j_h_kirigini
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 138
- 61
Tatizo uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe ๐ na Inazunguka huna,..hizo ulizoweka hapo ni siasa tu,.
Thibitisha Dunia ni tufe na inazunguka.
Niliuliza hapa kwamba,...kama tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,...umejuaje kama gravity Ipo?
Mpaka sasa hakuna jibu,.
The celebrity Chosen Rich
Swali gani hilo,..itakua nishajibu labda hujaona tu.Kuna swali nlikua nasubiri utoe majibu naona kama kawaida yako umekwepa
Wewe Sayansi unaijua,...mbona kuthibitisha kwamba Dunia ni tufe ๐ na inazunguka huwezi?Sayansi pekee ndio inaweza kukupa majibu lakini hujui hiyo sayansi, utaelewaje?
Siku mkiweza kuthibitisha mjadala utaishia hapo,.. Unajua ni kweli watu wengi wanakubaliana na theory kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,.. Tatizo hakuna uthibitisho na unajua kwamba kitu kikiwa cha uongo hata kikiaminiwa na watu Billions haifanyi hicho kitu kiwe kweli.......uthibitisho ndiyo dawa ya mjadala huu.We jamaa ukishiba tu ๐.. tuache sisi wenye njaa hatuna nguvu ya kujadili.
Mpaka hapa unadhihirisha ukilaza wako, kwamba kutembea hakusaidiwi na friction force?? Sasa katembee kwenye tope tuone kama hauta slide.Movement ya Binadamu haisaidiwi na friction force,.. atleast useme movement ya Binadamu inakua supported na ground ambayo Binadamu yupo in contact with kwa kuwa ana walk over it,....
Mbona Bado huelewi? Nimekwambia nipe mfano wa internal force inavyoweza kusababisha hicho kitu(kilichozalisha internal force) kitembee au kimove chenyewe na sio internal force isababishe external environment au vitu vingne kumove.Tukirudi kwenye mada,..zipo Internal forces ambazo zinaweza kuathiri external environment,.... Miongoni mwa mifano niliyotoa ni EARTHQUAKE,...Je, Earthquake haitokani na Internal forces, Je haina athari yoyote kwa external environment?
Sasa mbona hueleweki??? Jibu ni density au weight????Sasa usichoelewa kipi hapo,.. Density sio miongoni mwa determinants za kitu ku fall/stay in the air?
Au what's wrong with density?
Nimekujibu zamani sana๐Niliuliza hapa kwamba,...kama tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,...umejuaje kama gravity Ipo?
Mpaka sasa hakuna jibu,.
The celebrity Chosen Rich
Kama huelewi haya majibu usijali nipo kwaajili yako.Hakuna kitu kinachoweza kumove kutoka sehem Moja kwenda nyingne kama hakuna force(either pulling force or pushing force).
Uthibitisho umeshapewa, ila shida yako naijua, hujui physics, yaani ww ni mweupe ndo maana nadeal naww Kwa vitu vidogo vidogo kwanza kama FORCE maana hapa ndo Kuna tatizo Kubwa. Ila usijali ntakufundisha utaelewa.Siku mkiweza kuthibitisha mjadala utaishia hapo,.. Unajua ni kweli watu wengi wanakubaliana na theory kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,.. Tatizo hakuna uthibitisho na unajua kwamba kitu kikiwa cha uongo hata kikiaminiwa na watu Billions haifanyi hicho kitu kiwe kweli.......uthibitisho ndiyo dawa ya mjadala huu.
hateeb10So., unataka ujue object ambayo mnadai ipo Miles 93 million ina move vipi?
Unazijua 93 Million miles?
๐๐ Hizi ndio akili za flat Earthers๐๐.Embu wewe tuambie ndugu, tuelezee curvature vizuri, kwanini tukiwa angani hatuoni Dunia ikispin, kwanini pilots wote wanatumia flat earth map na sio globe??. Tuanzie hapa kwanza
Kama akili ndo hizi, sasa kama refraction inafanya kitu kionekane kikubwa sasa kwann Jua linapotea? Wakat tunatarajia tuendelee kuliona Kwa ukubwa zaidi, si unasema Jua halizami.Refraction haifanyi kitu kipotee,..bali hupelekea kitu kubend na kuonekana ni kikubwa kuliko uhalisia wake.
๐๐๐๐๐๐, Aya sasa. Mara density, mara mechanism ya kupaa, mara weight, which is which??1. Kuhusu gravity nadhani nimekujibu kwamba kinachofanya ushindwe kuruka ni kukosa mechanism Tu ya kukufanya upae, na sio kwamba gravity inakuvuta.
๐๐ Daah, story za kisadikika๐๐2. Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa๐๐ผ
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..
KASONGO YEYEEE๐๐๐๐unarudi chini kwa kuwa huna mechanism ya kukufanya uende juu.
Hili swali la eclipses nilikujibu kwenye posts zilizopita,..ila sio kesi nitarudia hapa๐๐ผ
Kwenye Lunar & Sun eclipses Dunia haihusiki kabisa.....Since, Dunia ipo stationary, Na Objects ambazo zinaogelea kwenye anga including Mwezi na Jua ndiyo zinasababisha eclipses, since zinazunguka kwenye realm moja hivyo ikitokea objects moja imepita mbele ya object nyingine(interception between two objects),..Duniani huku tutaona tu effects ya mwanga wa object husika kuwa blocked....
Kuhusu lunar phases,.. pia Dunia na umbo lake haihusiki..
