Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Swali lako halina mantiki,. Ndiyo maana nimeliacha.
Haya sasa twende huu ndio ndio utumbo wenu mliotuchorea
screenshot_20241226-202304-jpg.3185791

Kutokana na huo utumbo hapo juu njoo
Njoo ueleze hili (hii sio theory ni practical ) waweza kuona hata kwa macho
257_WG-SS-02-1.jpg

Recorrido-del-Sol-en-el-cielo.png

Na link ya video hii hapa
Video
Njoo utoe maelezo mzee
 
Attachments

  • Screenshot_20241226-202304.jpg
    Screenshot_20241226-202304.jpg
    251.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241226-202304.jpg
    Screenshot_20241226-202304.jpg
    251.6 KB · Views: 9
Kwahy unakubali hiyo object itarudi chini Kwa sabab Kuna force inayoifanya hiyo object irudi chini ambayo ni downward force?
Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Uzito wangu ambao ni mkubwa kuliko hewa?
Unaongelea density au? Kama ni density unarudi pale pale maana hata juu, pembeni(kulia na kushoto) pia Kuna hewa ambayo inadensity ndogo kuliko ww au nakosea?

Kama ni uzito in terms of kg, how do you know uzito wa hewa mpk useme uzito wangu ni mkubwa kuliko wa hewa?

Unaweza uka observe na kujua kama uzito wako ni mkubwa kuliko hewa ,. cause kwa mfano chukua karatasi na jiwe rusha kwa pamoja kisha sema kipi kitaanguka chini haraka zaidi.
 
Haya sasa twende huu ndio ndio utumbo wenu mliotuchorea
screenshot_20241226-202304-jpg.3185791

Kutokana na huo utumbo hapo juu njoo
Njoo ueleze hili (hii sio theory ni practical ) waweza kuona hata kwa macho
View attachment 3185793
View attachment 3185794

Na link ya video hii hapa
Video
Njoo utoe maelezo mzee
Bado sioni hoja yako hasa ni ipi,..

Wenzako wameshindwa kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,... Wanakutegemea uwasaidie, fanya hivyo sasa.
 
Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Unaelewa unachoandika kweli? Umesema hivi👇
Unarudi chini kwasababu ili ugande/uelee on air utahitaji mechanism ya kukusaidia kufanya hivyo,. La sivyo lazima urudi chini, cause:-
1. Force ya kukufanya uende juu = 0
2. Force ya kukufanya uende kushoto = 0
3. Force ya kukufanya uende kulia = 0
Sasa kama umesema hakuna force ya kukufanya uende either juu au pembeni(left or right), na umesema👇
Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Kwahy unamaanisha hakuna force yoyote in all sides surrounding that object? Yaani force zote ni 0, iwe juu, chini, kulia au kushoto mwa hiyo object. Sasa ni nini kinafanya kitu kishuke kama force zote ni zero??
Unaweza uka observe na kujua kama uzito wako ni mkubwa kuliko hewa ,. cause kwa mfano chukua karatasi na jiwe rusha kwa pamoja kisha sema kipi kitaanguka chini haraka zaidi.
Nimekuuliza unaongelea uzito in terms of KG au unaongelea density??

cause kwa mfano chukua karatasi na jiwe rusha kwa pamoja kisha sema kipi kitaanguka chini haraka zaidi.
Huu mfano wako wa ajabu, Sasa kupitia huo mfano utajuaje uzito wa hewa? Maana hapa tunaongelea uzito wa wa hewa na object. Labda kama unamaanisha density sawa.

Kama unamaanisha uzito in Kg, hapa umepuyanga. Why?

Mfano chukua maji litre 20, ambayo ni sawa 20kg, then chukua Tanzanian shilling 200, ambayo uzito wake ni 8g iweke kwenye maji. Je shilling itaelea?? Kwasababu umesema 👇👇
Hence,...utakuwa umebaki uzito wako tu ambao ni mkubwa kuliko hewa iliyopo chini,..so utaanguka,.
Kwahy Kwa maana yako unasema chenye uzito mkubwa kitashuka chini chenye uzito mdogo kitaelea, je Kwa mfano huu unaona upo sawa?..
 
Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction na mechanism ya kufanya object hiyo ielee kwenye anga,.... Na sio kwamba kuna force inayovuta hiyo object chini. Hiyo force hakuna.
Nikurahisishie zaidi Kwa maelezo mafupi tu.

1. Object ipo surrounded na air all the sides. So pande zote zina haki sawa Kwa abject kumove huko(Same density 1.2kg/m³). RIGHT??

