Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
aliposema flati hakumaanisha kama meza bali ni kama sahani flani hivi ila na ww nikuulize swali inakuwaje watu walio at north pole na at south pole wote wanakuwa ata same position kwamba wote wamesimama na wala sio kwamba eti mmoja wa north kichwa kitaaangalia juu na wa sourth kitaangalia chini
 
-ukiweka uzi huo uni tag
 
Mungu awasaidie tu.... yaani eti mpaka karne hii mtu anaamini dunia ni tambarare.... Tumieni common sense basi jamani. Mwangaza wa jua ni very powerful, unacover a very long distance, if the earth was all flat, tungekua sote tuna same nights and daytime. china kukiingia usiku basi na tanzania pia usiku kimasaa sawa na china. Halafu eti kuna kuta zimezunguka dunia izo za Antarctica sio? Ah jamani mnanivunja moyo bora nikae kimya tu.
 
Sisimizi akiikwea nazi au boga hakuna mahali huona amening'inia kichwa chini au kichwa juu.

Na sisi binadamu ni wadogo kwenye uso wa dunia kuliko visisimizi kwenye uso wa nazi, ni kama vumbi chini ya gari, usilitarajie kuanguka chini kwa kuwa liko anga za chini ya gari, bila kujali gari linajongea au limesimama.
 
Kweli wemtoa mada ni mwanasanaa haswaaaaa hata small particle ya usayansi hauna maskini pole namuhurumia aliekusomesha ukapate elimu kuondoa ujinga maana hikukusaidia.
 
Najua wameshakujibu. Siku ya pili kiliumbwa nini na nini
 
Hiyo mifano inafaa kutumiwa kwa watoto..... Labda nikuulize huyo ccmiz anapokuwa anakwea boga ama nazi kiasi cha kutokuona uduara, akiangua kichwa chini miguu juu nini kitatokea? Na wewe ukianguka hivyo nini kitatokea.
Kwanini mnabishana na elimu, kwani kujifunza gharama.?
 
Jamani jamani.... Kuna masuala hayahitaji kujua sana, coz hata mnaoupinga huu uzi kwa ushahidi wa maandishi, picha na video za hao wana science je ninyi kama ninyi mmewahi kuprove? Kiasi cha kutaka wanaousapoti huu uzi waprove.
Mmeambiwa ukiiona meli inaibuka chukua darubini tazama je hauioni yote?
Usiku na mchana unavyopatikana ipo video inayodemostrate hyo kitu au kwa nyongeza yangu kimfano. Chukulia saa ya mshale ndio uduara flat wa dunia, mshale wa saa ndio jua lenyewe. Je kale kamshale kakiwekewa katochi kwa chini kulingana na wembamba wake, kitamulika saa nzima au sehem tuu ya kitakapokuwepo?
Wwngi mnaobisha hamjataka kuushuhudia ushahidi wa hoja za flat earth maana humu kuna picha mpaka video.
Eti mnataka kueudishwa miaka ya kale kwani kipi mnachokijua kuhusu dunia duara kiasi muweze kujibu maswali yote yaihusuyo. Kwa mfano. Kwanini ndege hazitoki Joberg to Moscow direct bila kupitia anga la nchi nyingine za Africa.?
 
Hapo umeingiza concept nyingine laiti kama angeweza kujihoji huyo sisimizi na hata vumbi chini ya gari sasa je hebu ni proovie ni forces gani ambazo hufanya vumbi lisianguke chini
 
-mkuu hapa utatoa jasho jingi kwa kuwa watu wameshakariri majibu yao vichwani mwao kwa hiyo wanataka uwajibu kutokana na wao wanavyotaka
 
Karibu utaelewa.
Hapo umeingiza concept nyingine laiti kama angeweza kujihoji huyo sisimizi na hata vumbi chini ya gari sasa je hebu ni proovie ni forces gani ambazo hufanya vumbi lisianguke chini
 
-mkuu labda niongezee maneno ya van allen mwenyewe ili kuwapa mwanga wazito wa akili
"But, though mechanical and electronic equipment can
operate within the high radiation areas, a living organism
cannot survive this level of radiation damage. "
Dr.james van allen,space world,december 1961
 
Unadhani wanadanganya ili wapate nini?
Wamarekani, waingereza, wafaransa, wakanada na wataliano watudanganye sawa unadhani warusi, wachina na wakorea wangeendeleza uongo huo? Namaanisha "KIM JONG UN"

Hao sio ccm wewe.

Dunia ni duara.
 
Unadhani wanadanganya ili wapate nini?
Wamarekani, waingereza, wafaransa, wakanada na wataliano watudanganye sawa unadhani warusi, wachina na wakorea wangeendeleza uongo huo? Namaanisha "KIM JONG UN"

Hao sio ccm wewe.

Dunia ni duara.
Hapa hakuna aliyedanganya bali wapo waliopumbazwa.
Hao wote unaowasema wasingekubali kudanganywa... Wenyewe wana technologia gani nje ya vitabu vya mzungu.? Na hata taasisi inayopingana na ushahidi wa duniavduara yaani flat earth society... Ina watu wa mataifa mbali mbali wazungu wakiwa ni wengi.. So hata hao wazungu wanabishana ktk hili kulikp hata sisi.
Huwezi kupinga kitu kama hauna mbadala wake ndio maana watu wa flat earth wanajikita katika kupinga vile vinavyotoa ushahifi wa dunia mviringo.
Sasa na mimi najitolea
Weka ushahidi wako wa kwanini dunia duara nami nikupe wa dunia flat kwa ppint zako then mimi na wewe tutajua nani kadanganya.
Ila usome uzi kwanza.
 
Mkuu mambo mengi tu kuyaelewa ni ngumu sometime inabidi tuamini tunachofundishwa ambapo ni sawa na kushikilia mawazo ya mtu fulani hata kutafuta ukweli inakuwa very complicated thing, ni kama ilivo dini tumezaliwa tumekuta watu wanaabudu nasi tukaunga tela ni sawa na kusema tungekuta wanaabudu mawe bila shaka tungeunga koz hata bible au quran imeandikwa na mwanadamu na kunawanaopiga, tena bora haha hiyo dunia inaonekana unaweza kuamini uduara wake kama ilivo katka mwezi ambao unaonekana (full moon) ukiwa duara so ukiwa kwenye mwezi inawezekana hata dunia ikaonekana the same
 
mawazo yako yatakuwa approoved 3020 mkuu .
 
-mkuu wacha kamba nyingi si sayari zote zina atmosphere naona ume generalise
 
hahahahahahaaaaaaaa kwa kweli leo ndo nimejua kuwa duniani kuna ma dunya yaaani maswali yote uliyauliza yalishajibiwa kwenye post zilizopita sasaaa ngoja nikuulizw swali KAMA UMEKURUPUKIA POST YANINI KU-COMMENT ???????? UTAJIKUTA UNAAAIBIKA BUREEE SOMA POST ELEWA FUATILIA COMMENT ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…