Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Huyo jamaa amekumbatia upumbavu namletea picha na video aje tena aseme hamna mantiki..Hahahaa, sijui Dunia ikiwa flat unapata zawadi Gani kiasi kwamba unakuwa hivi? Swali halina mantiki Kwa sababu zipi?
Haya sasa twende huu ndio ndio utumbo wenu mliotuchoreaSwali lako halina mantiki,. Ndiyo maana nimeliacha.
Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.Kwahy unakubali hiyo object itarudi chini Kwa sabab Kuna force inayoifanya hiyo object irudi chini ambayo ni downward force?
Uzito wangu ambao ni mkubwa kuliko hewa?
Unaongelea density au? Kama ni density unarudi pale pale maana hata juu, pembeni(kulia na kushoto) pia Kuna hewa ambayo inadensity ndogo kuliko ww au nakosea?
Kama ni uzito in terms of kg, how do you know uzito wa hewa mpk useme uzito wangu ni mkubwa kuliko wa hewa?
Bado sioni hoja yako hasa ni ipi,..Haya sasa twende huu ndio ndio utumbo wenu mliotuchorea
Kutokana na huo utumbo hapo juu njoo
Njoo ueleze hili (hii sio theory ni practical ) waweza kuona hata kwa macho
View attachment 3185793
View attachment 3185794
Na link ya video hii hapa
Video
Njoo utoe maelezo mzee
Unaelewa unachoandika kweli? Umesema hiviπHapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Sasa kama umesema hakuna force ya kukufanya uende either juu au pembeni(left or right), na umesemaπUnarudi chini kwasababu ili ugande/uelee on air utahitaji mechanism ya kukusaidia kufanya hivyo,. La sivyo lazima urudi chini, cause:-
1. Force ya kukufanya uende juu = 0
2. Force ya kukufanya uende kushoto = 0
3. Force ya kukufanya uende kulia = 0
Kwahy unamaanisha hakuna force yoyote in all sides surrounding that object? Yaani force zote ni 0, iwe juu, chini, kulia au kushoto mwa hiyo object. Sasa ni nini kinafanya kitu kishuke kama force zote ni zero??Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Nimekuuliza unaongelea uzito in terms of KG au unaongelea density??Unaweza uka observe na kujua kama uzito wako ni mkubwa kuliko hewa ,. cause kwa mfano chukua karatasi na jiwe rusha kwa pamoja kisha sema kipi kitaanguka chini haraka zaidi.
Huu mfano wako wa ajabu, Sasa kupitia huo mfano utajuaje uzito wa hewa? Maana hapa tunaongelea uzito wa wa hewa na object. Labda kama unamaanisha density sawa.cause kwa mfano chukua karatasi na jiwe rusha kwa pamoja kisha sema kipi kitaanguka chini haraka zaidi.
Kwahy Kwa maana yako unasema chenye uzito mkubwa kitashuka chini chenye uzito mdogo kitaelea, je Kwa mfano huu unaona upo sawa?..Hence,...utakuwa umebaki uzito wako tu ambao ni mkubwa kuliko hewa iliyopo chini,..so utaanguka,.
Nikurahisishie zaidi Kwa maelezo mafupi tu.Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Hahahaaaa, eti absence of force!! Sasa kukosekana Kwa force ndo kunafanya kitu kimove? Au kitu kinamove kukiwa na force???Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction
Kinachofanya object ishuke ni uzito wake!Sasa kama umesema hakuna force ya kukufanya uende either juu au pembeni(left or right), na umesemaπ
Kwahy unamaanisha hakuna force yoyote in all sides surrounding that object? Yaani force zote ni 0, iwe juu, chini, kulia au kushoto mwa hiyo object. Sasa ni nini kinafanya kitu kishuke kama force zote ni zero??
"Uzito wake" upo sawa kabisa π, na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravityπ. Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?Kinachofanya object ishuke ni uzito wake!
Na sio kwamba kuna force inayovuta vitu chini,..
Hapa ndiyo umekuja pazuri sasa,... Kumbe uzito wa kitu ndiyo mmeubatiza Jina na kuuita gravity,... Ndiyo maana nikakuambia hakuna hiyo force inayovuta vitu chini kama unavyoamini,.. bali uzito wa kitu ndiyo unafanya hicho kitu kishuke chini., kwa mfano chukua package ya sukari kg 10 na Kg 25 kisha kwa pamoja beba kwa mkono wa kulia na kushoto respectively,...kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini?..........kwamba hiyo force inayovuta vitu chini inaweza kuvuta kitu kizito kwa haraka zaidi kuliko inavyoweza kuvuta kitu chepesi?"Uzito wake" upo sawa kabisa π, na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravityπ. Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?
