Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
hateeb10 Hili swali ni la muhimu sana kwako
Uzito ninaoongelea mimi ni ule ambao hata ukienda kwa layman ukimuuliza ataweza kukuelezea,... mtu ambae hajapitia mainstream education ukimuambia uzito ni nini majibu yake ni sahihi zaidi,...kuliko mtu ambae amemezeshwa kwenye elimu zetu hizi.

Simaanishi kwamba nadharau role ya elimu kwenye maisha yetu,..bali siamini kwamba kila ninachofundishwa ni 100% true,.. ndiyo maana huwa naacha room ya kudadisi mimi kama mimi kwa kutumia personal observations & experience.
 
Hahhh kaka huu ni uthibitisho au Katuni?
Kwahiyo mnavyosema uthibitisho mnao mnamaanisha huu?
Kwahy ww hapo umeona katuni?😀😀, naomba nitengenezee au niletee katuni ya namna hii ya Dunia tambarare Ili tukuamini ukishindwa maana yake hii sio katuni.
Haya lete na inavyozunguka sasa,.. kazi ipo

Uzito ninaoongelea mimi ni ule ambao hata ukienda kwa layman ukimuuliza ataweza kukuelezea,... mtu ambae hajapitia mainstream education ukimuambia uzito ni nini majibu yake ni sahihi zaidi,...kuliko mtu ambae amemezeshwa kwenye elimu zetu hizi.
Bado hujajibu swali weight unayoongelea ww ni ipi??😀😀
Simaanishi kwamba nadharau role ya elimu kwenye maisha yetu,..bali siamini kwamba kila ninachofundishwa ni 100% true,.. ndiyo maana huwa naacha room ya kudadisi mimi kama mimi kwa kutumia personal observations & experience.
Swali dogo maelezo bahari, weight unayoongelea ww ni ipi??
 
Kwahy ww hapo umeona katuni?😀😀, naomba nitengenezee au niletee katuni ya namna hii ya Dunia tambarare Ili tukuamini ukishindwaaana yake hii sio katuni.

View attachment 3188583
Huu ndiyo uthibitisho kwamba Dunia inazunguka,..Hahh sasa kwa vitu kama hivi kaka utashangaa kweli watu waki criticise?

Hata wewe najua deep down kwenye moyo na akili yako unajua kwamba that's not a real video ya Dunia ikizunguka,.....ni futuhi tu hiyo.
 
Umeishiwa hoja?? Umeomba uthibitisho nimekupa. OVER, kama unahoja kuhusu hili leta.
 
Sawa, na wewe nakupa nafasi weka uthibitisho kwamba Dunia ni tufe 👉 🌎 na Inazunguka,.... kusema mtu fulani ni mjinga haifanyi mtu huyo kuwa mjinga...

Mwenzako kakubali kwamba gravity haipo,.. na wewe fanya research kuhusu hilo.
Narudia hii kauli ( nmewahi kuitamka ),

Nmekuelewa wewe na nadharia yako ya Dunia ni flat, Sasa nataka nijifunze mambo mbali mbali kutoka kwako nitakua nkikuuliza maswali na uyajibu kutokana na nadharia yako ili mimi na wengine tuanze kupata elimu kutoka kwako
Na majibu yako yaambatane na uthibitisho

Natumani umenielewa na kila swali utakaloulizwa jibu direct bila kuegemea upande wa namna nnavyofahamu ( kuhusu Dunia duara )

Nakukumbusha tena, Kila jibu liambatane na uthibitisho,

Upo tayari nianze ?
 
hateeb10
Mpaka Sasa hujajibu vitu vifuatavyo!
1. Unasema kutembea friction force haihusikii nimekuuliza ukitembea kwenye tope kwann huwezi na utateleza.

2. Weight unayoongelea ww ni ipi?
3. How weight Ina exert force.
4. Hujatoa mfano wa kitu kinachoweza kumove bila external force kuwa applied mpka sasa kimya
 
😀😀😀,
Halafu huwa anajitoa akili anasahau huu Uzi unatoa ushahidi wa Dunia tambarare, na mpaka Sasa hakuna alieweza kuutetea Uzi kama ulivyoanzishwa badala yake wanauliza maswali ya globe.
 
Kabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..

Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,....
 
Hahahaa😀😀😀😀
 
fuatilia mkuu it's very interesting and very confusing at the same time. wanaobisha sio watu wa dini ni wana sayansi pia.
Sayansi ya kusema kuna kuta alafu unazuiiwa kwenda ni sayansi ya namna gani?
 
Kabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..

Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,....
Ndugu, Lengo langu la sasa ni kuelewa mtazamo wako na sio kushinda mjadala

Upo tayari nianze maswali ?
 
hateeb10
Mpaka Sasa hujajibu vitu vifuatavyo!
1. Unasema kutembea friction force haihusikii nimekuuliza ukitembea kwenye tope kwann huwezi na utateleza.

2. Weight unayoongelea ww ni ipi?
3. How weight Ina exert force.
4. Hujatoa mfano wa kitu kinachoweza kumove bila external force kuwa applied mpka sasa kimya
Nitarudi,. kuweka sawa hapa
 
😀😀😀,
Halafu huwa anajitoa akili anasahau huu Uzi unatoa ushahidi wa Dunia tambarare, na mpaka Sasa hakuna alieweza kuutetea Uzi kama ulivyoanzishwa badala yake wanauliza maswali ya globe.
Inashangaza sana, Ngoja twende nao pole pole
 
Sawa, Mimi nipo hapa nakuandalia maswali

Nakusubiri
Masharti yangu umeyakubali lakini.....?

Nilisema hivi......"Kabla hatujafika mbali,.. Unapaswa ukubali kwamba huna uthibitisho unaoonyesha Dunia ni tufe na inazunguka,.. Lakini pia tokea uzaliwe hujawahi kuhisi unavutwa na gravity,..

Ili tuutafute ukweli inabidi kwanza tukubali kuachana na uongo,...."
 
Back
Top Bottom