Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
- labda nikurekebishe hakunaga space craft inayoenda vertically upward kwann?
images

frankfurt-am-main-25l-missed-approach.jpg

marakebisho hayaeleweki weka sawa
 
Nilikuwa koko beach, nikaona meli inaibuka kanakwamba inatoka bondeni wewe mleta mada unaweza kuniambia iliibuka kutokea ndani ya maji au kuna nadharia gani pale.

Dunia ingekuwa kama meza tungeviona visiwa vya zanzibar kwa maana vingekuwa altitude/level moja na Dar es salaam.

Kwa uongo unavyokukondesha huwezi kuweka mchoro unaoonyesha ni vipi jua hutiwa giza mchana kweupe (kupatwa kwa jua)

Mito yote humwaga maji baharini/ziwani, pana utambarale gani sasa hapo?
aliposema flati hakumaanisha kama meza bali ni kama sahani flani hivi ila na ww nikuulize swali inakuwaje watu walio at north pole na at south pole wote wanakuwa ata same position kwamba wote wamesimama na wala sio kwamba eti mmoja wa north kichwa kitaaangalia juu na wa sourth kitaangalia chini
 
Huu uzushi umejipatia umaarufu karne ya 19 baada ya kuzimwa na Galileo. Hivi karibuni wameupload maelfu ya video zao YouTube kama sehemu ya mission ya kutanua hii myth.
Wenda huko ndiko walipomuokotea mleta Mada.

Kuficha ujinga watasema kwenye kingo za hiyo disk kumezingirwa na barafu so mtu hawezi kwenda kuona huko wala hapafikiki wanasahau kitu kidogo tu ndege inayopaa anga za juu haiwi limited na hiyo structure. Kwa hiyo tungukuwa tumeshaona huo utupu.

Hiyo akili alikuwa nayo bushman katika Ile movie god must be crazy. Akawa anachukua chupa akaitupe kwenye ukingo wa disk dunia maana iliwaletea shida.

Huu ni ujima wa kiwango cha uprofessor. Wapeleke huko jukwaa la dini maana movement hii inajulikana na agenda yao inajulikana nitaweka thread oneday.
-ukiweka uzi huo uni tag
 
Mungu awasaidie tu.... yaani eti mpaka karne hii mtu anaamini dunia ni tambarare.... Tumieni common sense basi jamani. Mwangaza wa jua ni very powerful, unacover a very long distance, if the earth was all flat, tungekua sote tuna same nights and daytime. china kukiingia usiku basi na tanzania pia usiku kimasaa sawa na china. Halafu eti kuna kuta zimezunguka dunia izo za Antarctica sio? Ah jamani mnanivunja moyo bora nikae kimya tu.
 
aliposema flati hakumaanisha kama meza bali ni kama sahani flani hivi ila na ww nikuulize swali inakuwaje watu walio at north pole na at south pole wote wanakuwa ata same position kwamba wote wamesimama na wala sio kwamba eti mmoja wa north kichwa kitaaangalia juu na wa sourth kitaangalia chini
Sisimizi akiikwea nazi au boga hakuna mahali huona amening'inia kichwa chini au kichwa juu.

Na sisi binadamu ni wadogo kwenye uso wa dunia kuliko visisimizi kwenye uso wa nazi, ni kama vumbi chini ya gari, usilitarajie kuanguka chini kwa kuwa liko anga za chini ya gari, bila kujali gari linajongea au limesimama.
 
Kweli wemtoa mada ni mwanasanaa haswaaaaa hata small particle ya usayansi hauna maskini pole namuhurumia aliekusomesha ukapate elimu kuondoa ujinga maana hikukusaidia.
 
Kuna hii mada inasema Quran and BILBLE in the light of morden science bible inaonekana imefel sana kwenye scientific fact kuna theory tu ndio zimejaa ikiwemo hii ya dunia kuwa flat au mwez kuwa unawaka kwa mwanga wake wenyewe ukiangalia kwemye siku sita za uumbaji inasema iliumbwa miti na mimea kabla ya jua kisayans mimea haiwez kusurvive bila jua zipo nyingi hiiada ni katika juhud za kutaka kuprove kuwa dunia ni flat kama ilivyo kwenye bible ndio maana karud kule kule kwenye genesis ambayo kiasili ni theory za wagiriki..!..na ishu hii ilianzia America.!
Najua wameshakujibu. Siku ya pili kiliumbwa nini na nini
 
Sisimizi akiikwea nazi au boga hakuna mahali huona amening'inia kichwa chini au kichwa juu.

