The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ndio ukileta mfano wa Dunia tambarare ambao unafanania na nilikupa Mimi unaoita katuni nakuamini.Nikikosa hoja ya nini? kwamba na mimi nikileta uthibitisho wa katuni ndiyo nitakua na hoja?
Sasa unanilazimisha nisiwe na uthibitisho na wakati nimekupa?ππ.Ni bora Mtu useme sina uthibitisho kuliko kuleta vitu ambavyo havi make sense,. picha na video ulizoleta ni Memes na sio uthibitisho.
Embu imagine ndo mahakamani sasa, umeniomba uthibitisho nikakupa clip ikionesha tukio ukiwa unaua (tufanye niwe nimeitengeneza sio ya kweli), pindi utakapo ikataa hiyo clip na kudai sio ya kweli imeeditiwa lazima utoe uthibitisho kuwa hiyo video ni fake, na sio kusema tu clip ni fake.