๐๐ Sasa majibu ya mwanzo alitoa wapi??๐๐.Eclipseโ๏ธ & moon phase โ(Ni kweli moon phases sina details zaidi kuhusu, even though moon phases hai support by any means the idea kwamba Dunia ni Tufe.
Kama hujawahi kuhisi ukivutwa,..maana yake hakuna hicho kitu kinachokuvuta labda kama umeamua kujidanganya tu.......Nimekujibu zamani sana๐
Kama huelewi haya majibu usijali nipo kwaajili yako.
Si tunakubaliana kitu chochote hakiweZi kuanza mwendo bila kuwa na external force??(Newton's first law).
Kama ndivyo basi ukichukua kitu ukaweka kwenye hewa(bila hata kukitupa) weka tu alafu achia. Lazima kitaanguka sivyo? Sasa kwann kianguke? (Kimemove), it means Kuna external force ambayo imesababisha Hilo Jambo kutokea.
Mtoto mwenye kg25 ukimbebesha kitu chenye Kg100,....unategemea nini kitatokea? ni force gani itafanya mtoto aanguke kama sio uzito tu wa kitu husika?Kama ndivyo basi ukichukua kitu ukaweka kwenye hewa(bila hata kukitupa) weka tu alafu achia. Lazima kitaanguka sivyo? Sasa kwann kianguke? (Kimemove), it means Kuna external force ambayo imesababisha Hilo Jambo kutokea.
Kwani hiyo mada ya Internal force kuathiri external environment aliileta nani kama sio wewe?............ sasa hivi umebadilisha maelezo...kijana kuwa makiniMbona Bado huelewi? Nimekwambia nipe mfano wa internal force inavyoweza kusababisha hicho kitu(kilichozalisha internal force) kitembee au kimove chenyewe na sio internal force isababishe external environment au vitu vingne kumove.
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain ๐๐ Hata yeye haelewi anaelewa nn?๐ .Lakini ukielezea gravity kama kani ya mvutano kwenye objects ambazo ni magnetic ๐งฒ .... Tunaweza tukasema ni sawa hiyo gravity tukaiita magnetism so ina exist Kwa style hiyo na sio kama inavyokua exaggerated.
๐๐ Yaani haeleweki, na yeye pia hajielewi, na haelewi kama anaelewa, sijui mnanielewa?Ukiuweka kwenye air above the ground,.. mpira utadondoka Kwa kuwa upo more dense than air(yaani ni mzito kuliko hewa) hivyo hewa haiwezi Ku act kama obstacle kwa mpira,.. kitu ambacho kitapelekea mpira kudondoka mpaka pale utakapokutana na kizuizi ambacho ni dense than it,. which is earth's ground!
Umeamua tu kuwa mbishi,....nimesema density ni miongoni mwa determinants za kitu ku fall/stay in the air,... yaani kimsingi density na weight ni factors ambazo zinategemeana,.... kwani tunaposema kitu fulani ni more/less dense than the other hujui kama na weight inakua imehusika hapo?Sasa mbona hueleweki??? Jibu ni density au weight????
Pinga hoja Kwa hoja, je Kuna uwezekano wa kitu kumove bila kuwa na applied external force??kwa kuwa umefundishwa kwamba kitu hakiwezi ku move bila external force,. ndiyo ukaamua ulazimishe kwamba Lazima kuna force inayokuvuta,..Hata kama huhisi ikikuvuta?
Still unabaki pale pale, na maswali Yale Yale, uzito(mass) una direction? Kama Hauna kwann unasema una act chini?Mtoto mwenye kg25 ukimbebesha kitu chenye Kg100,....unategemea nini kitatokea? ni force gani itafanya mtoto aanguke kama sio uzito tu wa kitu husika?
Ukifungua ubongo wako utaelewa tu,Kukariri ni ugonjwa unaosababisha upungufu wa fikra huru kichwani,...nikitulia nitarudi hapa
Unaamua kujitoa akili tu,...Mwenzako alitaka kujua kuhusu Jua linavyofanya movement,..yaani nimuelezee movements za Jua kama jinsi movement za SGR zinavyofanyika,....and thats why nikamjibu in sacarsm kwamba "Ikiwa mnadai Jua lipo 93 Million Miles away from earth,..unategemea vipi mimi nikuelezee exactly kwamba Jua lina move 1,2,3...."hateeb10
Hahahaahahaaa the sun is local!! Halipo mbali na Dunia kama tunavyoaminishwa๐๐ then what is this๐. 93 Million miles unazijua halafu mnasema Jua ni local na lipo karibu.
Wewe apart from uzito wa kitu,...ushaona external force gani inavuta kitu chini? unaweza kuthibitisha?Pinga hoja Kwa hoja, je Kuna uwezekano wa kitu kumove bila kuwa na applied external force??
Still unabaki pale pale, na maswali Yale Yale, uzito(mass) una direction? Kama Hauna kwann unasema una act chini?
Ukifungua ubongo wako utaelewa tu,
Hahh kijana kachanganyikiwa,.. The celebrity alithibitisha kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi gravity inamvuta chini,...........nikamuambia logically kama ni hivyo maana yake gravity haipo hataki kukubali anaitetea vibaya mno,...Jamaani eeeeh kwani mbona mnapenda kuwafanya wenzenu machizi hapa eeeeeeeeh.....
Wati hadi wanachanganyikiwa sasa
Kuathiri mwendo wa hiyo object, yaani hiyo object Imove katika mazingira ya nje mbona huelewi??Kwani hiyo mada ya Internal force kuathiri external environment aliileta nani kama sio wewe?............ sasa hivi umebadilisha maelezo...kijana kuwa makini