Na sisi binadamu ni wadogo kwenye uso wa dunia kuliko visisimizi kwenye uso wa nazi, ni kama vumbi chini ya gari, usilitarajie kuanguka chini kwa kuwa liko anga za chini ya gari, bila kujali gari linajongea au limesimama.
Hiyo mifano inafaa kutumiwa kwa watoto..... Labda nikuulize huyo ccmiz anapokuwa anakwea boga ama nazi kiasi cha kutokuona uduara, akiangua kichwa chini miguu juu nini kitatokea? Na wewe ukianguka hivyo nini kitatokea.
Kwanini mnabishana na elimu, kwani kujifunza gharama.?
 
Jamani jamani.... Kuna masuala hayahitaji kujua sana, coz hata mnaoupinga huu uzi kwa ushahidi wa maandishi, picha na video za hao wana science je ninyi kama ninyi mmewahi kuprove? Kiasi cha kutaka wanaousapoti huu uzi waprove.
Mmeambiwa ukiiona meli inaibuka chukua darubini tazama je hauioni yote?
Usiku na mchana unavyopatikana ipo video inayodemostrate hyo kitu au kwa nyongeza yangu kimfano. Chukulia saa ya mshale ndio uduara flat wa dunia, mshale wa saa ndio jua lenyewe. Je kale kamshale kakiwekewa katochi kwa chini kulingana na wembamba wake, kitamulika saa nzima au sehem tuu ya kitakapokuwepo?
Wwngi mnaobisha hamjataka kuushuhudia ushahidi wa hoja za flat earth maana humu kuna picha mpaka video.
Eti mnataka kueudishwa miaka ya kale kwani kipi mnachokijua kuhusu dunia duara kiasi muweze kujibu maswali yote yaihusuyo. Kwa mfano. Kwanini ndege hazitoki Joberg to Moscow direct bila kupitia anga la nchi nyingine za Africa.?
 
Sisimizi akiikwea nazi au boga hakuna mahali huona amening'inia kichwa chini au kichwa juu.

Na sisi binadamu ni wadogo kwenye uso wa dunia kuliko visisimizi kwenye uso wa nazi, ni kama vumbi chini ya gari, usilitarajie kuanguka chini kwa kuwa liko anga za chini ya gari, bila kujali gari linajongea au limesimama.
Hapo umeingiza concept nyingine laiti kama angeweza kujihoji huyo sisimizi na hata vumbi chini ya gari sasa je hebu ni proovie ni forces gani ambazo hufanya vumbi lisianguke chini
 
Jamani jamani.... Kuna masuala hayahitaji kujua sana, coz hata mnaoupinga huu uzi kwa ushahidi wa maandishi, picha na video za hao wana science je ninyi kama ninyi mmewahi kuprove? Kiasi cha kutaka wanaousapoti huu uzi waprove.
Mmeambiwa ukiiona meli inaibuka chukua darubini tazama je hauioni yote?
Usiku na mchana unavyopatikana ipo video inayodemostrate hyo kitu au kwa nyongeza yangu kimfano. Chukulia saa ya mshale ndio uduara flat wa dunia, mshale wa saa ndio jua lenyewe. Je kale kamshale kakiwekewa katochi kwa chini kulingana na wembamba wake, kitamulika saa nzima au sehem tuu ya kitakapokuwepo?
Wwngi mnaobisha hamjataka kuushuhudia ushahidi wa hoja za flat earth maana humu kuna picha mpaka video.
Eti mnataka kueudishwa miaka ya kale kwani kipi mnachokijua kuhusu dunia duara kiasi muweze kujibu maswali yote yaihusuyo. Kwa mfano. Kwanini ndege hazitoki Joberg to Moscow direct bila kupitia anga la nchi nyingine za Africa.?
-mkuu hapa utatoa jasho jingi kwa kuwa watu wameshakariri majibu yao vichwani mwao kwa hiyo wanataka uwajibu kutokana na wao wanavyotaka
 
Karibu utaelewa.
Hapo umeingiza concept nyingine laiti kama angeweza kujihoji huyo sisimizi na hata vumbi chini ya gari sasa je hebu ni proovie ni forces gani ambazo hufanya vumbi lisianguke chini
 
tatizo lako pia hujafatilia hakuna ndege wala kifaa chochote kilichowahi kupita VAN ALLEN BELT ,, nadhani hili ni jibu tosha lakin watu bado hawaelewi ,,,, na hakuna ndege wala kifaa chochote kilichowahi kupita juu ya antartika kwasababu haiwezekani.....fatilia kwanza unatudanganya hapo kuhusu GALLILEO GALLILEI YEYE NDO ALIULETA MFUMO WA SPHERICAL EARTH ,,,FATILIA MAMBO ACHA KUDANGANYA WATU
-mkuu labda niongezee maneno ya van allen mwenyewe ili kuwapa mwanga wazito wa akili
"But, though mechanical and electronic equipment can
operate within the high radiation areas, a living organism
cannot survive this level of radiation damage. "
Dr.james van allen,space world,december 1961
 
Unadhani wanadanganya ili wapate nini?
Wamarekani, waingereza, wafaransa, wakanada na wataliano watudanganye sawa unadhani warusi, wachina na wakorea wangeendeleza uongo huo? Namaanisha "KIM JONG UN"

Hao sio ccm wewe.

