Uzito ninaoongelea mimi ni ule ambao hata ukienda kwa layman ukimuuliza ataweza kukuelezea,... mtu ambae hajapitia mainstream education ukimuambia uzito ni nini majibu yake ni sahihi zaidi,...kuliko mtu ambae amemezeshwa kwenye elimu zetu hizi.hateeb10 Hili swali ni la muhimu sana kwako
Kwahy ww hapo umeona katuni?ππ, naomba nitengenezee au niletee katuni ya namna hii ya Dunia tambarare Ili tukuamini ukishindwa maana yake hii sio katuni.Hahhh kaka huu ni uthibitisho au Katuni?
Kwahiyo mnavyosema uthibitisho mnao mnamaanisha huu?
Haya lete na inavyozunguka sasa,.. kazi ipo
Bado hujajibu swali weight unayoongelea ww ni ipi??ππUzito ninaoongelea mimi ni ule ambao hata ukienda kwa layman ukimuuliza ataweza kukuelezea,... mtu ambae hajapitia mainstream education ukimuambia uzito ni nini majibu yake ni sahihi zaidi,...kuliko mtu ambae amemezeshwa kwenye elimu zetu hizi.
Swali dogo maelezo bahari, weight unayoongelea ww ni ipi??Simaanishi kwamba nadharau role ya elimu kwenye maisha yetu,..bali siamini kwamba kila ninachofundishwa ni 100% true,.. ndiyo maana huwa naacha room ya kudadisi mimi kama mimi kwa kutumia personal observations & experience.
Huu ndiyo uthibitisho kwamba Dunia inazunguka,..Hahh sasa kwa vitu kama hivi kaka utashangaa kweli watu waki criticise?Kwahy ww hapo umeona katuni?ππ, naomba nitengenezee au niletee katuni ya namna hii ya Dunia tambarare Ili tukuamini ukishindwaaana yake hii sio katuni.
View attachment 3188583
Umeishiwa hoja?? Umeomba uthibitisho nimekupa. OVER, kama unahoja kuhusu hili leta.Huu ndiyo uthibitisho kwamba Dunia inazunguka,..Hahh sasa kwa vitu kama hivi kaka utashangaa kweli watu waki criticise?
Hata wewe najua deep down kwenye moyo na akili yako unajua kwamba that's not a real video ya Dunia ikizunguka,.....ni futuhi tu hiyo.
Narudia hii kauli ( nmewahi kuitamka ),Sawa, na wewe nakupa nafasi weka uthibitisho kwamba Dunia ni tufe π π na Inazunguka,.... kusema mtu fulani ni mjinga haifanyi mtu huyo kuwa mjinga...
Mwenzako kakubali kwamba gravity haipo,.. na wewe fanya research kuhusu hilo.
πππ,Narudia hii kauli ( nmewahi kuitamka ),
Nmekuelewa wewe na nadharia yako ya Dunia ni flat, Sasa nataka nijifunze mambo mbali mbali kutoka kwako nitakua nkikuuliza maswali na uyajibu kutokana na nadharia yako ili mimi na wengine tuanze kupata elimu kutoka kwako
Na majibu yako yaambatane na uthibitisho
Natumani umenielewa na kila swali utakaloulizwa jibu direct bila kuegemea upande wa namna nnavyofahamu ( kuhusu Dunia duara )
Nakukumbusha tena, Kila jibu liambatane na uthibitisho,
Upo tayari nianze ?
Huo unaoita uthibitisho hata wewe mwenyewe akili yako haikubaliani nao,..Umeishiwa hoja?? Umeomba uthibitisho nimekupa. OVER, kama unahoja kuhusu hili leta.
Kabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..Narudia hii kauli ( nmewahi kuitamka ),
Nmekuelewa wewe na nadharia yako ya Dunia ni flat, Sasa nataka nijifunze mambo mbali mbali kutoka kwako nitakua nkikuuliza maswali na uyajibu kutokana na nadharia yako ili mimi na wengine tuanze kupata elimu kutoka kwako
Na majibu yako yaambatane na uthibitisho
Natumani umenielewa na kila swali utakaloulizwa jibu direct bila kuegemea upande wa namna nnavyofahamu ( kuhusu Dunia duara )
Nakukumbusha tena, Kila jibu liambatane na uthibitisho,
Upo tayari nianze ?
Umeishiwa pointππHuo unaoita uthibitisho hata wewe mwenyewe akili yako haikubaliani nao,..
Hiyo ni katuni sio uthibitisho.
HahahaaππππKabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..
Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,....
Huo unaoita uthibitisho hata wewe mwenyewe akili yako haikubaliani nao,..
Naomba mfano wa katuni ya hivi ikionesha Dunia tambarare kama unadhani hii ni katuni. Kusema tu hii ni katuni hakuondoi uhalisia.Hiyo ni katuni sio uthibitisho.
Sayansi ya kusema kuna kuta alafu unazuiiwa kwenda ni sayansi ya namna gani?fuatilia mkuu it's very interesting and very confusing at the same time. wanaobisha sio watu wa dini ni wana sayansi pia.
Ndugu, Lengo langu la sasa ni kuelewa mtazamo wako na sio kushinda mjadalaKabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..
Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,....
Nitarudi,. kuweka sawa hapahateeb10
Mpaka Sasa hujajibu vitu vifuatavyo!
1. Unasema kutembea friction force haihusikii nimekuuliza ukitembea kwenye tope kwann huwezi na utateleza.
2. Weight unayoongelea ww ni ipi?
3. How weight Ina exert force.
4. Hujatoa mfano wa kitu kinachoweza kumove bila external force kuwa applied mpka sasa kimya
Nitarudi,.Ndugu, Lengo langu la sasa ni kuelewa mtazamo wako na sio kushinda mjadala
Upo tayari nianze maswali ?
Inashangaza sana, Ngoja twende nao pole poleπππ,
Halafu huwa anajitoa akili anasahau huu Uzi unatoa ushahidi wa Dunia tambarare, na mpaka Sasa hakuna alieweza kuutetea Uzi kama ulivyoanzishwa badala yake wanauliza maswali ya globe.
Masharti yangu umeyakubali lakini.....?Sawa, Mimi nipo hapa nakuandalia maswali
Nakusubiri