Dunia inaonekana kwa senses zetu kwamba ni flat na imetulia,...mtu ambae ata claim tofauti na hivyo ndiyo anatakiwa alete uthibitisho.Wewe uthibitisho wako uko wapi ?
Inaonekana ukiwa wapi ?Dunia inaonekana kwa senses zetu kwamba ni flat na imetulia,...mtu ambae ata claim tofauti na hivyo ndiyo anatakiwa alete uthibitisho.
So kimsingi watu wa Dunia tufe inayozunguka ndiyo mnatakiwa mmalize huu mjadala kwa kuweka uthibitisho ambao mtu akiangalia anasema yes hii inafuta doubts zote.
Popote utakapokua utaona na kuhisi hivyo.Inaonekana ukiwa wapi ?
Mwisho wake ni wapi ?Popote utakapokua utaona na kuhisi hivyo.
Naomba nikuulize,.. Wewe unavyofahamu Dunia ina mwisho au haina?Mwisho wake ni wapi ?
Umewahi kusikia au kuuona ?
🤣🤣🤣🤣 Nipo nasubiri unambie ni kivipi line ya Kona (curved) inaweza kuwa fupi kuliko Ile straight(direct).Kitu pekee kinachoweza kuhitimisha mjadala huu ni uthibitisho,...sasa kama uthibitisho hakuna tutabishana mpaka lini?
Hujawahi kuiona Dunia as a whole Kwa macho yako na Hauna uwezo huo, umepewa picha na video zikionesha hicho kitu umezikataa🤣🤣, badala yake unakuja na hoja dhaifu ya Dunia tambarare ambayo huwezi hata kuitetea!!Dunia inaonekana kwa senses zetu kwamba ni flat na imetulia,...mtu ambae ata claim tofauti na hivyo ndiyo anatakiwa alete uthibitisho.
So kimsingi watu wa Dunia tufe inayozunguka ndiyo mnatakiwa mmalize huu mjadala kwa kuweka uthibitisho ambao mtu akiangalia anasema yes hii inafuta doubts zote.
Halafu ni kama umeni ignore 🤣🤣🤣Naomba nikuulize,.. Wewe unavyofahamu Dunia ina mwisho au haina?
Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.🤣🤣🤣🤣 Nipo nasubiri unambie ni kivipi line ya Kona (curved) inaweza kuwa fupi kuliko Ile straight(direct).
sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.Hujawahi kuiona Dunia as a whole Kwa macho yako na Hauna uwezo huo, umepewa picha na video zikionesha hicho kitu umezikataa🤣🤣, badala yake unakuja na hoja dhaifu ya Dunia tambarare ambayo huwezi hata kuitetea!!
Nilikua nafanya tafiti,..nithibitishe je dunia ni tufe kweli? Inazunguka kweli?Halafu ni kama umeni ignore 🤣🤣🤣
Dunia haina mwisho kwakua ni sphere,Naomba nikuulize,.. Wewe unavyofahamu Dunia ina mwisho au haina?
Ikikupendeza utuelezee na GPS inavyofanya kazi kamanda ( Kwa theory ya Dunia ni tambarare )sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.
Hata waliokupa hizo picha na video za katuni pia hawajaweza kuiona Dunia as whole.,... badala yake wanakuambia Dunia ni tufe linalozunguka ila uthibitisho hawajakupa ni nadharia tu.
Kwahiyo kitu kikiwa sphere maana yake hakina mwisho.?Dunia haina mwisho kwakua ni sphere,
Nyinyi mnaodai Dunia haipo spherical shaped huwa mnadai Dunia ina kingo zake
Mkafika mbali mkasema bara la antarctica ndipo zilipo kingo za Dunia 😅
GPS na shape ya Dunia vina uhusiano gani?Ikikupendeza utuelezee na GPS inavyofanya kazi kamanda ( Kwa theory ya Dunia ni tambarare )
Duh!GPS na shape ya Dunia vina uhusiano gani?
yap huwezi ukathibitisha umbo la Dunia kwa kutumia GPS,.. jaribu kuleta vitu ambavyo vina relate.Duh!
🤣🤣 Fafanua maana hiko kitu hakiwezekani.Ndiyo kwenye uhalisia cornered path inaweza kuwa fupi kuliko direct one.......sasa hapa kuliko kukutafunia unaweza ukaenda kujifunza zaidi kisha utaleta majibu au tafakari mwenyewe hujawahi kukutana na scenario ambayo kunyoosha moja kwa moja ni mbali kuliko kupita njia ya mzunguko?,.
kama ukishindwa sema nikufafanulie,.
Wewe unauhakika Gani na hayo unayoyasema??sio mimi tu,..hakuna ambae amewahi kuiona Dunia as a whole.
Hata waliokupa hizo picha na video za katuni pia hawajaweza kuiona Dunia as whole.,... badala yake wanakuambia Dunia ni tufe linalozunguka ila uthibitisho hawajakupa ni nadharia tu.
Kwahy hiyo huo mchoro wa kushoto ndo Dunia ilivyo🤣🤣,Nilikua nafanya tafiti,..nithibitishe je dunia ni tufe kweli? Inazunguka kweli?
View attachment 3200993