Chaihateeb10
............INAENDELEA
Kuna swali uliniuliza naona ulilishikilia sana, uliuliza kama nimeahawahi kuhisi gravity? Nikakujibu sijawahi kuhisi, na huwezi kuhisi.
Kwann?? Jibu ni Adaptation, time adapt hii condition. Mfano kichwa chako kina uzito siyo? Lkn hujawahi kuhisi au shingo kuchoka kushikilia kichwa chako, au mikono yako huwezi kuihusi ni kama ni mzigo kwako. Hiyo ndio adaptation.
Kwahiyo Ndege ikifuata curvature ina move vertically instead of horizontally?Over the flat earth surface NO.
But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima).
Ukiona sijajibu ujue hakuna hoja hapo,... kwa mfano unalazimisha nikuelezee great circle route kwenye flat earth wakati wewe ndiyo uliyekuja na concern yako hii mimi niielezee ili iweje sasa... na hata kama nikielezea haitothibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.Unaleta Memez humu 🤣🤣🤣 na Kuna hoja umezikimbia hutaki kujibu🤣🤣,
hiyo sio meme that's a fact,... unaiita meme ili ukimbie wakati hiyo scenario ni uthibitisho tosha kwamba gravity haihusiki kwenye vitu kuanguka.Unaleta Memez humu 🤣🤣🤣 na Kuna hoja umezikimbia hutaki kujibu🤣🤣,
KunywaChai
Kufata curve kunahusianaje na horizontally na vertically??Kwahiyo Ndege ikifuata curvature ina move vertically instead of horizontally?
Wewe si ulisema hata kwenye flat earth hiyo route inawezekana🤣🤣🤣, ndo nimekwambia Sasa nambie ndege zunawezaje kufanya hivyo kwenye flat earth.Ukiona sijajibu ujue hakuna hoja hapo,... kwa mfano unalazimisha nikuelezee great circle route kwenye flat earth wakati wewe ndiyo uliyekuja na concern yako hii mimi niielezee ili iweje sasa... na hata kama nikielezea haitothibitisha kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.
Wewe kuita katuni haiondoi uhalisia🤣🤣Nilikuambia ulete uthibitisho wa videos na picha halisia zikionyesha kwamba Dunia ni tufe kwa bahati mbaya ukaleta katuni.
And yet huwezi kuelezea ni nn sabab ya vitu kuanguka🤣hiyo sio meme that's a fact,... unaiita meme ili ukimbie wakati hiyo scenario ni uthibitisho tosha kwamba gravity haihusiki kwenye vitu kuanguka.
Kwani hii kauli yako ulimaanisha nini?......"But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima)."Kufata curve kunahusianaje na horizontally na vertically??
Hujajibu!! Ulishawahi kuhisi uzito wa kichwa chako, tena ukute unabichwa Kubwa🤣🤣(joking) lkn naimani hujawahi kuona shingo imechokaChai
YesssKwani hii kauli yako ulimaanisha nini?......"But At short distance, ndege Ina move horizontally, mfano kutoka mwanza to dar, lkn kwenye distance ambayo ni Kubwa ndege lazima itafata curvature ya Dunia(lazima)."
Ndiooo.Umesema at short distance Ndege ina move horizontally,.kisha ukaweka 'BUT....
Si Inafata curvature ya Dunia. Yaani route yake itakuwa curved (haitakuwa straight).Sasa tuambie in the long distance Ndege hai move horizontally? ina move vipi?
Nimekuelezea ila kwa kuwa umeshakaririshwa hutaki kukubali kwamba gravity haifanyi hivyo ulivyofundishwa,...And yet huwezi kuelezea ni nn sabab ya vitu kuanguka🤣
lakini still ina move horizontally? maana hutaki kujibu directly umeshikilia kufuata curvature ya Dunia, inafuata vipi? unaogopa kusema,..Yesss
Ndiooo.
Si Inafata curvature ya Dunia. Yaani route yake itakuwa curved (haitakuwa straight).
Duh hapa sijui hata ulikua unamaanisha nini,..Hujajibu!! Ulishawahi kuhisi uzito wa kichwa chako, tena ukute unabichwa Kubwa🤣🤣(joking) lkn naimani hujawahi kuona shingo imechoka
Sasa hapo Kuna kitu Gani Cha ajabu??hiyo sio meme that's a fact,... unaiita meme ili ukimbie wakati hiyo scenario ni uthibitisho tosha kwamba gravity haihusiki kwenye vitu kuanguka.
Kitu kikiwa kina curve Kunakuwa na both horizontal na vertical movements.lakini still ina move horizontally? maana hutaki kujibu directly umeshikilia kufuata curvature ya Dunia, inafuata vipi? unaogopa kusema,..
KabisaaaaaKumbuka Ndege haiwezi ku move horizontally constantly kwenye tufe la namna hii 👉 🌎
Huwezi kujua Kwa sabab ukijua tu utajua we ni mjinga kiasi Gani!!!Duh hapa sijui hata ulikua unamaanisha nini,..
🤣🤣🤣Nimekuelezea ila kwa kuwa umeshakaririshwa hutaki kukubali kwamba gravity haifanyi hivyo ulivyofundishwa,...
Unapenda kukimbilia huku!! Ukiweka hoja zako vizuri utakuwa mtu wa maana sana.Mfano mzuri ndiyo huo wa Yai kuelea kwenye maji chumvi na kuzama kwenye maji fresh,... ila still huwezi kuelewa I hope siku moja utaruhusu akili yako ifikirie on its own.
Kwahiyo ni kitu gani hasa kinafanya Yai lielee kwenye saltwater na lizame kwenye freshwater? apart from density hicho kitu kingine ni kipi?Sasa hapo Kuna kitu Gani Cha ajabu??
Maji umeyachanganya na chumvi(siyo pure water tena 1 kg/m³) maana yake density yake imeongezeka hivyo kufanya density ya maji kuwa Kubwa kuliko ya yai.
Na hiyo haiondoi kuwa vitu huanguka Kwa sabab ya gravity. Embu fikria kwann at first kwenye maji yasiyo na chumvi Yai lilizama(kumbuka hapo Kuna density) na scenario ya pili kwenye maji yenye chumvi Yai halikuzama(hapa pia density ipo).
Kwahy utagundua Kuna kitu kingne kinacho affect movement ya yai, density haisababishi mwendo wa kitu Hilo unalijua Kila kitu chenye uzito Kuna density hata ukilichukua Hilo yai ukaliweka chini Bado litakuwa na density Ile ile, lkn halitamove Kwa sabab density haisababishi mwendo wa kitu.
Kwani wewe ni mjinga kiasi gani?Huwezi kujua Kwa sabab ukijua tu utajua we ni mjinga kiasi Gani!!!