Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Hamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
 
Na ndiyo maana ukifuatilia hata maps wanazotumia pilots ni flat
We ni mjinga kama wajinga wenzako!!!

Unajua maana ya map?? Ulishawahi kuona map 3D isiyo kwenye flat surface?? Wewe kweli kichwa.
lakini pia., kuna assumptions(kwa mujibu wao) zao mbili huwa wanafanya 1. Assumption that earth is flat 2. Assumption that Earth is stationary.
Akili huna, " RELATIVE" ntakufundisha mpaka lini??
Na hata ivo, Bado Kuna effects za Coriolis zinakuwa considered
 
Hamna kitu hapo,....Kauli yako ya mwanzo kwamba hujawahi kuhisi unavutwa na gravity ina mashiko zaidi,. Mimi naona una force tu kuwe kuna hiyo force lakini dalili zote zinaonyesha haipo.
Hahaha nimekujibu unakimbilia kauli ya kwanza😃😃😃, ndio kauli ya kwanza ipo sahihi na haimaanishi hakuna force kama nilivyotoa mifano hapo juu, ukipinga Pinga Kwa hoja sio unapinga kama dada ASHURA
 
Unaelewa nini kuhusu horizontally???
View attachment 3190658
Unaelewa nn kuhusu "Maintaining altitude"?
Sawa,....When we say a vehicle moves "horizontally," it generally means the vehicle is moving along a level, flat surface parallel to the ground, without climbing or descending.

.............Maintaining altitude" means that an aircraft is flying at a consistent height above the ground or sea level. Essentially, the pilot is ensuring that the plane neither ascends nor descends, but stays at a constant altitude.
 
Hahaha nimekujibu unakimbilia kauli ya kwanza😃😃😃, ndio kauli ya kwanza ipo sahihi na haimaanishi hakuna force kama nilivyotoa mifano hapo juu, ukipinga Pinga Kwa hoja sio unapinga kama dada ASHURA
Ushawahi kuhisi unavutwa chini?
 
Sawa,....When we say a vehicle moves "horizontally," it generally means the vehicle is moving along a level, flat surface parallel to the ground, without climbing or descending.
Kwa mfano gari ikiwa inamove kwenye mabonde alongside the road, utasema gari haimove horizontally??

.............Maintaining altitude" means that an aircraft is flying at a consistent height above the ground or sea level. Essentially, the pilot is ensuring that the plane neither ascends nor descends, but stays at a constant altitude.
That is not true!! Always a plane ascends and descends to maintain altitude
 
Kwann nasema hivi??

Ngege inamove at the same speed and direction as the earth. So the earth is stationary in relative to the plane.
Tunaambiwa kwamba Dunia ina move 1,037 miles per hour,........Unaposema Ndege ina move at the same speed as earth,. unamaanisha kuna Ndege yenye speed sawa na Dunia?

Kumbuka Dunia haipo closed kama Box,.. So Aircraft zikisha fly out of Earth's surface zina independent movement ambayo haipo influenced na Dunia,.

Karibu ujitetee,
 
We ni mjinga kama wajinga wenzako!!!

Unajua maana ya map?? Ulishawahi kuona map 3D isiyo kwenye flat surface?? Wewe kweli kichwa.

Akili huna, " RELATIVE" ntakufundisha mpaka lini??
Na hata ivo, Bado Kuna effects za Coriolis zinakuwa considered
Hahh sasa mbona una panic,.. relax tupate elimu.
 
Tunaambiwa kwamba Dunia ina move 1,037 miles per hour,........Unaposema Ndege ina move at the same speed as earth,. unamaanisha kuna Ndege yenye speed sawa na Dunia?
Tuliza kichwa bwa mdogo!!

Assume ndege ipae juu vertically alafu ikifika juu igande tu bila kuelekea sehem yoyote, at that time ndege itakuwa inamove along with the earth(that why nikasema relatively to each other ndege na Dunia zipo stationary) So itakapo Anza kumove in any direction hapo relative velocity ndio inahusika.
 
Kumbuka Dunia haipo closed kama Box,.. So Aircraft zikisha fly out of Earth's surface zina independent movement ambayo haipo influenced na Dunia,.
Sio hivyo!! Hata mawingu yanamove along na Dunia Japokuwa yanamovement yake yenyewe.

Mfano: imagine upo kwenye basi linalomove umekaa kwenye seat, maana yake hapo unamove pamoja na gari, lakin unaweza kutembea kuelekea utakako ukiwa kwenye gari.

Na sababu ya mawingu, ndege na vitu vingine kumove pamoja na Dunia ni gravity imevi-hold.
 
hateeb10
Mpaka Sasa hujajibu;👇
1. Weight unayoongelea ww ni ipi?
2. Mfano wa kitu kinachoweza kumove as a whole bila external force.
3. Tofaut ya Mass na Weight.
1. Weight ninayoongelea mimi ni ule msukumo unaotokana na wingi/au ujazo wa chembechembe za object husika.

2. Mfano,. ni Binadamu anaweza kuanguka kutoka Juu mpaka chini bila kuwepo kwa force nyingine yoyote apart from force ya uzito wa mwili wake.

3. Mass ni kiasi cha chembechembe kwenye object (s) husika,. Weight ni msukumo unaotokana na wingi (mass) ya object husika.
 
Yaani kwamba Ndege unaiona imeganda lakini unasema ina move along with the earth,...?

Unataka useme Dunia ipo closed as a box?,.... Kama haipo closed kinachofanya useme Ndege ina move along with the earth hata kama ishatoka kwenye ardhi ya Dunia ni nini?

Wewe chukulia Gari ambayo haipo closed Juu,..umepanda na Kuku wako kwenye mfuko,. kwa bahati mbaya yule Kuku akatoka na kuruka away from hilo Gari,...Je Kuku ataendelea ku move along with hilo Gari?
 
1. Weight ninayoongelea mimi ni ule msukumo unaotokana na wingi/au ujazo wa chembechembe za object husika.
😃😃, kwahy neno uvuto linakukera sanaa?? Haya uwingi wa kitu(mass) unasababishaje msukumo?? Na kumbuka Mass ni scalar quantity
2. Mfano,. ni Binadamu anaweza kuanguka kutoka Juu mpaka chini bila kuwepo kwa force nyingine yoyote apart from force ya uzito wa mwili wake.
Unarudi kule kule tena😃, Debate ni "vitu kuanguka je Kuna force inavyosababisha au lah!!?" Wewe tena unatolea mfano huo huo!! Daaah😃😃
3. Mass ni kiasi cha chembechembe kwenye object (s) husika,. Weight ni msukumo unaotokana na wingi (mass) ya object husika.
Mass ni scalar quantity, haisukumi kitu chochote in any direction.
 
Yaani kwamba Ndege unaiona imeganda lakini unasema ina move along with the earth,...?
"Relative"
Unataka useme Dunia ipo closed as a box?,...
No.
. Kama haipo closed kinachofanya useme Ndege ina move along with the earth hata kama ishatoka kwenye ardhi ya Dunia ni nini?
Gravity, mbona nimekujibu hapo juu
Wewe chukulia Gari ambayo haipo closed Juu,..umepanda na Kuku wako kwenye mfuko,. kwa bahati mbaya yule Kuku akatoka na kuruka away from hilo Gari,...Je Kuku ataendelea ku move along with hilo Gari?
Amna atamove along with the earth, kwasabab gari, Mimi, na huyo ndege hata awali tulikuwa tunamove along with the earth,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…