hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Uzito ninaoongelea mimi ni ule ambao hata ukienda kwa layman ukimuuliza ataweza kukuelezea,... mtu ambae hajapitia mainstream education ukimuambia uzito ni nini majibu yake ni sahihi zaidi,...kuliko mtu ambae amemezeshwa kwenye elimu zetu hizi.hateeb10 Hili swali ni la muhimu sana kwako
Simaanishi kwamba nadharau role ya elimu kwenye maisha yetu,..bali siamini kwamba kila ninachofundishwa ni 100% true,.. ndiyo maana huwa naacha room ya kudadisi mimi kama mimi kwa kutumia personal observations & experience.