Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.
Kwa mfano,..kama hutaki kukubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza it just moves further away from your sight,..unataka nitumie mbinu gani tena uamini?
Unasema unataka video uthibitishe kwamba Dunia ni flat na Imetulia,...hivyo vitu viwili vipo observed tayari kwa macho na hisia, wewe unaesema vice versa of what we observe ndiyo mwenye jukumu la kuleta uthibitisho wa video,..kama huna basi unategemea utaaminika vipi?