Unasema naweza kuwa sahihi? Kwani hizo assumptions nimeziweka Mimi?Hapa unaweza kuwa sahihi pia, kwamba ni assumption tu, lkn sio kweli Kwa maana pia in relation to movement of the earth with its atmosphere including hiyo ndege, the earth is stationary, so ni sawa tu kwako kuweka assumption kwamba Dunia haizinguki.
Kwenye flat, hapa ita apply only Kwa sababu Map lazima iwe kwenye flat surface, na pia kwenye route ambazo ni fupi
Umeelezea vyema kabisaaaa🤣🤣, Wala usiwe na shaka!!!Hahh naona umeamua kujifariji,....
Najua umeelewa vizuri tu kwamba nini nimemaanisha regarding whether curvature inakua considered/not kwenye anga,.ila umeamua kuiweka kwamba Ina support idea yako ya imaginary curvature of the earth,...
What if tena🤣🤣Kimsingi nimetoa hiyo statement kukuelewesha assumptions mbili (wao wanaziita assumptions, I thought ungejiongeza kwamba what if huo ndiyo uhalisia & not assumptions kama wanavyosema) yaani kwenye piloting wana assume kwamba :-
1. Dunia ni flat
2. Dunia haifanyi movement (stationary).
🤣🤣🤣🤣🤣Nilijua ungedadisi kwamba je hizo assumptions ni assumptions kweli au ndiyo uhalisia ulivyo,..but sadly umezibeba kama unavyofundishwa!
Ila wewe umezitumia, 🤣🤣🤣Unasema naweza kuwa sahihi? Kwani hizo assumptions nimeziweka Mimi?
Ndiyo rate ya vitu kuanguka inategemea na uzito wa kitu,.hateeb10
Na labda nikuulize swali la mwisho;
Vitu huanguka katika rate (acceration) sawa au inategemea na uzito wa kitu?-kwamba chenye uzito mkubwa huanguka Kwa haraka kuliko chenye uzito mdogo.
Hahh sawa lete uthibitisho basi..,mpaka leo hujapata video halisia ukiachana na ile katuni?Umeelezea vyema kabisaaaa🤣🤣, Wala usiwe na shaka!!!
What if tena🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Yap nimezitumia ili nikufundishe,... Mbona kuna walimu hawaamini kama Watu tunatokana na Ape like ancestor lakini still wanatumia nadharia husika kufundishia?Ila wewe umezitumia, 🤣🤣🤣
Duuh!! Experiment imeshafanyika tangu miaka ya zamani sana.Ndiyo rate ya vitu kuanguka inategemea na uzito wa kitu,.
Na hiyo unaweza ukafanya research kwa kujaribu objects tofauti tofauti,.. jaribu kuangusha/kurusha mfuko empty na Coin ya Tsh.50 uone utapata matokeo gani.
Hujatumia kunifundisha umetumia kujitetea 🤣Yap nimezitumia ili nikufundishe,... Mbona kuna walimu hawaamini kama Watu tunatokana na Ape like ancestor lakini still wanatumia nadharia husika kufundishia?
Kuita katuni haibadirishi kitu!! Uzuri ni kwamba umeshasema curvature of the earth is not taken into consideration so Sina haja yakujielezea sana.Hahh sawa lete uthibitisho basi..,mpaka leo hujapata video halisia ukiachana na ile katuni?
Unaona akili zako sasa🤣🤣🤣, video za shughuli za kijamii na kiuchumi Australia mpaka u zoom? Kweli?? Sasa kwann u zoom??Naomba video inayoonyesha shughuli za kijamii na kiuchumi zinavyoendelea Australia 🌏.,.. video iwe zoomed vizuri!
hateeb10Unazidi kujifanganya mwenyewe na kudhihirisha hujui chochote!! Bora ukubali hujui.
Mimi sijakataa kuwa kwenye flat ndege haiwezi ku curve(kupita njia ya mkunjo) au kwenda straight Ili kufikia destination yake. Bali nahoji hiyo njia ya mkunjo(curved route/great circle route) ni kivipi inaweza kuwa ndio route fupi zaidi kuliko straight route?? SIJUI UMENIELEWA SASA??
Yaani hii👇👇 ni route fupi
View attachment 3209083
Kuliko hii👇👇
View attachment 3209085
Wewe ulivyofanya experiment uligundua nini? achana na habari za kina GalileoDuuh!! Experiment imeshafanyika tangu miaka ya zamani sana.
It is said that Galileo demonstrated that Aristotle’s belief was false by dropping weights from the leaning tower of Pisa. The story is almost certainly untrue, but Galileo
did do something equivalent: he rolled balls of different weights down a smooth slope.
