbu nzuri.
Leta uthibitisho kama unavyokomaa ww tukuletee hapa, usianze kusema sijui kama unavyoona and stuffs like that tuthibitishie, leta picha za Dunia tambarare zikiinesha mabara yote, video zikionesha Jua linamove. Ukishindwa futa point yako ya Dunia ni tambarare kwanza kabla hujakubali kuwa Dunia ni duara.Nona ushasahau tena,..unakumbuka ulisema kupitia observation yako uliona nini?
Kuwa na kumbukumbu nzuri.
Nikurekebishe hapo!Sawa, Lete link hapa saa 6:30 watu tujoin ili utuonyeshe jinsi Dunia inavyozunguka na pia ututhibitishie pasina shaka kwamba Dunia ni tufe!
NB: Subject ya mdahalo iwe...."MDAHALO WA KUONYESHA DUNIA INAVYOZUNGUKA NA KUTHIBITISHA KWAMBA DUNIA NI TUFE!
#TUNASUBIRI.
Na kama kuna mtu wa kumpiga tumpige tuu hateeb10ALERT!
Saa 12 kamili link itatumwa humu, tutaacha watu wajoin kisha saa 12 na nusu mdahalo utaanza, mimi nahitaji awepo walau mshuhuda mmoja tu ambaye kazi yake iwe kusikiliza. Flat earther mwingine yoyote atakayehitaji atajoin kwenye huu mdahalo.
Title:
"Uchambuzi yakinifu juu ya nadharia ya Dunia tufe na nadharia ya Dunia tambarare"
Main speakers:
abdulrahman Said hateeb10
Venue:
Google meeting
dosho12 DR Mambo Jambo Poor Brain
Wewe ndiyo hujiamini.......mdahalo ujikite kwenye kuthibitisha na sio kuchambua...........kuchambua na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti andaa uthibitisho sio uchambuzi...sawa?Nikurekebishe hapo!
Mtu ambaye hajiamini anachokisema ni kama wewe apo, kwanini upick eti subject ya mdahalo iwe." Mdahalo wakuonesha dunia inavyozunguka na ni tufe" kwanini isiwe kuonesha kama dunia ni flat na haizunguki???
Usiende kinyume na mdahalo, mdahalo ni kujadili nadharia mbili 1. Dunia ni tufe na inazunguka 2. Dunia ni flat na haizunguki
Acha kuzunguka zunguka kama mtu asiyeamini anachokisema, saa 12 kamili ntakuwepo hapa mpaka saa 12 na nusu na watu wote wanaohitaji kuhudhuria huu mdahalo tutaweka link hapa.
Kila mtu atapewa nafasi ya kuchambua nadharia yake, atuelezee kwa kina kuhusu anachokiamini kisha tuanze kuargu kama watu wenye uelewa sio unakuja na kititle cha kipuuzi hakina kichwa wala miguu, c'mon jiamini mdg angu
Kwann unahisi hoja haihitaji uthibitisho ila za wengine ndo zinahitaj uthibitisho pekee?Wewe ndiyo hujiamini.......mdahalo ujikite kwenye kuthibitisha na sio kuchambua...........kuchambua na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti andaa uthibitisho sio uchambuzi...sawa?
Uchambuzi yakinifu?ALERT!
Saa 12 kamili link itatumwa humu, tutaacha watu wajoin kisha saa 12 na nusu mdahalo utaanza, mimi nahitaji awepo walau mshuhuda mmoja tu ambaye kazi yake iwe kusikiliza. Flat earther mwingine yoyote atakayehitaji atajoin kwenye huu mdahalo.
Title:
"Uchambuzi yakinifu juu ya nadharia ya Dunia tufe na nadharia ya Dunia tambarare"
Main speakers:
abdulrahman Said hateeb10
Venue:
Google meeting
dosho12 DR Mambo Jambo Poor Brain