2. Umesema hakuna force inayo-act kwenye hiyo object, Kwa maana ya juu chini na pembeni(left or right).RIGHT?

3. a)So resultant force is actually Zero(0). So there is ni any force acting on that body and according to Newton's first law of motion "An object at rest remains at rest, or if in motion, remains in motion at a constant velocity unless acted on by a net external force" .

3. b) kwahy tuna-expect hiyo object i-remain at rest. RIGHT? Sasa kwann unaanguka chini(downward)??? Hapo ndo Kuna swali.
 
Hapana,.. kinachofanya object irudi chini ni absence of force itakayofanya object kwenda in either direction
Hahahaaaa, eti absence of force!! Sasa kukosekana Kwa force ndo kunafanya kitu kimove? Au kitu kinamove kukiwa na force???
 
Sasa kama umesema hakuna force ya kukufanya uende either juu au pembeni(left or right), na umesema👇

Kwahy unamaanisha hakuna force yoyote in all sides surrounding that object? Yaani force zote ni 0, iwe juu, chini, kulia au kushoto mwa hiyo object. Sasa ni nini kinafanya kitu kishuke kama force zote ni zero??
Kinachofanya object ishuke ni uzito wake!

Na sio kwamba kuna force inayovuta vitu chini,..
 
Kinachofanya object ishuke ni uzito wake!

Na sio kwamba kuna force inayovuta vitu chini,..
"Uzito wake" upo sawa kabisa 👍, na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity😀. Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?
 
"Uzito wake" upo sawa kabisa 👍, na nimeshakwambia uzito(weight) ni jina lingine la gravity😀. Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?
Hapa ndiyo umekuja pazuri sasa,... Kumbe uzito wa kitu ndiyo mmeubatiza Jina na kuuita gravity,... Ndiyo maana nikakuambia hakuna hiyo force inayovuta vitu chini kama unavyoamini,.. bali uzito wa kitu ndiyo unafanya hicho kitu kishuke chini., kwa mfano chukua package ya sukari kg 10 na Kg 25 kisha kwa pamoja beba kwa mkono wa kulia na kushoto respectively,...kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini?..........kwamba hiyo force inayovuta vitu chini inaweza kuvuta kitu kizito kwa haraka zaidi kuliko inavyoweza kuvuta kitu chepesi?

Wewe ukiambiwa uvute kitu chepesi na kitu kizito, kipi utakivuta kwa haraka zaidi?

Mimi ninavyoona ili kuifanya gravity atleast iwe ina make sense,..ndiyo mmeamua kuingizia kwamba gravity ni jina lingine la uzito..... Unasahau kwamba uzito na force ni vitu viwili tofauti although kwa pamoja zinaweza kutumika kuelezea scenarios tofauti tofauti.
 
Swala la gravity, swala la sunset au sunrise vyote nilikujibu,..kukubaliana na majibu ni maamuzi yako.

Kwa mfano,..kama hutaki kukubali kwamba technically Jua halizami wala kuchomoza it just moves further away from your sight,..unataka nitumie mbinu gani tena uamini?

Unasema unataka video uthibitishe kwamba Dunia ni flat na Imetulia,...hivyo vitu viwili vipo observed tayari kwa macho na hisia, wewe unaesema vice versa of what we observe ndiyo mwenye jukumu la kuleta uthibitisho wa video,..kama huna basi unategemea utaaminika vipi?
Unamaanisha hata unapokua kwenye usafiri wa anga ( ndege )
Kwakua ukiwa mle ndani huoni movement yoyote ya ndege wala kuihisi speed yake tena kali basi majibu yako yatakua ni haitembei ?

Nijibu hili swali tafadhali
 
kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

"Objects with greater mass exert a stronger gravitational pull."

Fg=Mass *accelaration due to gravity(9.8)
So Fg is directly proportional to the mass of a body😉.

Maelezo mengiiii ila hujajibu swali langu dogo tu👇
Kama unabisha nambie kwann huo uzito una-act chini tu?? Na sio othersides?
And BTW unaposema uzito unamaanisha nini? Maana nimekuuliza hujajibu. Uzito in Kg? Or weight? If uzito as Mass, is mass a scalar quantity or vector quantity?

Mimi ninavyoona ili kuifanya gravity atleast iwe ina make sense,..ndiyo mmeamua kuingizia kwamba gravity ni jina lingine la uzito..... Unasahau kwamba uzito na force ni vitu viwili tofauti although kwa pamoja zinaweza kutumika kuelezea scenarios tofauti tofauti.
Basi jibu swali kwann huo uzito unaelekea chini tu na sio pande zingne????????

Leo nataka nikutoe Ujinga kichwani mwako.....
 
hateeb10
OKAAAAY, nimeelewa tatizo lako,, unachanganya acceleration due to gravity na gravitational force😀. Haina shida Leo utanielewa tu vizuri.