We ni mpumbavuBado sioni hoja yako hasa ni ipi,..
Wenzako wameshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,... Wanakutegemea uwasaidie, fanya hivyo sasa.
Sawa vizuri,..We ni mpumbavu
Unamaanisha hata unapokua kwenye usafiri wa anga ( ndege )Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.
Kwa mfano,..kama hutaki kukubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza it just moves further away from your sight,..unataka nitumie mbinu gani tena uamini?
Unasema unataka video uthibitishe kwamba Dunia ni flat na Imetulia,...hivyo vitu viwili vipo observed tayari kwa macho na hisia, wewe unaesema vice versa of what we observe ndiyo mwenye jukumu la kuleta uthibitisho wa video,..kama huna basi unategemea utaaminika vipi?
πππππππππππππkisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini
And BTW unaposema uzito unamaanisha nini? Maana nimekuuliza hujajibu. Uzito in Kg? Or weight? If uzito as Mass, is mass a scalar quantity or vector quantity?Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?
Basi jibu swali kwann huo uzito unaelekea chini tu na sio pande zingne????????Mimi ninavyoona ili kuifanya gravity atleast iwe ina make sense,..ndiyo mmeamua kuingizia kwamba gravity ni jina lingine la uzito..... Unasahau kwamba uzito na force ni vitu viwili tofauti although kwa pamoja zinaweza kutumika kuelezea scenarios tofauti tofauti.
Jibu nimeshakupa hapo juu, πkwa mfano chukua package ya sukari kg 10 na Kg 25 kisha kwa pamoja beba kwa mkono wa kulia na kushoto respectively,...kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini?..
Kwahy chenye mass Kubwa kitavutwa Kwa force Kubwa kuliko chenye mass ndogo. Najua ubongo wako ni mdogo kuelewa ila usijali nipo hapa Kwa ajili yako."Objects with greater mass exert a stronger gravitational pull."
Unaona sasaπ, usijali. Nitakupa mfano wa sumaku, si inatabia ya kuvuka material ya chuma?...kwamba hiyo force inayovuta vitu chini inaweza kuvuta kitu kizito kwa haraka zaidi kuliko inavyoweza kuvuta kitu chepesi?
Mfano wako sio relevant na mada husika,.. Dunia umeshindwa kuthibitisha kwamba Ina move,...ila Ndege unaweza ukathibitisha kwa njia nyingi tu.Unamaanisha hata unapokua kwenye usafiri wa anga ( ndege )
Kwakua ukiwa mle ndani huoni movement yoyote ya ndege wala kuihisi speed yake tena kali basi majibu yako yatakua ni haitembei ?
Nijibu hili swali tafadhali
Wewe ushasema gravity ni Jina lingine la uzito,... Sasa hizo nyingine ni story tu.πππππππππππππ
"Objects with greater mass exert a stronger gravitational pull."
Fg=Mass *accelaration due to gravity(9.8)
So Fg is directly proportional to the mass of a bodyπ.
Maelezo mengiiii ila hujajibu swali langu dogo tuπ
And BTW unaposema uzito unamaanisha nini? Maana nimekuuliza hujajibu. Uzito in Kg? Or weight? If uzito as Mass, is mass a scalar quantity or vector quantity?
Basi jibu swali kwann huo uzito unaelekea chini tu na sio pande zingne????????
Leo nataka nikutoe Ujinga kichwani mwako.....
Nimekuuliza swali dogo naona hukijibuπ, uzito unaongelea ww ni mass in kg au ni weight? Ukijibu hili nadhani utapata mwanga.Wewe ushasema gravity ni Jina lingine la uzito,... Sasa hizo nyingine ni story tu.
Kitakuwa na uvuto mkubwa kulinganisha na chenye uzito mdogo ila vyote vita accelerate at the same speed, 9.81m/s per second. Mbona uelewa mdogo tu.Kitu chenye uzito mkubwa kitaanguka kwa nguvu kubwa na haraka zaidi compared na kitu chenye uzito mdogo,.. over.
Sasa ww unadhani formula zinatokana na nn? Si ni expression ya nilivyovielezea tu au ndugu yangu ww unaelewa nn? Nisije kuwa naelewesha NDEZI hapa.Kukariri formula hakufanyi madai yako yawe sahihi,.