j_h_kirigini
Senior Member
- Dec 31, 2015
- 138
- 61
Tatizo uthibitisho wa kwamba Dunia ni tufe 🌎 na Inazunguka huna,..hizo ulizoweka hapo ni siasa tu,.
Thibitisha Dunia ni tufe na inazunguka.
Sayansi pekee ndio inaweza kukupa majibu lakini hujui hiyo sayansi, utaelewaje?