Acceleration due to Gravity(g): The acceleration an object experiences due to the force of gravity. On Earth, this is approximately 9.8 m/s² (often denoted as g). This means that for every second an object falls freely, its downward velocity increases by 9.8 meters per second.

Gravitational force: The fundamental force of attraction that exists between any two objects with mass. The more massive the objects, the stronger the force. The closer the objects, the stronger the force.

Mass: Mass is a measure of the amount of matter in an object. It's a fundamental property of an object that doesn't change unless you physically add or remove matter.

Weight: Weight is the force of gravity acting on an object's mass. It's the force that pulls an object towards the center of a celestial body, like Earth.
 
kwa mfano chukua package ya sukari kg 10 na Kg 25 kisha kwa pamoja beba kwa mkono wa kulia na kushoto respectively,...kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini?..
Jibu nimeshakupa hapo juu, 👇
"Objects with greater mass exert a stronger gravitational pull."
Kwahy chenye mass Kubwa kitavutwa Kwa force Kubwa kuliko chenye mass ndogo. Najua ubongo wako ni mdogo kuelewa ila usijali nipo hapa Kwa ajili yako.
...kwamba hiyo force inayovuta vitu chini inaweza kuvuta kitu kizito kwa haraka zaidi kuliko inavyoweza kuvuta kitu chepesi?
Unaona sasa😀, usijali. Nitakupa mfano wa sumaku, si inatabia ya kuvuka material ya chuma?

Sasa chukua kitu(objects) ziwe mbili zenye the same materials, let's say chuma. Assume ziwe Cube, Moja iwe na uzito 1kg na nyingne iwe 0.15kg je ni chuma ipi itavutwa Kwa nguvu Kubwa na sumaku?

Ukielewa huu mfano sizani kama utauliza tena hili swali lako.🙏
 
Unamaanisha hata unapokua kwenye usafiri wa anga ( ndege )
Kwakua ukiwa mle ndani huoni movement yoyote ya ndege wala kuihisi speed yake tena kali basi majibu yako yatakua ni haitembei ?

Nijibu hili swali tafadhali
Mfano wako sio relevant na mada husika,.. Dunia umeshindwa kuthibitisha kwamba Ina move,...ila Ndege unaweza ukathibitisha kwa njia nyingi tu.

Thibitisha tu kwamba Dunia inazunguka,... usifananishe Dunia na vitu ambavyo haifanani navyo.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

"Objects with greater mass exert a stronger gravitational pull."

Fg=Mass *accelaration due to gravity(9.8)
So Fg is directly proportional to the mass of a body😉.

Maelezo mengiiii ila hujajibu swali langu dogo tu👇

And BTW unaposema uzito unamaanisha nini? Maana nimekuuliza hujajibu. Uzito in Kg? Or weight? If uzito as Mass, is mass a scalar quantity or vector quantity?

Basi jibu swali kwann huo uzito unaelekea chini tu na sio pande zingne????????

Leo nataka nikutoe Ujinga kichwani mwako.....
Wewe ushasema gravity ni Jina lingine la uzito,... Sasa hizo nyingine ni story tu.

Kitu chenye uzito mkubwa kitaanguka kwa nguvu kubwa na haraka zaidi compared na kitu chenye uzito mdogo,.. over.

Kukariri formula hakufanyi madai yako yawe sahihi,.
 
Unaambiwa chanzo cha gravity ni uzito wa vitu,... that means kama uzito usipokuepo na gravity inakua hakuna,.....

kama una akili hii ingetosha kuhitimisha kwamba the so called gravity is just an A.K.A of Uzito!!!

The celebrity
 
Wewe ushasema gravity ni Jina lingine la uzito,... Sasa hizo nyingine ni story tu.
Nimekuuliza swali dogo naona hukijibu😀, uzito unaongelea ww ni mass in kg au ni weight? Ukijibu hili nadhani utapata mwanga.
Na kama ni mass(Kg) je mass ni vector quantity au scalar quantity? Nadhani unaanza kupata picha.
Kitu chenye uzito mkubwa kitaanguka kwa nguvu kubwa na haraka zaidi compared na kitu chenye uzito mdogo,.. over.
Kitakuwa na uvuto mkubwa kulinganisha na chenye uzito mdogo ila vyote vita accelerate at the same speed, 9.81m/s per second. Mbona uelewa mdogo tu.
Kukariri formula hakufanyi madai yako yawe sahihi,.
Sasa ww unadhani formula zinatokana na nn? Si ni expression ya nilivyovielezea tu au ndugu yangu ww unaelewa nn? Nisije kuwa naelewesha NDEZI hapa.
 
Back
Top Bottom