The situation is similar to that of heavy bodies falling vertically, but it is easier to observe because the Speeds are smaller. Galileo’s measurements indicated that each body increased its speed at the same rate, no matter what its weight. For
example, if you let go of a ball on a slope that drops by one meter for every ten meters you go along, the ball will be traveling down the slope at a speed of about one meter per second after one second, two meters per second after two seconds, and so on, however heavy the ball.
Hahh hizo ni katuni kaka,.. onyesha video za shughuli za kijamii na kiuchumi kwenye Dunia tufe linalozunguka,.... ukiweka hapa kuanzia leo nitaamini kile unachoamini wewe.Kuita katuni haibadirishi kitu!! Uzuri ni kwamba umeshasema curvature of the earth is not taken into consideration so Sina haja yakujielezea sana.
Unaona akili zako sasa🤣🤣🤣, video za shughuli za kijamii na kiuchumi Australia mpaka u zoom? Kweli?? Sasa kwann u zoom??
View: https://youtu.be/v6-51yRkVbk
Mimi nakuambia objects hazi fall at the same rate,.. wewe unaleta kile wanachosema flat earthers hayo ni mawazo yao mimi sipo guided na mawazo ya watu fulani,. wakiwa sawa nita support wakiwa hawapo sahihi siwezi kukubaliana nao.hateeb10
Na Moja ya sabab zinazotolewa na flat earthers ni kwamba vitu huonekana kuanguka Kwa rate sawa (9.81) Kwa sababu Dunia Ina accelerate upwards Kwa rate hiyo (9.81) Kwahy wanadai kuwa Dunia ndio inavi-hit vitu🤣🤣. VITUKO.
Kwahy unapoona nakataa Dunia sio flat sio mjinga, nimesoma na kuona ni ujinga tu.
View attachment 3209273
Nilifanya experiment hii mwaka 2016, nikapata majibu yake Yale. Lakn pia tumekuwa tukifanya experiment tangu o level, majibu ni Yale Yale, vitu vyote vina accelerate the same 9.81.Wewe ulivyofanya experiment uligundua nini? achana na habari za kina Galileo
Au huiamini akili yako?
Hahahahaaaa kwamba video niloweka ni katuniiiii🤣🤣🤣, inaonesha ni kiasi Gani hata huwa husomi Wala kufatilia nilichoandika au nilichoweka.Hahh hizo ni katuni kaka,.. onyesha video za shughuli za kijamii na kiuchumi kwenye Dunia tufe linalozunguka,.... ukiweka hapa kuanzia leo nitaamini kile unachoamini wewe.
Hata ww unajua Hilo kwahy Sina haja ya kuendelea kuelezea kitu tayari unajua🤣🤣Dunia ina curvature? umejuaje kama ina curvature?
Lakini pia kumbuka angani curvature of the earth haipo taken into consideration na ndiyo maana miongoni mwa concepts muhimu kwenye urubani ni:-
Kwahy unapingana na flat earthers Hawa? Kwahy umeona ni kiasi Gani Dunia haiwezi kuwa flat, na umejua kwann nakataa hii Nadharia sasa?? Mimi sio mjinga, mpaka Sasa umeshaona mapungufu makubwa kwenye Nadharia ya flat earth,Mimi nakuambia objects hazi fall at the same rate,.. wewe unaleta kile wanachosema flat earthers hayo ni mawazo yao mimi sipo guided na mawazo ya watu fulani,. wakiwa sawa nita support wakiwa hawapo sahihi siwezi kukubaliana nao.
Lakini pia kumbuka angani curvature of the earth haipo taken into consideration na ndiyo maana miongoni mwa concepts muhimu kwenye urubani ni:-
a. Assumption that earth is flat
Kwahy unapingana na flat earthers Hawa? Kwahy umeona ni kiasi Gani Dunia haiwezi kuwa flat, na umejua kwann nakataa hii Nadharia sasa?? Mimi sio mjinga, mpaka Sasa umeshaona mapungufu makubwa kwenye Nadharia ya flat earth,Mimi nakuambia objects hazi fall at the same rate,.. wewe unaleta kile wanachosema flat earthers hayo ni mawazo yao mimi sipo guided na mawazo ya watu fulani,. wakiwa sawa nita support wakiwa hawapo sahihi siwezi kukubaliana nao.
Lakini pia kumbuka angani curvature of the earth haipo taken into consideration na ndiyo maana miongoni mwa concepts muhimu kwenye urubani ni:-
a. Assumption that earth is flat