The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Najua ndio, mfano ukomo wako wa kuona umbali, au mfano Tanzania ina mipaka, tutembee kutoka mpaka wa tz/Kenya(Tanga) mpk mpaka wa tz/Uganda(Kagera) hapo utakuwa umefikia ukomo wa Tanzania ukiendelea maana yake unatoka kwenye nje ya mipaka ya nchi ya tzUnajua maana ya ukomo wa kitu?,,,,,isije ikawa hujui tunazungumzia nini hapa
Kama sijui nijibu edges za Mpira ziko wapi?? Don't pretend to be ignorant.Hujui maana ya edge/mpaka/boundaries ndiyo maana unajichanganya,.......
Sijui unachukua space kiasi ganiAu kwa kukurahisishia,..mpira wako unachukua space kiasi gani?
Mpira wako una kikomo cha space inaochukua,...?
Kwaiyo mpira una edges? 😂 😂 😂 😂Hujui maana ya edge/mpaka/boundaries ndiyo maana unajichanganya,.......
Nini maana ya edge? Unaamini ukitumia google ndiyo utaeleweka, wewe huwezi kuelezea au
Basi hapo sina cha kukusaidiaSijui unachukua space kiasi gani
Mfano tu nioneshe ukomo wa circle hapa chiniHujui maana ya edge/mpaka/boundaries ndiyo maana unajichanganya,.......
What is your point About space? Maan unahama hama tu, mara uongelee volume capacity mara space, sikuelewiBasi hapo sina cha kukusaidia
Mkuu, naomba uniachie kwanza walau saa kadhaa nifanye nae meeting kisha atakurudia umtoe mavi. 🙏
Huyu jamaa hamna kitu 🚮🗑️, mweupe kabisaKwaiyo mpira una edges? 😂 😂 😂 😂
Hata sijuwi kwanini na-argue na wewe, anyway this is so fun napenda sana kushiriki midahalo fikirishi kama hii.
Join kwa link niliyokutumia hapo, ntaiweka tena
meet.google.com/spe-hjte-pim
SawaMkuu, naomba uniachie kwanza walau saa kadhaa nifanye nae meeting kisha atakurudia umtoe mavi. 🙏
Hana point mkuu,What is your point About space? Maan unahama hama tu, mara uongelee volume capacity mara space, sikuelewi
Ikiwa hujui nini maana ya edge,...itabidi ujichekesheKwaiyo mpira una edges? 😂 😂 😂 😂
Hata sijuwi kwanini na-argue na wewe, anyway this is so fun napenda sana kushiriki midahalo fikirishi kama hii.
Join kwa link niliyokutumia hapo, ntaiweka tena
meet.google.com/spe-hjte-pim
Nakuelezea huelew labda google watakusaidia.Nini maana ya edge? Unaamini ukitumia google ndiyo utaeleweka, wewe huwezi kuelezea au
Kutokana na uwezo wako wa kufikiri inabidi nitumie nguvu kukuelewesha,....haina jinsi.What is your point About space? Maan unahama hama tu, mara uongelee volume capacity mara space, sikuelewi
Hii ni tafsiri kutoka katika dictionary ya Cambridge.Ikiwa hujui nini maana ya edge,...itabidi ujichekeshe
soma maana ya edge toka kwa wenye lugha yao kisha sema mpira una edge au hauna...........
edge
[ɛdʒ]
noun
- the outside limit of an object, area, or surface:
.....SIKU NYINGINE MSIRUDIE KUBISHA
So what is the outside limit of the ball? Does a ball have a limit on its surface??Ikiwa hujui nini maana ya edge,...itabidi ujichekeshe
soma maana ya edge toka kwa wenye lugha yao kisha sema mpira una edge au hauna...........
edge
[ɛdʒ]
noun
- the outside limit of an object, area, or surface:
.....SIKU NYINGINE MSIRUDIE KUBISHA
Okay, mm Nina uwezo mdogo wa kufikria. Jibu swali ukizungusha kitu kwenye surface ya Mpira around, utafikia kikomo??Kutokana na uwezo wako wa kufikiri inabidi nitumie nguvu kukuelewesha,....haina jinsi.
Huelewi,...lengo langu ni kujitahidi kukuonyesha kwamba mpira ukijaza to the maximum that means the space occupied by the ball at its maximum will determine the edge/limits of the space occupied by it!So what is the outside limit of the ball? Does a ball have a limit on its surface??
Halafu Wala hujui kama umejichanganya kwenye hii definition yako,
Dfn inasema outside limit Sasa ww ulivyokuwa unatuambia mambo ya kujaza Mpira ukajaa hiyo ni outside limit ya Mpira kivp?😄