Dunia ni duara.
 
Hapa hakuna aliyedanganya bali wapo waliopumbazwa.
Hao wote unaowasema wasingekubali kudanganywa... Wenyewe wana technologia gani nje ya vitabu vya mzungu.? Na hata taasisi inayopingana na ushahidi wa duniavduara yaani flat earth society... Ina watu wa mataifa mbali mbali wazungu wakiwa ni wengi.. So hata hao wazungu wanabishana ktk hili kulikp hata sisi.
Huwezi kupinga kitu kama hauna mbadala wake ndio maana watu wa flat earth wanajikita katika kupinga vile vinavyotoa ushahifi wa dunia mviringo.
Sasa na mimi najitolea
Weka ushahidi wako wa kwanini dunia duara nami nikupe wa dunia flat kwa ppint zako then mimi na wewe tutajua nani kadanganya.
Ila usome uzi kwanza.
 
Mkuu mambo mengi tu kuyaelewa ni ngumu sometime inabidi tuamini tunachofundishwa ambapo ni sawa na kushikilia mawazo ya mtu fulani hata kutafuta ukweli inakuwa very complicated thing, ni kama ilivo dini tumezaliwa tumekuta watu wanaabudu nasi tukaunga tela ni sawa na kusema tungekuta wanaabudu mawe bila shaka tungeunga koz hata bible au quran imeandikwa na mwanadamu na kunawanaopiga, tena bora haha hiyo dunia inaonekana unaweza kuamini uduara wake kama ilivo katka mwezi ambao unaonekana (full moon) ukiwa duara so ukiwa kwenye mwezi inawezekana hata dunia ikaonekana the same
 
Yote ni kampeni ya kututawala kifikra,
ikianzia na kuziacha fikra zetu njia panda.

Ili kupunguza uwezo na kasi ya fikra zetu. Kwa maana ya muda mwingine kutuogofya kwa kile tunacho fikiria.

Siku ambayo tutajua ukweli ndio siku yao ya mwisho kututawala, japo ni kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa, kwa sababu ya teknolojia.

Cha msingi ni sisi kuwekeza katika teknolojia na kuvipa vipaji vipya, muongozo wa Elimu mzuri kama Nchi.

Bila ya kusahau mila na desturi za kwetu, kama nembo yetu kuu na njia yetu kuu.
mawazo yako yatakuwa approoved 3020 mkuu .
 
Dunia ni tufe kama ilivyo sayari zote kila sayari ina anga lake lililo izunguka (atmosphere). Ambalo sayari ikiwa inazunguka na kujizunguka inazunguka na kuzunguka na anga lake.
Kwa dunia ndiyo hivyo atmoshphere imezunguka dunia ikiwa inazunguka jua na kujizungusha kwenye muhimili wake inaenda nalo sambamba
Halafu mbona hujanijibu kama dunia hailei imejishikiliwa na nini?
-mkuu wacha kamba nyingi si sayari zote zina atmosphere naona ume generalise
 
Wewe mwenyewe ni mtumwa wa fikira unawezaje kuwaponda wazungu, umejitahidi kutetea hoja yako lakini uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana unachanganya lugha hata isipotakiiwa moja kwa moja inaonyesha umbumbumbu wako.

1.Kama Dunia haizunguki ipo tambarare ni nn kinasababisha majira kutofautiana ktk msimu wa Mwaka?

2.Umewahi kusafiri na ndege kutoka mashariki kwenda kasikazini labda Tanzania- Misiri Ethiopia au popote ukautumia mda huo kujifunza?

3.Kwanini usiku na mchana unatokea kwenye Dunia tambarale inakuwaje?

4.Kama Dunia tambarale Mwezi una unajificha wapi kipindi unacho kuwa hauonekani?
hahahahahahaaaaaaaa kwa kweli leo ndo nimejua kuwa duniani kuna ma dunya yaaani maswali yote uliyauliza yalishajibiwa kwenye post zilizopita sasaaa ngoja nikuulizw swali KAMA UMEKURUPUKIA POST YANINI KU-COMMENT ???????? UTAJIKUTA UNAAAIBIKA BUREEE SOMA POST ELEWA FUATILIA COMMENT ACHA KUDANDIA TRENI KWA MBELE
 
Back
Top Bottom