Napingana kwa 100% na mtoa mada binafsi nimeshafanya research kwa kupanda ndege lkn pia kupanda mlima meru vyote vinadhirisha dunia ni duara sasa nashangaa lengo la mtoa mada ni nini
Kuna mmoja amesema mambo ya dini yanachangia kuharibu watu
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
vj kuhisiana na ka mto kwetu NILE mbona kama kanapanda mlimaa ebu nieleweshe mkuuHuu uzi unanihuzunisha sana kuona kiwango cha ukosefu wa exposure kiasi hiki. Jamani kutembea nako ni kuona. Tembeeni, someni, jifunzeni mtajua.
Nianze nawe nkumbi, ulifundishwa dunia ni tufe kwa kuwa ni tufe, sio kwa sababu ya picha zinazoonyeshwa, ni kwa sababu ya fact zilizopo na zinazoendelea. Ukiangalia ramani ya dunia kama kitambaa kilichotandikwa itakwambia mji wa Tokyo uko mashariki ya mji wa San Francisco. Ungetegemea chombo cha usafiri wa angani kama ndege kinachotoka Tokyo kwenda Sanfrancisco kielekee magharibi ili kifike safari yake. Lakini sivyo, huelekea mashariki ndipo kinapofika haraka zaidi kuliko ile njia ya mwanzo. Huu ni mfano mmoja wa utufe wa dunia na faida moja ya kufahamu elimu ya utufe wa dunia. utafakari kwa ajili ndogo tu ya kawaida.
Kuna mtu kwenye huu uzi ameeleza kuwa ndani ya masaa 24 ya siku wakati eneo moja linapokuwa usiku lingine linakuwa mchana. Ninapoandika haya ni saa 12 asubuhi just linatokeza. Lakini ndugu yangu Yuko Florida sasa hivi ananiambia ametoka kazini ndio anaingia kitandani, usiku. Sasa elezea hili kwa hiyo theory ya tambarare.
Hizo theory za mleta uzi zimejikita Sana kwenye conspiracy theories ambazo nyingi zinajibika kirahisi sana ukipata exposure ya kinachoendelea duniani fizikali
Una uhuru na haki ya kupinga lakini Kupanda mlima na kupanda ndege sio research, na hili swala halija bagua mtu kwa sababu ya dini,
chukua camera yenye uwezo zoom apo uone. macho yetu ndo mabovuKwa research ndogo tu hata ww unaweza fanya. Hayo yameniambia dunia ni duara
1. Ukiangalia juu sky, utaona km inashuka chini inaenda kukutana na ardhi.
2. Ukiwa ufukweni wa bahari au ziwa utaona km maji yameinuka. Huwezi kuona upande wa pili wa bahari hata ukiwa baharini mbali huwezi kuona upande wa pili
Kwahiyo na hitimisha kusema dunia ni π
chukua camera yenye uwezo zoom apo uone. macho yetu ndo mabovu
CAMERA CAMERA uwe muelewaMtu yupo USA anataka kwenda China. Ni lazima apite Afrika/Ulaya ndiyo aende China?
πππππππvj kuhisiana na ka mto kwetu NILE mbona kama kanapanda mlimaa ebu nieleweshe mkuu
Wewe unafahamu hatuwezi kupata kamera ya uzito huo. Lakini kamera haiwezi kuwa kithibitisho pekee cha utufe au utambarare wa dunia. Logic nayo unafanya kazi ukiiunganisha na experiences nyingine kama kusafiri kwa ndege kutoka eneo moja la dunia kwenda lingineCAMERA CAMERA uwe muelewa
jibuuπππππππ
Umemaliza na umeeleweka.Huu uzi unanihuzunisha sana kuona kiwango cha ukosefu wa exposure kiasi hiki. Jamani kutembea nako ni kuona. Tembeeni, someni, jifunzeni mtajua.
Nianze nawe nkumbi, ulifundishwa dunia ni tufe kwa kuwa ni tufe, sio kwa sababu ya picha zinazoonyeshwa, ni kwa sababu ya fact zilizopo na zinazoendelea. Ukiangalia ramani ya dunia kama kitambaa kilichotandikwa itakwambia mji wa Tokyo uko mashariki ya mji wa San Francisco. Ungetegemea chombo cha usafiri wa angani kama ndege kinachotoka Tokyo kwenda Sanfrancisco kielekee magharibi ili kifike safari yake. Lakini sivyo, huelekea mashariki ndipo kinapofika haraka zaidi kuliko ile njia ya mwanzo. Huu ni mfano mmoja wa utufe wa dunia na faida moja ya kufahamu elimu ya utufe wa dunia. utafakari kwa ajili ndogo tu ya kawaida.
Kuna mtu kwenye huu uzi ameeleza kuwa ndani ya masaa 24 ya siku wakati eneo moja linapokuwa usiku lingine linakuwa mchana. Ninapoandika haya ni saa 12 asubuhi just linatokeza. Lakini ndugu yangu Yuko Florida sasa hivi ananiambia ametoka kazini ndio anaingia kitandani, usiku. Sasa elezea hili kwa hiyo theory ya tambarare.
Hizo theory za mleta uzi zimejikita Sana kwenye conspiracy theories ambazo nyingi zinajibika kirahisi sana ukipata exposure ya kinachoendelea duniani fizikali
Naona hili swali lako wanajifanya hawalioniMtu yupo USA anataka kwenda China. Ni lazima apite Afrika/Ulaya ndiyo aende China?
Hako ka mto katakuwa kana mapepo.vj kuhisiana na ka mto kwetu NILE mbona kama kanapanda mlimaa ebu nieleweshe mkuu
huu uzi unavyoelewa wewe unahusiana na nini, maana swali langu la jua kutembea na hili la mto nile unataka kujua linahusiana vp na uzi huu as if haueleqi kinachohusika katika uzi huu.Hako ka mto katakuwa kana mapepo.
Hebu nieleweshe. Mto nile unahusikaje kwenye huu uzi, au ni swali tofauti tu? Maana nyie majinias amkosi mambo mengi
πππππhuu uzi unavyoelewa wewe unahusiana na nini, maana swali langu la jua kutembea na hili la mto nile unataka kujua linahusiana vp na uzi huu as if haueleqi kinachohusika katika uzi huu.
Kama dunia ni duara elezea jinsi mto nile ni kwa nini unapandisha mlima na maji hayarudi nyuma. Na kwa tunaoamini dunia ni tambarare kwa macho yetu tunaona Jua linatembea kama wewe ulionavyo.
Mile za umbali ambao cave ya dunia inaanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kitu gani kimekuashiria kuwa mto nile unapanda mlima?
Dunia ni duara USA imepakana na RUSSIA, JAPAN, China, korea kinacho watenganisha ni bahariNaona hili swali lako wanajifanya hawalioni
Kumbe ulijibu. Sawa.Mile za umbali ambao cave ya dunia inaanza.