The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Najua ndio, mfano ukomo wako wa kuona umbali, au mfano Tanzania ina mipaka, tutembee kutoka mpaka wa tz/Kenya(Tanga) mpk mpaka wa tz/Uganda(Kagera) hapo utakuwa umefikia ukomo wa Tanzania ukiendelea maana yake unatoka kwenye nje ya mipaka ya nchi ya tzUnajua maana ya ukomo wa kitu?,,,,,isije ikawa hujui tunazungumzia nini hapa
Sasa wewe nambie hizo edges ulizoziona kwenye Mpira unazirelate vp na ujazo wa Mpira? Simple question